Dumisha Afya Kwanza

Dumisha Afya Kwanza Elimu Afya ya Uzazi. Ushauri ni bure

05/09/2026
Mafanikio hayaji kwa bahati, yanajengwa na maamuzi madogo tunayochukua kila siku. ๐Ÿ’šNimejifunza kuwa afya njema, nidhamu,...
23/06/2026

Mafanikio hayaji kwa bahati, yanajengwa na maamuzi madogo tunayochukua kila siku. ๐Ÿ’š

Nimejifunza kuwa afya njema, nidhamu, na kujituma ni uwekezaji mkubwa kuliko chochote. Kila siku ninapata furaha kuona watu wakiboresha maisha yao, kujiamini zaidi, na kufikia malengo yao kupitia mabadiliko chanya wanayoamua kuyafanya.

Safari hii imenifundisha kuwa biashara si kuuza bidhaa tu, bali ni kugusa maisha ya watu, kutoa thamani, na kujenga mahusiano yenye maana. โœจ

K**a una ndoto, usiache kuifuatilia. K**a una lengo, usikate tamaa. Kila hatua unayopiga leo inakupeleka karibu zaidi na maisha unayoyatamani.

Tunaendelea kusonga mbele, kukua, na kuhamasishana. ๐Ÿš€

SuccessJourney

My Business Patners in my Team.In Copetown ilikuwa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅLove you So Murch leaders.Hamjawahi niangusha. Letโ€™s Work Tukuta...
12/05/2026

My Business Patners in my Team.
In Copetown ilikuwa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Love you So Murch leaders.

Hamjawahi niangusha. Letโ€™s Work Tukutane USA.

Capetown. ๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ‘Œ
12/05/2026

Capetown. ๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ‘Œ

05/02/2026

๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

Address

Kinondoni
Kinondoni
255

Telephone

+255754075095

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dumisha Afya Kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dumisha Afya Kwanza:

Shortcuts

Share