Mganga juma katoloko

Mganga juma katoloko MGANGA JUMA KATOLOKO MTAALAMU WA TIBA ZA JADI NA NGUVU ZA MIZIMU HAKIKA AMESAIDIA WENGI SANA KARIBU

01/01/2023

TUANGALIE UTAWALA KATIKA ULIMWENGU WA WACHAWI
MAJINI NA WACHAWI
Wachawi wana serikali na utawala wao k**a ilivyo kwenye maisha ya kawaida ya binadamu wa kawaida,wachawi wana utawala unaoanzia katika ngazi za mtaa,kata,kijiji,tarafa,wilaya,mkoa,taifa mpaka uongozi wa kimataifa........

Watu hawa wachawi wana heshima kubwa sana juu ya viongozi wao na huwatii bila kubisha au kupinga kwa kila jambo watakaloamrishwa.Kuna mikutano ya kijiji hufanyika,hapa hukusanyika wachawi wa kijiji fulani katika viwanja maalum vilivyotengwa aghlabu huwa ni chini ya miti mikubwa na kujadili mipango na kazi zao za kichawi ikiwemo kula nyama za watu wao kwa kupeana zamu,kuwaadhibu jirani zao na kuleta malalamiko yao kwa mkubwa.vilevile huwa wana siku maalum za kukutana kiwilaya na mkoa mpaka ngazi ya taifa,na pia hutembelewa na kiongozi wao wa kimataifa kila baada ya muda fulani na huandaa mapokezi makubwa k**a mfano vile ambavyo viongozi mbalimbali wanavyokuja kuitembelea tz na kupokewa kwa furaha kubwa.

Wachawi wanapoingia kwenye ulimwengu wa kichawi huwa ni marufuku kuchukua kitu cha mtu yeyote ambaye wameingia ndani kwake kumchawia,au kumuonea aibu,kumkingia kifua au huruma mtu yeyote hata akiwa mama yako mzazi,pindi mchawi anapokuwa ashavaa vazi la kichawi anatakiwa awe na nafsi mbaya sawa na ya shetani wa kijini na akijifanya kuwa na huruma basi mkuu wa kundi atamuadhibu.

pindi wachawi wanapomchukua mtu msukule na akaonekana k**a amekufa machoni pa watu wake,wachawi hawa humchukua mtu huyu na kwenda kumtumikisha kazi ngumungumu,kumuadhibu na kumtesa pamoja na kumbebesha maiti za watu waliokufa jana au leo

sasa mtu huyu unapofika muda wake wa kufa kiukweli yaani muda ambao amepangiwa na aliyemuumba kuwa ndiyo khadari yake{muda wake wa kufa}akifa wachawi wale humchukua mtu huyu na wanajisevia kwa kumla nyama huku mtawala wao akiwagawia mapaja,mikono,na sehemu za steki nzuuuuri wanakula wenye vyeo ikiwemo sehemu za matako nk.

AYATUR KURSIYYU
~Hii ni bakora tena ni radi na ndiyo

01/01/2023

MGANGA JUMA KATOLOKO MTAALAMU WA TIBA ZA JADI NA NGUVU ZA MIZIMU HAKIKA AMESAIDIA WENGI SANA KARIBU

MGANGA JUMA PIGA  SIMU HATA UKIWA MBALI ANAKUSAIDIA KARIBUNI 255763154388
01/01/2023

MGANGA JUMA PIGA SIMU HATA UKIWA MBALI ANAKUSAIDIA KARIBUNI 255763154388

AZAZEL;Kulingana na vitabu vikivyotolewa kwenye bibilia( Apocrypha) ,kitabu cha Enoch/Idrissa(a.s) kinamzungumzia Az**el...
01/01/2023

