Dr. Lishe

Dr. Lishe Tunawasaidia watu wenye changamoto:-
1️⃣BAWASIRI.
2️⃣KISUKARI. 3️⃣NGUVU ZA KIUME KWA WALIYOOA TU

NI HATARI SANA KUIZEMBEA BAWASIRI______________________________________________Nimewaona wengi jinsi vinyama vya bawasir...
02/06/2026

NI HATARI SANA KUIZEMBEA BAWASIRI
______________________________________________

Nimewaona wengi jinsi vinyama vya bawasiri vilivyovutika na kurefuka sana nje na kutanuka na hata kutengeneza uvimbe mkubwa na vinyama kukatalia nje kwa kuninginia k**a hapo kwenye picha😢…

Hapo hata kujisafisha baada ya kujisaidia inakuwa ni tabu sana😮‍💨…

Lakini, Wewe bado una nafasi na nafasi yako ni sasa👋

Waweza kuchukua hatua ya kuanza suluhisho hili ukapona mapema kabla vinyama vyako havijavuka hatua hiyo vilivyopo kwasasa👨‍⚕️…

✅Ili kuondokana na changamoto yako hii yote ya bawasiri na vinyama vyote vya bawasiri na viuvimbe kwenye njia ya haja kubwa kuisha bila upasuaji hakikisha umefanya hivi👇

📱Tuma ujumbe WhatsApp:0763184499.

au

☎️PIGA:0763184499.





Please SHARE and Tag person




daressalaam bawasili2019 uzitomkubwa maumivuwakatiwakujisaidia constipation afyayako
hemorrhoid choochenyedamu diarrhea kinyamasehemuyahajakubwa muwashosehemuyahajakubwa digestivehealth

“CONSTIPATION” SI JAMBO LA KAWAIDA. KUWA NALO MAKINI HUSUSANI KWA BAWASIRI! 🚨Wengi wetu tunasema “ni sawa tu, na tunaona...
01/06/2026

“CONSTIPATION” SI JAMBO LA KAWAIDA. KUWA NALO MAKINI HUSUSANI KWA BAWASIRI! 🚨

Wengi wetu tunasema “ni sawa tu, na tunaona ni kawaida mtu kukosa choo siku mbili tatu.

Lakini ukweli ni kwamba, “constipation” sio hali ya kawaida na ni ishara ya kwamba mfumo wako wa mmengenyo hauko sawa na ndio maana tunakuja kuona watu wanapata magonjwa makubwa k**a kansa kwenye viungo vya ndani na tunashangaa lakini vyanzo vinaanziaga huku.

Kila unapojikamua kwa nguvu chooni, unazidi kutengeneza madhara makubwa kesho yake.

Hata mishipa ya bawasiri inavimba zaidi na maumivu yanaongezeka na ukubwa wa tatizo.

Wewe unaendelea kuathirika kwa ndani utumbo kutengeneza mikwaruzo kwa ndani, vidonda, makovu n.k.

Hata mimi mwanzoni nilidhani “kupata choo kigumu” ni sehemu ya maisha🧐...!

Nilizoea mpaka siku moja nilipotoka chooni nikitokwa na damu na machozi ndipo nikaelewa kuwa si hali ya kawaida bali nilikuwa najiumiza na kujitesa mwenyewe kimya kimya.

Ndugu yangu, usisubiri mpaka ufike hapo👋...!

🔔Kupata choo kigumu na kukosa choo kunaua furaha yako pole kwa njia zifuatazo:
1. Inakunyima usingizi kwa sababu ya maumivu.
2. Inakufanya uogope kula kwa sababu ya choo kigumu.
3. Inakufanya uache kusafiri, uache gym, n.k.

Bawasiri na “constipation” vinauhusiano mkubwa sana na ukipata kimoja wapo na kingine kinafuata…✍️

Lakini, leo unaweza kuchukua hatua kwa kulipata suluhisho hili bora ambalo linamaliza “CONSTIPATION” na BAWASIRI na kuboresha afya ya mfumo wa mmengenyo wako wa chakula.

📱Tuma ujumbe WhatsApp: +255 (0) 763184499

au

☎️Piga: 0763184499

Haijalishi umeteseka na bawasiri kwa muda gani. Haijalishi umejaribu nini na kushindwa.  Leo inaweza kuwa siku ya kwanza...
01/06/2026

Haijalishi umeteseka na bawasiri kwa muda gani.

Haijalishi umejaribu nini na kushindwa.

Leo inaweza kuwa siku ya kwanza ya safari yako ya kupona ugonjwa huu wa bawasiri tena kwa njia rahisi bila upasuaji wowote.

