22/04/2026
AFYA BORA HUANZA NA MWILI ULIO SAWA 💚
Je, unasumbuliwa na mojawapo ya hali hizi? ❓ Mwili mzito au uchovu wa kudumu
❓ Kuvimba uso au sehemu za mwili
❓ Harufu mbaya ya mdomo au mwili
❓ Ngozi kuwasha, vipele au chunusi zisizoisha
❓ Kichwa kizito, gesi tumboni au choo kisicho kawaida
🔎 Dalili hizi mara nyingi husababishwa na kujaa kwa taka zisizohitajika mwilini (taka mbaya).
⚠️ Nini husababisha mwili kujaa taka mbaya? ▪️ Kunywa maji kidogo
▪️ Lishe ya mafuta mengi & sukari
▪️ Matumizi ya dawa bila mpangilio
▪️ Pombe, sigara & uchovu wa muda mrefu
▪️ Maambukizi au aleji zisizotibiwa vizuri
▪️ Kukosa usingizi & msongo wa mawazo
⚠️ Madhara ya taka mwilini kuzidi ❌ Dawa kushindwa kufanya kazi vizuri
❌ Kinga ya mwili kushuka
❌ Ngozi kuharibika
❌ Mwili kuchoka haraka
❌ Maumivu yasiyoeleweka mara kwa mara
✅ SULUHISHO LIPO HAPA – ETENAL International
🔹 Tunatumia mashine maalumu ya kisasa kusaidia mwili kupunguza taka zisizohitajika
🔹 Huduma hufanyika kwa muda mfupi
🔹 Husaidia mwili kurudi kwenye mzunguko wake wa kawaida wa afya
🌟 FAIDA ZA HUDUMA HII ✔️ Kuongeza ufanisi wa dawa
✔️ Kuboresha afya ya ngozi
✔️ Kupunguza uvimbe & uchovu
✔️ Kujisikia mwepesi na mwenye nguvu
✔️ Kuboresha utendaji wa mifumo ya mwili
💰 Gharama nafuu sana kwa muda maalumu
📞 Wasiliana nasi sasa:
📱 0744 581 132
👉 K**a umepima ukaambiwa una tatizo hilo au unahisi mwili wako hauko sawa, usisubiri hali izidi.
ETENAL International – Afya Kwanza, Maisha Bora
Unaweza kuwasiliana nasi iwapo tu uko tayari kwa huduma hii