10/08/2026
🩺 VIPIMO NA MATIBABU YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA 🧪
Usisubiri dalili ziwe kubwa—pima afya yako mapema! Tunatoa huduma za uchunguzi, ushauri na matibabu kwa magonjwa yasiyoambukiza k**a kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya moyo na mengineyo.
✅ Vipimo na uchunguzi wa afya
✅ Ushauri wa afya na lishe
✅ Ufuatiliaji wa afya
✅ Matibabu kwa ushauri wa mtaalamu
📞 Wasiliana nasi: 0655530408
❤️ Afya yako, kipaumbele chetu!