Nataka ujue kitu: Wewe unastahili kuishi bila maumivu wala mateso ya aina yoyote ile maana muda wa binadamu yeyote kuishi hapa duniani ni mfupi na ni wa thamani sana.

Unastahili kuishi kwa furaha moyoni na tabasamu huku ukimpendeza Mwenyezi Mungu aliyetuumba😊😍💪.

Na k**a ulikuwa unapitia mateso haya na fedhea ya kuwa bawasiri tambua mambo haya yafuatayo:-
1. Wewe sio peke yako. Watu wengi sana wanapitia haya kimya kimya.
2. Kuondokana na aibu yako ukaamua kuipambania bawasiri yako leo itakukingia na maumivu na madhara makubwa kesho mfano saratani ya utumbo mpana.
3. Mwili wako unakupenda ndo maana unakuomba msaada kwakukupa maumivu ili uutibie. Usipuuzie.

📣✅Tucheck uanze kutumia suluhisho hili mapema👨‍⚕️…

📱Tuma ujumbe WhatsApp: +255 (0) 763184499.

au

☎️Piga:0763184499.




Please SHARE and Tag person




daressalaam

VYAKULA VIBAYA NA BORA KWA BAWASIRI🍽️_______________________________________________Kile unachokula kinaamua k**a utapat...
31/05/2026

VYAKULA VIBAYA NA BORA KWA BAWASIRI🍽️
_______________________________________________

Kile unachokula kinaamua k**a utapata nafuu au maumivu zaidi chooni.

Haipingiki kuwa ukiwa unapata choo kilaini na bawasiri inapona haraka.

❌VYAKULA VIBAYA KWA MGONJWA WA BAWASIRI - PUNGUZA AU ACHA KABISA
1. Pilipili nyingi na viungo vikali - Vinawasha, kuwaka moto kwenye njia ya haja kubwa na kuongeza maumivu chooni.
2. Nyama nyekundu hususani nyama choma - Inachukua muda mrefu kusagwa na inaleta kuvimbiwa na kupata choo kigumu.
3. Mkate mweupe, maandazi, chapati - Vyakula vya unga mweupe havina fiber.
4. Pombe - Inakausha maji mwilini na kufanya choo kuwa kigumu.
5. Vyakula vya mafuta sana - Chipsi, kuku wa kukaanga, chips mayai hivi vinafunga sana choo.

✅VYAKULA BORA KWA MGONJWA WA BAWASIRI- KULA HIVI KILA SIKU:
1. Maji - Kunywa glass 8 hadi 10 kwa siku. Maji ndio dawa namba moja.
2. Mboga za majani - Spinachi, mchicha, kisamvu. Zinaongeza fiber na kulainisha choo.
3. Matunda - Papai, nanasi, machungwa, maembe. Kula na maganda yake k**a yanaweza kuliwa😀😋.
4. Uji wa mtama au ulezi - Una fiber nyingi na unalainisha choo.
5. Maharage, njegere, choroko - Lakini yawe yamelainika vizuri.

👨‍⚕️Kanuni rahisi: K**a chakula kinakufanya kupata choo kigumu hicho si chakula rafiki kwako na kwa bawasiri yako.

🙋‍♂️Je, Unakula chakula gani mara kwa mara kati ya hivyo? Na ni chakula gani yaani hauwezi kukiacha hata bawasiri ikuue😃🙌?

🗣️📣ILI KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YAKO YA BAWASIRI YENYE VINYAMA AU VIUVIMBE KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA BILA UPASUAJI, MAUMIVU, CHOO CHENYE DAMU, MIWASHO MIKALI KWENYE TUNDU LA HAJA KUBWA, CHOO KIGUMU NA KUKOSA CHOO ZAIDI YA SIKU 3, KUWAKA MOTO NA MICHOMO KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA. Hakikisha umefanya hivi👇

✅TUMA UJUMBE WHATSAPP:0763184499.

au

PIGA:0763184499.




Please SHARE and Tag person




daressalaam bawasili2019 uzitomkubwa maumivuwakatiwakujisaidia constipation afyayako
hemorrhoid choochenyedamu diarrhea kinyamasehemuyahajakubwa muwashosehemuyahajakubwa digestivehealth

NDO K**A HIVYO WENZAKO WANAENDELEA KUPONA BAWASIRI BILA UPASUAJI NA KUANZA MAISHA MAPYA YA AMANI NA TABASAMU NA FURAHA M...
31/05/2026

NDO K**A HIVYO WENZAKO WANAENDELEA KUPONA BAWASIRI BILA UPASUAJI NA KUANZA MAISHA MAPYA YA AMANI NA TABASAMU NA FURAHA MOYONI👨‍⚕️🤝

📌Ili kuondokana na changamoto hii bila upasuaji fanya hivi👇

📱Tuma ujumbe WhatsApp:0763184499

Au

☎️Piga:0763184499.

