19/07/2026
Maisha ni k**a karatasi ya mtihani unapo pewa ukiwa kwenye chumba cha mtihani hua ina alama miamoja100% ajabu ni kwamba alama hizo miamoja zilianza kupungua au kubaki vile vile kabla ya kuingia kwenye chumba cha mtihani. Ni sawa kabisa na maisha yalivo mtu huanza kuangukia pua au kufanikiwa kabla hata mimba haija tungwa mipango ya baba na mama kabla ya kuzaliwa kwako ndio huchangia kwa kiwango kikubwa kwenye mafanikio yako. Any way baba alikua wapi wakati wenzake wanatafuta mali. Sasa ni zamu yako je umepata jibu?