Macho Bora-Dr. Gea Vision

Macho Bora-Dr. Gea Vision �Eye health education & guidance
Elimu na ushauri wa afya ya macho
Contact +255 696256671

03/08/2026

Ushawahi kusikia jicho lina mtoto?

Ndiyo, hali hii huitwa mtoto wa jicho (cataract). Hutokea pale lenzi ya jicho inapopoteza uwazi na kusababisha kuona kwa ukungu.

Dalili:

Kuona ukungu.

Mwanga kukera macho.

Kushindwa kuona vizuri usiku.

Rangi kuonekana zimefifia.

Usipuuze dalili hizi. Uchunguzi wa mapema unaweza kusaidia kubaini tatizo na hatua sahihi za matibabu.

Dr Geaz – Tunatoa programu maalumu ya uchunguzi, ushauri na ufuatiliaji wa afya ya macho. Wasiliana nasi kwa tathmini ya kitaalamu.

02/08/2026

MACHO YAKO YAKOJE?
Je, unajua kutambua magonjwa haya ya macho?
• Jicho lenye afya – Halina dalili za ugonjwa.
• Keratitis – Kuvimba kwa konea la jicho.
• Pterygium – Nyama kuota kwenye jicho.
• Pinguecula – Kinyama kidogo cha njano kwenye jicho.
• Blepharitis – Kuvimba kwa kingo za kope.
• Conjunctivitis – Uwekundu wa macho.
• Stye (Chalazion) – Jipu au uvimbe kwenye kope.
• Katarakti – Mtoto wa jicho.
• Glaukoma – Presha ya jicho inayoweza kuharibu uwezo wa kuona.
Tambua mapema. Linda maono yako.
Macho Vision – Dr Geaz
Afya ya macho ni kipaumbele..

02/08/2026

Mtoto wa jicho ni hali ambapo lenzi ya jicho hupoteza uwazi na kusababisha kuona kwa ukungu.

Dalili:

- Kuona ukungu.
- Kushindwa kuona vizuri usiku.
- Mwanga kukera macho.
- Rangi kuonekana zimefifia.

Sababu:

- Kuzeeka.
- Kisukari.
- Majeraha ya jicho.
- Sababu za kurithi.

Matibabu:
natoa programu maalumu ya matibabu bila operation kwa ajili ya kusaidia afya ya macho na kupunguza changamoto zinazohusiana na mtoto wa jicho..

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Macho Bora-Dr. Gea Vision posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category