MAZOEZI 4 SALAMA UKIWA NA BAWASIRI 🏃‍♂️Kuwa na bawasiri haimaanishi uache kufanya mazoezi. Mwili unahitaji movements ili...
30/05/2026

MAZOEZI 4 SALAMA UKIWA NA BAWASIRI 🏃‍♂️

Kuwa na bawasiri haimaanishi uache kufanya mazoezi.

Mwili unahitaji movements ili damu itembee maeneo mbalimbali ya mwili.

Ila kuna mazoezi yanasaidia, na kuna yanayoumiza na kuifanya hali ya bawasiri iwe mbaya zaidi.

📢Mazoezi salama ya kufanya:

1️⃣Kutembea; Tembea angalau dakika 20 hadi 30 kila siku.
⁠-Inasaidia tumbo lifanye kazi vizuri na choo kiwe laini.

2️⃣Kuogelea; Kuogelea kunapunguza uzito wa mwili. -Kwasababu una “burn more calories”
-Pia unapunguza shinikizo kwenye sehemu ya chini ya re**um inayoathirika na bawasiri.

3️⃣Yoga laini; Mazoezi ya kupumua na kunyoosha mwili yanapunguza maumivu.
-Epuka kukaa kwa muda mrefu.

4️⃣Kegel; Kaza misuli ya nyuma k**a unabana choo, kaa sekunde 5, kisha achia. Rudia mara 10. Inaimarisha mishipa.

NB: Usifanye mazoezi ya kunyanyua vitu vito sana vya kujikakamua ili kuzuia bawasiri yako kuzidi kuwa kubwa.

🙋‍♂️Ili kuondokana na bawasiri yako nabkuwa huru katika maisha yako ya kila siku basi wasiliana nasi kupitia mawasiliano haya hapa👇

👨‍⚕️Tuma ujumbe hapa👇

📱WhatsApp:0763184499

au

☎️Piga:+255 (0) 763184499

KUPONA HARAKA BAWASIRI TUCHECK MAPEMA UGONJWA USIENDELEE KUWA MKUBWA NA KUSAMBAA👋✅Utaweza kupona vinyama vyako vyote vya...
30/05/2026

KUPONA HARAKA BAWASIRI TUCHECK MAPEMA UGONJWA USIENDELEE KUWA MKUBWA NA KUSAMBAA👋

✅Utaweza kupona vinyama vyako vyote vya bawasiri na viuvimbe na maumivu,miwasho, choo kigumu na chenye damu, na kutokwa na vimajivimaji au usaha kwenye njia ya hja kubwa. Sasa fanya hivi sasahivi👇

📱Tuma ujumbe WhatsApp:0763184499.

au

☎️Piga:0763184499.

Follow us

JE, UNAPITIA MAUMIVU MAKALI SANA YA BAWASIRI KILA UKITOKA CHOONI? 😢Najua maumivu yake. Inafikia hatua unakuta unaenda ch...
29/05/2026

JE, UNAPITIA MAUMIVU MAKALI SANA YA BAWASIRI KILA UKITOKA CHOONI? 😢

Najua maumivu yake. Inafikia hatua unakuta unaenda chooni na hofu huku ukijiuliza ukitoka kujisaidia itakuwaje🥹🥲.

Unatoka na machozi machoni.

Yaani kila siku inakuwa vita.

Unajaribu kutabasamu mbele ya watu, lakini ndani yako unaumia kimya kimya🥹.

Unakaa chini kwa shida. 😕

Unalala kwa shida🛏️.

Maisha yako yamekaa kimashak**ashaka kwasababu unawa ukitoka kujisaidia itakuwaje ile mimaumivu mikali😨.

Lakini sikiliza ndugu yangu👨‍⚕️…

Hutakiwi kupitia haya peke yako🙋‍♂️...

Hutakiwi kuzoea maumivu😖...

Maumivu haya ni ishara kwamba mwili wako unahitaji msaada wa haraka🔔…

Wewe ni wa thamani sana…✍️

Maisha yako yana thamani kubwa💪.

Usiruhusu bawasiri iibe furaha yako👋

Leo, jiwekee ahadi kwamba sitaishi tena na maumivu haya ya bawasiri kimyakimya.

Nitatafuta msaada leo wa kumaliza bawasiri yangu.

📢Hapa kwetu kupona kabisa bawasiri ni 100%

👋Ili kutokomeza bawasiri yako sasa tumia mawasiliano haya chini.

MAWASILIANO:
Tuma ujumbe WhatsApp:0763184499
au
PIGA: 0763184499.



