Dr Ibra

Dr Ibra ACID REFLUX /VINDONDA VYATUMBO /TUMBO KUJAA GESI SULUISHO LIPO NITAFUTE KWA MATIBABU YALIYO SAHIHI-0798588948

25/05/2026

NILIANZA MIMI KUHISI UZITO MAUMIVU UPANDE
WA JUU YA TUMBO KULIA NA BAADAE AKAFATA
MWENZA WANGU
Kiukweli nilianza kuhisi uzito na maumivu upande wa juu wa tumbo kulia 😔
Nilidhani ni kawaida tu… au labda uchovu.
Siku chache baadae… mwenza wangu naye akaanza kulalamika dalili zile zile 💔
Hapo ndipo hofu ilipoanza…
Tulipoenda kupima 🧪
Majibu yalitufanya tukae kimya kwa dakika kadhaa…
👉 tulikuwa na Hepatitis B
Tulianza kutafuta msaada… ndipo tukakutana na Inihealthpro 🙏
Alituelewesha kwanza ukweli:
✔️ Hepatitis B inaweza kuondolewa kabisa na viral load wakaisha na akanieleza madhara ya kuishi na Hepatitis B kwa kutumia antiviral drug au kutopata tiba sahihi mapema hadi kuifanya iwe sugu na virusi kupenya katika mfumo wa DNA kubadilishwa kuwa cccDNA, akatueleza ugumu ambao tutakaoupata k**a virusi vikiingia kwenye mfumo wa seli ndani ya nucleus ambapo ndio DNA ilipo.
Tulipewa tibalishe maalum ya kusaidia ini na kupandisha kinga ya mwili
Na kufuata maelekezo yake kikamilifu…
Ndani ya muda mfupi:
✨ Maumivu yakaanza kupungua
✨ Uchovu ukaisha
✨ Mwili ukarudi kwenye hali ya kawaida

25/05/2026

Watch, follow, and discover more trending content.

25/05/2026

@ SLIP DISC PROBLEM ...unajua kuwa unapitia changamoto ya maumivu makali ya Disc katika uti wa mgongo jitahid sana kupata tiba bora kwa kuondokana na hio hali kwa sababu hali hio inapokomaaa husababisha STROKE YAANI KIHARUSI AU KUPOOZA KWA SEHEMU ZA MAUNGIO KUU .

DALILI KUUU..Maumivu ya mgongo ..Maumivu ya pingili..Maumivu ya shingo ..Kushindwa kubeba vitu vizito ..kushindwa kuinama vizuri ..Uwepo wa ganzi na kuwaka moto haswa sehemu za chini ya maungio k**a vile miguuni ,mikononi na shingoni..Maumivu wakati wa kufanya kazi nzito na ngumu

Dalili ni nyingi muhimu wahi tiba mapema okoa afy yako
📞 📲 255 798588948

25/05/2026

Viashiria vya awali vya acid reflux japo wengi hupuuza 🚨
Watu wengi hudhani ni kawaida kupata kiungulia mara kwa mara, lakini mara nyingi hizi huwa ni dalili za mwanzo za acid reflux. Ukizipuuzia zinaweza kuanza kuathiri koo, tumbo na hata usingizi wako 😥
⚠️ Viashiria vya awali vya acid reflux:
• Moto kifuani baada ya kula
• Ladha chachu au uchungu mdomoni
• Koo kuwasha au sauti kubadilika mara kwa mara
• Kujisikia tumbo kujaa gesi sana
• Kiungulia kinachorudi hasa usiku
• Kukosa raha ukilala baada ya kula

Wengi huendelea kutumia dawa bila kujua chanzo halisi cha tatizo, hali inayofanya usumbufu kurudi tena na tena.
Kupata ushauri sahihi mapema kunaweza kusaidia kudhibiti hali kabla haijawa sugu 👍
📩 K**a unasumbuliwa na dalili hizi mara kwa mara, usipuuzie. Wasiliana nasi +255798588948 upate ushauri sahihi wa kitaalamu mapema.

