PrGiven Sanga

Website Contact the practice

PrGiven Sanga 📖 Gospel Preacher
🎤 SDA Evangelist & Pastor
🫂Christian Counselor
🌍 Winning Souls for Christ
⬇️ Sermons & Teachings

ACHA, TUBU, OGOPA, KIMBIA DHAMBI.

"UPATE UZIMA WA MILELE" MWISHO WA DHAMBI NI AIBU NA MAUTI YA MILELE."
1 Yohana 3:4 & WARUMI 6:23"

KARIBUNI SANA KATIKA SIKUKUU YA VIBANDA
15/09/2026

KARIBUNI SANA KATIKA SIKUKUU YA VIBANDA




KARIBU RUVUMA, KARIBU NYASA
13/09/2026

KARIBU RUVUMA, KARIBU NYASA




03/09/2026


19/08/2026

KANISA LANGU-IDARA YANGU

Kumbukumbu ya 2024

19/08/2026

YOUTH INVESTITURE

THE UNIVERSITY OF ARUSHA INTERNATIONAL SDA CHURCH.

conducted by Pr Isack Panga, Youth ministry Director (TRVF)

08/08/2026

If your actions inspire people to dream more, learn more, do more, and become more, you are a leader.” - John Quincy Ada...
11/08/2026

If your actions inspire people to dream more, learn more, do more, and become more, you are a leader.” - John Quincy Adams

"K**a vitendo vyako vinawahamasisha watu kuwa na ndoto kubwa, kujifunza zaidi, kufanya mambo makubwa, na kuwa watu bora zaidi, basi wewe ni kiongozi."

Psalms 9:1-2[1]I will praise thee, O LORD, with my whole heart; I will shew forth all thy marvellous works.[2]I will be ...
06/08/2026

Psalms 9:1-2
[1]I will praise thee, O LORD, with my whole heart; I will shew forth all thy marvellous works.
[2]I will be glad and rejoice in thee: I will sing praise to thy name, O thou most High.

Zaburi 9:1-2
Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;

Nitafurahi na kukushangilia Wewe; Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu.

MINISTERS SATAN'S TARGET 🎯  Satan’s special temptations are directed against the ministry. He knows that ministers are b...
31/07/2026

MINISTERS SATAN'S TARGET 🎯
Satan’s special temptations are directed against the ministry. He knows that ministers are but human, possessing no grace or holiness of their own; that the treasures of the gospel have been placed in earthen vessels, which divine power alone can make vessels unto honor. He knows that God has ordained ministers to be a powerful means for the salvation of souls, and that they can be successful in their work only as they allow the eternal Father to rule their lives. Therefore he tries with all his ingenuity to lead them into sin, knowing that their office makes sin in them more exceeding sinful; for in committing sin, they make themselves ministers of evil.
—Gospel Workers, 124 (1915). Ev 678.2

Yohana 16:8 Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.                   ...
14/07/2026

Yohana 16:8
Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.

Yohana 16:13
Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.

Mkristo mwenzangu, Shetani anajua udhaifu wako; kwa hiyo ambatana na Yesu. Kaa katika pendo la Mungu ndipo utashinda kil...
06/07/2026

Mkristo mwenzangu, Shetani anajua udhaifu wako; kwa hiyo ambatana na Yesu. Kaa katika pendo la Mungu ndipo utashinda kila jaribu. Haki ya Kristo peke yake yaweza kukupatia uwezo wa kupinga mawimbi ya uovu yanayofurika ulimwenguni. Uwe mwenye imani. Imani hufanya mizigo kuwa miepesi, na kukupa utulivu katika wasiwasi. Siri ya kutatulia matatizo ni kudumu kumtegemea Mungu. Tembea kwa imani katika mapito aliyokuagiza. Majaribu yatakuja, lakini usitishwe, endelea mbele. Majaribu yataimarisha imani yako, na kukufanya ufae kwa kazi yake. Maandiko matakatifu yameandikwa, si kwamba tuyasome tu, na kushangaa, lakini imani waliyokuwa nayo watumishi wa Mungu wa zamani, hata sisi tuwe nayo. Bwana atatenda mambo kwa wenye imani wa sasa, k**a alivyotenda kwa wale wa zamani bila kupungua.

KITABU: MASHUJAA WA IMANI.
Sura ya 13, Uk.140.1
By Ellen G. White

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PrGiven Sanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to PrGiven Sanga:

Shortcuts

Share