MnogaHerbs

MnogaHerbs NINAWASAIDIA WANAWAKE WENYE UVIMBE KWENYE KIZAZI NA OVARIES BILA YA OPERATION +255656039310

Mnoga Herbs tunasaidia wenye Changamoto za Pumu/Bawasili/Uzazi/Vidonda vya tumbo kuondokana na changamoto hizo bila ya kutumia madawa ya kemikali au upasuaji.

16/04/2026

Nipo katika 18% bora ya mashabiki Lulu Ally. Nilipata 69 kwenye orodha ya shughili zao za kila siku wiki iliyopita.

28/03/2026

Keep it up

Are you looking for a natural remedy for contraception with 0% side effects?Je unatafuta dawa ya asili ya uzazi wa mpang...
16/03/2026

Are you looking for a natural remedy for contraception with 0% side effects?

Je unatafuta dawa ya asili ya uzazi wa mpango isiyo na 0% madhara hata kidogo?

Hakikisha Make sure ni mwanandoa? Sitaki wajanja

24/02/2026
Viungo jirani na tumbo ni nini:-Kongosho kisha ini Kwanini muathirika wa vidonda vya tumbo hapa alifika hatua ya kutapik...
05/01/2025

Viungo jirani na tumbo ni nini:-

Kongosho kisha ini

Kwanini muathirika wa vidonda vya tumbo hapa alifika hatua ya kutapika madonge ya damu hadi kuwa sababu ya mauti yake

Ni baada ya utumbo kutoboka na hapa damu ya kwenye ini ikichanganyika na insulini inakuwa sumu na hata ini pia linaweza kuanza kumeguka

Sio wasia kabisa kuwacha kutibia vidonda vya tumbo

02/01/2025

Wahi offer hii kabla hayakufika madhara makubwa

Ikiwa tunakaribia eid ya mfungo tatu hii ni shuhuda ya kukuonyesha wewe mwanamke mwenye Uvimbe kwenye kizazi....yaani nj...
04/11/2024

Ikiwa tunakaribia eid ya mfungo tatu hii ni shuhuda ya kukuonyesha wewe mwanamke mwenye Uvimbe kwenye kizazi....yaani njoo tukutokomezee Uvimbe wako ndani siku 14 tu

KWANINI TUNAPATWA NA UVIMBE?UVIMBE KWENYE KIZAZI Unategemeana na homoni.  Tissue ya Fibroid inakuwa na  kiasi kikubwa ch...
31/10/2024

KWANINI TUNAPATWA NA UVIMBE?

UVIMBE KWENYE KIZAZI Unategemeana na homoni. Tissue ya Fibroid inakuwa na kiasi kikubwa cha estrojeni na vipokezi vya progesterone.

Tissue ya Fibroid ni hypersensitive(kucharukwa) kwa estrojeni, lakini haina
uwezo wa kudhibiti ujio wa estrojeni, hii ndiyo sababu uvimbe unaweza kukua na kuwa mkubwa kabisa.

Hata hivyo ni muhimu kutambua kwamba progesterone (ambayo hufanya kazi ya kusawazisha homoni ya estrojeni) viwango vyake huanza kushuka katika umri wa kati hadi mwishoni mwa miaka ya 30 na pia huchukua jukumu katika mlingano na kuweka sawa hormone hizo 2.

UVIMBE kwenye kizazi kuna uwezekano kwa 20% hadi 30% zaidi kukua kwa wanawake wenye asili ya Kiafrika na wa Amerika ikilinganishwa kwa jamii nyengine yoyote.

Pia ni muhimu kutambua kwamba Uvimbe inaweza kukua tena baada ya hysterectomy. (Operation)

Njoo WhatsApp +255656039310 nikupe Uvimbe Solution hii hii leo

Address

Cheka, Mwanzo Mgumu
Kigamboni
9556

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255656039310

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MnogaHerbs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to MnogaHerbs:

Share