18/05/2026

MAUMIVU YA MBAVU UPANDE WA KUSHOTO YANAWEZA KUSABABISHWA NA HIZI SABABU

Maumivu ya mbavu upande wa kushoto yanaweza kusababishwa na vitu tofauti kulingana na eneo la maumivu, ukali wake na dalili nyingine zinazoambatana nayo. Baadhi ya sababu kuu ni:

• Gesi tumboni au acid reflux
– Husababisha tumbo kujaa, kuungua kifuani, maumivu yanayopanda hadi mbavuni au kooni.

• Misuli kuvutika au kuchoka
– Hutokea baada ya kufanya kazi nzito, mazoezi au kukaa vibaya muda mrefu.

• Tatizo la wengu (spleen)
– Wengu upo upande wa kushoto juu ya tumbo, ukiwa na uvimbe unaweza kusababisha maumivu chini ya mbavu.

• Vidonda vya tumbo au gastritis
– Huambatana na kiungulia, kichefuchefu, gesi na maumivu baada ya kula.

• Matatizo ya figo ya kushoto
– K**a maambukizi au mawe kwenye figo, yanaweza kuleta maumivu ya upande wa kushoto hadi mgongoni.

• Constipation au matatizo ya utumbo
– Kujisaidia kwa shida kunaweza kuleta maumivu na kubana tumboni upande wa kushoto.

• Maambukizi ya mapafu au pleurisy
– Maumivu huongezeka unapovuta pumzi au kukohoa.

• Stress na anxiety
– Watu wengine hupata kubana kifua na maumivu ya mbavu kutokana na msongo wa mawazo.
⚠️ Muone daktari haraka k**a: – Maumivu ni makali sana
– Yanashindikana kupungua
– Una shida ya kupumua
– Unatapika damu
– Una homa kali
– Maumivu yanaenea hadi kifuani au mgongoni
📌 K**a unasumbuliwa na maumivu ya mbavu upande wa kushoto mara kwa mara, usipuuzie. Wasiliana nami leo ili kujua chanzo halisi cha tatizo lako.

18/05/2026

HAUPONI ACID REFLUX KWA SABABU KUU NI HIZI

Hizi ni sababu 5 kuu zinazofanya mtu asipone haraka acid reflux (kiungulia/GERD):

1. Lishe isiyofaa kila siku
Kula vyakula vinavyochochea acid k**a vyakula vya mafuta mengi, pilipili, kahawa, soda na vyakula vya kukaanga kunafanya tatizo liendelee.
👉 Hata ukitumia dawa, ukiendelea kula hivi… hutapona kirahisi.

2. Kutokufuata matumizi sahihi ya dawa
Watu wengi hutumia dawa k**a Omeprazole bila kufuata muda sahihi (mfano kabla ya kula) au wanaacha dawa mapema.
👉 Hii hupunguza ufanisi wa matibabu.

3. Msongo wa mawazo (Stress)
Stress huongeza uzalishaji wa acid tumboni na kuharibu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
👉 Hata k**a unatumia dawa, stress inaweza kurudisha dalili.

4. Kulala vibaya baada ya kula
Kulala mara tu baada ya kula au kulala flat bila kuinua kichwa kidogo huruhusu acid kupanda juu kwenye koo.
👉 Hii huongeza dalili na kuchelewesha uponaji.

5. Kutotibu chanzo kikuu cha tatizo
Wengine wana tatizo k**a Helicobacter pylori infection au matatizo ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.

👉 Bila kutibu chanzo, acid reflux hurudia mara kwa mara.

HITIMISHO (Muhimu sana)
Acid reflux siyo tu dawa… ni mtindo wa maisha + matibabu sahihi. Ukirekebisha vyote kwa pamoja, unapona haraka zaidi.

