Good Samaritan Cancer Hospital - Ifakara

Call Website

Good Samaritan Cancer Hospital - Ifakara Good Samaritan Cancer Hospital is a non-profit private health care institution owned by Missionaries of Compassion under Catholic Diocese of Ifakara.

We provide comprehensive investigations and treatment of all pre-malignant lesions and solid cancers.

WE ARE HIRING!!!
04/09/2026

WE ARE HIRING!!!

Tarehe 25 Agosti 2026, Good Samaritan Cancer Hospital – Ifakara (GSCH) ilifanya zoezi la uchunguzi wa awali wa saratani ...
27/08/2026

Tarehe 25 Agosti 2026, Good Samaritan Cancer Hospital – Ifakara (GSCH) ilifanya zoezi la uchunguzi wa awali wa saratani katika Shule ya Msingi Mbingu, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 20 ya Polisi Jamii.
K**a sehemu ya ROP (huduma za afya zinazotolewa nje ya hospitali), timu yetu ilitoa huduma za uchunguzi wa awali wa saratani ya shingo ya kizazi, uchunguzi wa saratani ya tezi dume, elimu kuhusu saratani, pamoja na zoezi la uchangiaji damu kutoka kwa wananchi waliojitolea.
Zoezi hili la uchangiaji damu ni sehemu ya dhamira yetu ya kusaidia wagonjwa wanaofika katika hospitali yetu wakiwa na uhitaji wa kuongezewa damu.
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Polisi Jamii Mbingu pamoja na wananchi wa Mbingu kwa kujitokeza, kushirikiana nasi na kuonesha utayari wa kujifunza zaidi kuhusu hali ya afya zao.
GSCH – Tukiwa pamoja kwa ajili ya afya bora na jamii yenye uelewa zaidi kuhusu saratani.

On 25Th August 2026, GSCH- Ifakara conducted a screening camp at Mbingu Primary School on 20 years cerebration of police...
27/08/2026

On 25Th August 2026, GSCH- Ifakara conducted a screening camp at Mbingu Primary School on 20 years cerebration of police Jamii.
As a part of our ROP our team conducted cervical cancer screening , prostate cancer screening , cancer education but also collected blood donation from the volunteers as a part of the mission to help those patients who came to our hospital with the need of blood transfusion .
We thank police jamii Mbingu and the community of Mbingu for showing up the cooperation and need to know more about their health status

Good Samaritan Cancer Hospital Tunawatakia watu wote siku ya Maulid njema ,ikawe ya furaha na amani
25/08/2026

Good Samaritan Cancer Hospital Tunawatakia watu wote siku ya Maulid njema ,ikawe ya furaha na amani

Happy Nane Nane Day 2026!
08/08/2026

Happy Nane Nane Day 2026!

Good Samaritan Cancer Hospital-Ifakaratunawafahamisha umma kuwa kutakuwa na uchunguzi wa awali wa saratani ya tezi dume ...
16/07/2026

Good Samaritan Cancer Hospital-Ifakara
tunawafahamisha umma kuwa kutakuwa na uchunguzi wa awali wa saratani ya tezi dume Bure,hii ni kwa wanaume wote kuanzia umri wa niaka 45 na kuendelea.
Zoezi hilo litafanyika kwa mwezi mzima wa Julai,2026 katika Hospitali tajwa.

Good Samaritan Cancer Hospital-Ifakara tunaungana na Watanzania na watu wote Kitaifa na kimataifa ,kuadhimisha siku ya S...
07/07/2026

Good Samaritan Cancer Hospital-Ifakara tunaungana na Watanzania na watu wote Kitaifa na kimataifa ,kuadhimisha siku ya Saba Saba.
Tunatambua umuhimu wa Afya katika ufanisi wa Wafanyabiashara ,hivyo tunajumuika katika kuimarisha afya zao,kwa maslahi mapana ya Taifa .
Tunawakaribisha watu wote kwa uchunguzi na matibabu bora ya Saratani.

Good Samaritan Cancer Hospital-Ifakara tunawatakia  Waislam na watu wote Duniani Eid -Al Adha njema .
27/05/2026

Good Samaritan Cancer Hospital-Ifakara tunawatakia Waislam na watu wote Duniani Eid -Al Adha njema .

GSCH- is one of the leading Cancer Care hospital in Tanzania that provides all cancer services under one roof  We provid...
21/05/2026

GSCH- is one of the leading Cancer Care hospital in Tanzania that provides all cancer services under one roof
We provide the world standard treatment and high radiation technology
At GSCH- hope is restored to the people
Make your appointment today

Good Samaritan Cancer Hospital-Ifakaratunapenda kuwafahamisha umma wa Watanzania na watu wote kuwa tunatoa huduma ya uch...
14/05/2026

Good Samaritan Cancer Hospital-Ifakara
tunapenda kuwafahamisha umma wa Watanzania na watu wote kuwa tunatoa huduma ya uchungu wa saratani ya matiti,tezi dume na mlango wa kizazi bure.Wahi tukuhudumie

Address

Good Samaritan Cancer Hospital Ifakara, Mashimoni
Ifakara

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00
Saturday 08:00 - 13:00

Telephone

+255683617545

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Good Samaritan Cancer Hospital - Ifakara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category