AZAZEL;Kulingana na vitabu vikivyotolewa kwenye bibilia( Apocrypha) ,kitabu cha Enoch/Idrissa(a.s) kinamzungumzia Az**el na genge lake la malaika wahuni; Grigori.Az**el pia amezungumzia kwenye bibilia Leviticus ambapo kuna beberu wawili walitakiwa kutolewa kafara na wayahudi kwa ajili ya dhambi zao,moja kwa Yahweh na wa pili atupwe kwenye miamba kwa ajili ya Az**el.kitabu cha Enoch kinamtaja k**a k**a moja wa kiongozi wa malaika walinzi waloasi kabla ya gharika ya Noah/ Nuhu.Enoch 10;8 ; Alifundisha mwanadamu mbinu na kutengeneza zana za kivita na wanawake akawafunza urembo na njia za kujipodoa! Na kuwafundisha watu uchawi.aliwapotosha watu na kuwaelekeza kwenye uchafu ndipo mwanadamu akalalamika kwa Mungu kwa kupitia malaika Raphael akafungwa miguu na mikono kwenye majabali yà Dudael na kufukiwa hadi siku ya kiama.Genesis/ Mwanzo 6;2-6 inamzungumzia Az**el bila kumtaja kuwa walizini na wanawake wa kibinadamu na kuzaa nao.Enoch 8;1-3.Kuna hadithi inayomzungumia massi dajal kuwa ni kiumbe alotaitiwa kwa minyororo kwenye mlima na kadri siku zinavyokwenda ndivyo anazidi kubomoa ule mlima,inasemekana siku ya kiama atafanikiwa kutoboa ule mlima na atatesa mwanadamu na kumlazimu amsujudie kwani ana uwezo mkubwa wa kusababisha ata mmea ukakua na kulika hapahapo..kinga dhidi yake na silaha yake ni Suratul Mulk tu basi ndo itamueza,

KIFUNGOKifungo ni kitendo Cha kuwekewa kikwazo kitakachozuia kupata kilichokusudiwa Iwe kazi,wateja,mimba,n.k.Kikwazo ni...
01/01/2023

KIFUNGO

Kifungo ni kitendo Cha kuwekewa kikwazo kitakachozuia kupata kilichokusudiwa Iwe kazi,wateja,mimba,n.k.

Kikwazo ni Nguvu inayotumika katika Utengenezaji wa kifungo juu yako.

Katika silabasi za Kuishi Kuna Wewe kuwa na kitu au kitu kuwa na Wewe kwa maana ili udhurike Lazima Uwe na Nguvu au Wewe Uwepo Katika Nguvu.

Mfano:- Mtu akichukua kucha na nywele Zako Akachanganya na dawa zake hapo tuna Sema Wewe Upo kwenye Dawa na Ikatokea mtu Akaja kukupaka Dawa hapa tutasema Dawa ipo kwako.

Hivyo Kuna Wewe kuwa katika Dawa na Dawa kuwa katika Wewe.

Hivyo kifungo nacho kinatokana na Aina hizi mbili Ambacho hiki kimoja kinaonekana K**a Nuksi au mikosi kinachotokana na kupakwa madawa Yenye Nia ya kuzuia malengo na mipango Yako Ambacho hiki kinatoka kwa KUJITAKASA MAJI YA BARAKA YALIYOSOMEWA/KUOMBEWA AU YANAYOTAKANA NA CHANZO CHA ASILI(M/ZAMUZAMU,MITO,N.K).

Lakini Cha pili ni hichi Ambacho Wewe kwa Ishara zako iwe Nywele,kucha,nabii,Damu ya tarehe n.k Ambayo inachanganywa na madawa kupikwa Kisha kufungwa kwa Pamoja kuwekwa kaburini,porini,kichuguuni,shimoni,jalalani,njia panda n.k

Hiki Ni kifungo Ambacho Wewe Upo katika kizuizi sio kizuizi kipo kwako K**a Nuksi no Ila kizuizi kipo kwako hivyo Akiwezi kutoka kwa KUJITAKASA MAJI YA BARAKA ISIPOKUWA KWA DUA NA MAOMBI YA KUKUTOA KIFUNGONI kwa Maana hapo inabidi Utolewe Wewe kwenye Dawa na Sio Itolewe Dawa Katika Wewe.

Nimezungumzia ili kwakuwa nimepitia masomo ya nyuma nimeona Watu Wengi wanalalamika kuwa chumvi ya Mawe Ni Uongo haifunguwi nikaona nitoe ufafanuzi huu.

Ukiona Chumvi ya Mawe haitendi kwako JUA WEWE UNATAKIWA UTOLEWE KATIKA DAWA SIO DAWA ITOLEWE KATIKA WEWE.