18/05/2026

K**A UNAPITIA DALILI HIZI USIPUUZE CHUKUA ATUA MAPEMA

“Napata kiungulia, tumbo kuwaka moto na kujaa gesi kila nikila…” 😣🔥
Usipuuze hizi dalili!
Huenda tatizo siyo chakula tu unachokula… bali ni ishara ya:
❌ Acid Reflux
❌ H.Pylori
❌ Vidonda vya tumbo
❌ Mfumo wa mmeng’enyo kutofanya kazi vizuri
Watu wengi wanaendelea kutumia dawa kila siku bila kujua chanzo halisi cha tatizo 😢

Ukichelewa kuchukua hatua unaweza kuanza: ⚠️ Kukosa hamu ya kula
⚠️ Kupungua uzito
⚠️ Kukosa usingizi vizuri
⚠️ Maumivu ya kifua na koo
Usikae kimya na mateso ya tumbo kila siku 🙏
📩 Nitumie neno KIUNGULIA KUPITIA NUMBER +255798588948 upate ushauri sahihi na njia ya kusaidia kutuliza tatizo lako mapema.

16/05/2026

LUDISHA FURAHA YAKO KWA KUTUMIA TIBA LISHE

Kwa zaidi ya mwaka mmoja nilikuwa napambana na tatizo la acid reflux na maambukizi ya H. pylori. Maisha yangu yalikuwa magumu sana — kila nikila tu, kifua kilikuwa kinawaka moto, koo linauma, tumbo linauma na wakati mwingine hadi kichefuchefu kilikuwa hakikomi. Nilijaribu dawa mbalimbali na hata kubadili vyakula, lakini nafuu ilikuwa ya muda tu, kisha hali inarudi vilevile.
Nilifika hatua nikakata tamaa, nikihisi labda nitabaki na hali hii maisha yangu yote.

Siku moja nilisikia kuhusu Afya Care Kwanza, nikaamua kujaribu bahati yangu. Nilipokelewa vizuri sana na kupewa ushauri wa kina kuhusu hali yangu pamoja na mpango maalum wa lishe na matumizi sahihi ya probiotics.

Kwa kweli sikutegemea mabadiliko makubwa hivi — ndani ya wiki chache tu nilianza kuona tofauti. Maumivu yakapungua, moto wa kifua ukatoweka taratibu, na tumbo likaanza kuwa tulivu. Kadri muda ulivyokwenda, hali yangu ilizidi kuwa bora mpaka sasa naweza kusema nimepona kabisa.
Leo hii ninafurahia kula bila hofu, kulala vizuri bila maumivu, na kurudi kwenye maisha yangu ya kawaida.

K**a unapitia hali k**a niliyokuwa nayo, usikate tamaa. Suluhisho lipo — mimi nimelipata kupitia Dr ibrahim Kwanza.
Asanteni sana kwa kunirudishia furaha ya maisha yangu.

05/05/2026

CLINIC YA AFYA
VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)
📌 VIDONDA VYA TUMBO NI NINI?
Hii ni hali ya majeraha kwenye ukuta wa ndani wa tumbo au utumbo mdogo yanayosababishwa na asidi au bakteria H. pylori.
🔍 VISABABISHI
Bakteria Helicobacter pylori
Matumizi ya dawa za maumivu (NSAIDs)
Asidi nyingi tumboni
Pombe na sigara
Stress (msongo wa mawazo)
⚠️ DALILI MUHIMU
Maumivu ya tumbo (kuchoma)
Kiungulia
Kichefuchefu
Tumbo kujaa gesi
Kupungua hamu ya kula
Kinyesi cheusi au kutapika damu (hatari)
💊 TIBA SAHIHI
Antibiotics (k**a kuna H. pylori)
Dawa za kupunguza asidi (Omeprazole n.k.)
Kufuatilia dozi kamili ya daktari
Uchunguzi wa kitabibu hospitalini
🥗 USHAURI WA MAISHA
Kula milo midogo midogo
Epuka pilipili kali na vyakula vya mafuta
Acha pombe na sigara
Epuka dawa za maumivu bila ushauri
Punguza msongo wa mawazo
🚨 NITAFUTEKWA HARAKA K**A:
Unatapika damu
Kinyesi cheusi k**a lami
Maumivu makali ya tumbo
Kupungua uzito bila sababu
NITAFUTE KWA USHAURI NA TIBA KAMILI whatsp no 255798588948

Address

Kimara Stop Over
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Ibra posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category