MAMBO 4 AMBAYO NINGEPENDA UYAJUE MAPEMA KUHUSU BAWASIRI 💔_______________________________________________1️⃣Dalili ndogo ...
28/05/2026

MAMBO 4 AMBAYO NINGEPENDA UYAJUE MAPEMA KUHUSU BAWASIRI 💔
_______________________________________________

1️⃣Dalili ndogo usizipuuze
-Leo inaweza kuanza kwa kuwasha kidogo, kesho inaweza kuwa maumivu makali, keshokutwa vinyama na viuvimbe kutokeza na kuvimba zaidi kadri unavyoviacha bila kuvitafutia suluhisho n.k.

-Ukiishughulikia mapema bawasiri yako, unajipunguzia mateso mengi na hatari za kiafya zinazotokana na bawasiri kubwa na sugu.

2️⃣Bawasiri si aibu
-Ni ugonjwa k**a ugonjwa mwingine wowote. Watu wengi wanayo, lakini wengi wanakaa kimya. Kimya ndio kinachozidisha maumivu na hatari ya ugonjwa hata kugeuka kansa, fistula, abscess n.k.

3️⃣Chakula na maji ni dawa ya kwanza
-Kunywa maji ya kutosha na kula mboga za majani kwa wingi kunaweza kupunguza maumivu kuliko hata baadhi ya dawa. Maana hutatua “constipation” ambayo wengi ndo hupelekea hadi kupata choo chenye maumivu na bawasiri yenye maumivu.

-Tumbo likiwa sawa, na kupata choo kunakuwa rahisi.

4️⃣Unaweza kupona bawasiri na ukaaza kuishi kawaida na vizuri k**a zamani
-Bawasiri si mwisho wa maisha yako. Kwa kupata sulujisho sahihi, unaweza kupona viziri na ukurudi kwenye maisha yako ya kawaida bila maumivu na bila vinyama wala viuvimbe vya bawasiri.

✅KUPONA BAWASIRI YAKO BILA UPASUAJI NA VINYAMA NA VIUVIMBE SUGU VYOTE KUISHA, MAUMIVU, DAMU, CHOO KIGUMU, VIMAJIMAJI, KUWAKA MOTO, NA KUHISI MICHOMO K**A MIIBA KWENYE YA HAJA KUBWA BASI FANYA HIVI👇

📱Tuma ujumbe WhatsApp:0763184499

Au

☎️Piga:0763184499.

MAMBO 4 AMBAYO NINGEPENDA UYAJUE MAPEMA KUHUSU BAWASIRI 💔_______________________________________________1️⃣Dalili ndogo ...
27/05/2026

MAMBO 4 AMBAYO NINGEPENDA UYAJUE MAPEMA KUHUSU BAWASIRI 💔
_______________________________________________

1️⃣Dalili ndogo usizipuuze
-Leo inaweza kuanza kwa kuwasha kidogo, kesho inaweza kuwa maumivu makali, keshokutwa vinyama na viuvimbe kutokeza na kuvimba zaidi kadri unavyoviacha bila kuvitafutia suluhisho n.k.

-Ukiishughulikia mapema bawasiri yako, unajipunguzia mateso mengi na hatari za kiafya zinazotokana na bawasiri kubwa na sugu.

2️⃣Bawasiri si aibu
-Ni ugonjwa k**a ugonjwa mwingine wowote. Watu wengi wanayo, lakini wengi wanakaa kimya. Kimya ndio kinachozidisha maumivu na hatari ya ugonjwa hata kugeuka kansa, fistula, abscess n.k.

3️⃣Chakula na maji ni dawa ya kwanza
-Kunywa maji ya kutosha na kula mboga za majani kwa wingi kunaweza kupunguza maumivu kuliko hata baadhi ya dawa. Maana hutatua “constipation” ambayo wengi ndo hupelekea hadi kupata choo chenye maumivu na bawasiri yenye maumivu.

-Tumbo likiwa sawa, na kupata choo kunakuwa rahisi.

4️⃣Unaweza kupona bawasiri na ukaaza kuishi kawaida na vizuri k**a zamani
-Bawasiri si mwisho wa maisha yako. Kwa kupata sulujisho sahihi, unaweza kupona viziri na ukurudi kwenye maisha yako ya kawaida bila maumivu na bila vinyama wala viuvimbe vya bawasiri.

✅KUPONA BAWASIRI YAKO BILA UPASUAJI NA VINYAMA NA VIUVIMBE SUGU VYOTE KUISHA, MAUMIVU, DAMU, CHOO KIGUMU, VIMAJIMAJI, KUWAKA MOTO, NA KUHISI MICHOMO K**A MIIBA KWENYE YA HAJA KUBWA BASI FANYA HIVI👇

📱Tuma ujumbe WhatsApp:0763184499

Au

☎️Piga:0763184499.

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Lishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr. Lishe:

Share