N.B

Hata Majini pia Wapo Majini Ambao wao wapo Ndani yako na wapo Majini Ambao Wewe Upo Ndani Yao.

Kwamba Wewe Upo Ndani ya himaya Yao au Wao Wapo ndani himaya yako.

NJIA,  YA KUONDOA NUKSI KATIKA MWILI Utachukua majani ya Kisamvu, utaweka na majani ya  mtura tura pamoja na shabu kisha...
01/01/2023

NJIA, YA KUONDOA NUKSI KATIKA MWILI

Utachukua majani ya Kisamvu, utaweka na majani ya mtura tura pamoja na shabu kisha utachemsha hiyo dawa halafu maji yake utakuwa unaoga yakiwa na uvugu vugu

Kwa muda wa siku saba vifungo na Mikosi yote itakuwa imekutoka

 🙏🏽🙏🏽MUHIMU KWAO 1*PUNDA+wenye erufi A,M,Y+asili yao ni MOTO namba yao ya bahati ni 9. sayari yao ni MARS malaika wao ni...
01/01/2023

🙏🏽🙏🏽MUHIMU KWAO 1*PUNDA+wenye erufi A,M,Y+asili yao ni MOTO namba yao ya bahati ni 9. sayari yao ni MARS malaika wao ni SAMEEL. siku yao ya bahati ni J4 siku yao mbaya ni J5 usiku jini wao ni ABUUMUHRIZ rangi ya bahati ni NYEKUNDU rangibya mapenzinzi ni KIJANI rangi ya kipato ni KIJANI KIBICHI MUHIMU KWAO😘 Jitaidi kuwa waangalifu vinginevyoshidazitaandama,asiliyeu ni utumiaji wa nguvu,ujasili,uhaminifu,kuwauhuru na kujitegemea *Tabia mbayazenu ni kutokuwa na subra kufanya mambokutokufikiria,kutumia nguvu bila ya akili kualakisha mambo.unashauliwa kuoana na mtu mwenye asili ya UPEPO na utasumbuka ukioana na mwenye asili ya MAJI Nyota bora ya kushilikiana au kuoana kulikozote ni MIZANI nyota ya punda WALIVYO KIMAPENZI KIMAUMBILE 1 ni wakali na ni wachangamfu,wenye isia,pia wanauwezo wa kujielezea pale wakiamua,ni watu wasiokuwa na subrakilakitu ufanyika kwa msukumo wa haraka haraka japo ni viongozi majasiri ambao awaonishida kuchukuamajukumu yaliyoshindikana,japowakatiwoteujiona wanajuwa sana 2*wanamapenzi moto moto tatizolao awapendi kusikiliza ushauri kimapenzi na awakubaliani na mambo nusu nusu ni watu wenyekutegemea mazuriwakati wote na hawakubalikushindwa,japo ukimbilia ktk mapenzi bila ya kufikilia wakihisi wamepata mpenzi wa kweli ni wepesi mno kuzama kwenye mapenzi na niwenye miemko ya gafra ambayowakatimwingine uonekana wapumbavu PUNDA NA KAZI ZAO🙏🏽✡ 1*UONGOZI,JESHI,UOKOAJI,MICHEZO,UHALIMU,MASUHALA YA FEDHA,MADUKA YA DAWA,,k**a wewe unanyota ii na aufanyi kazi izo pia hauna PETE ALISI YA NYOTA YAKO. jua apo unafanya kazi ambayo aina mafanikio kwako🙏🏽🙏🏽 PIA ITAMBULIKE K**A NYOTA YAKO INA KIFUNGO AU GIZA AU IMEZIMWA IMECHUKULIWA KICHAWI AU ANAITUMIA MTU BASI LAZIMA UIFUNGUE AU UILUDISHE KISHA NDOBUANZE MLOLONGO WA KUITUMIA NYOTA YAKO kwa leo nimeanza na nyota ii ya kwanza kesho nitakuja na nyota ya pili adi tutakapomaliza nyota zote

Address

Kigoma
Kigoma
255

Telephone

+255763154388

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mganga juma katoloko posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mganga juma katoloko:

Shortcuts

Share

Category