Dr.Muheto

Website

Dr.Muheto Doctor🩺💊
Health content creator.

29/08/2026

Sababu zinazosababisha fistula ya uzazi👇

Leo nikiwa kazini, alikuja mgonjwa akiwa na uvimbe mkubwa kwenye shingo ambao ulikuwa umeanza takribani mwezi mmoja ulio...
18/08/2026

Leo nikiwa kazini, alikuja mgonjwa akiwa na uvimbe mkubwa kwenye shingo ambao ulikuwa umeanza takribani mwezi mmoja uliopita. Alipoanza kuuona, hakuchukua hatua yoyote wala kwenda hospitali. Aliendelea kusubiri mpaka hali ilipozidi kuwa mbaya ndipo akaamua kufika hospitalini, ambapo tulimpokea na kumhudumia.

Usisubiri hali iwe mbaya ndipo uchukue hatua! 🚨

Uvimbe wowote unaodumu, unaokua au unaoambatana na dalili nyingine unapaswa kuchunguzwa mapema na mtaalamu wa afya. Kuchelewesha matibabu kunaweza kufanya tatizo kuwa kubwa zaidi na wakati mwingine kuhatarisha maisha.

👉 Afya yako usiichukulie kwa uzembe. Ukiona mabadiliko yasiyo ya kawaida mwilini, chukua hatua mapema. Usisubiri mpaka hali iwe mbaya ndipo utafute msaada.

Kumbuka: Kuchelewa kutafuta matibabu kunaweza kukugharimu maisha.

Je! Nawewe ni mzembe wa kufatilia afya yako? Andika comment 👇🏿

Damu ya hedhi kwa kawaida inaweza kuwa na rangi kuanzia nyekundu ang’avu hadi nyekundu iliyokolea au kahawia.Hata hivyo,...
17/08/2026

Damu ya hedhi kwa kawaida inaweza kuwa na rangi kuanzia nyekundu ang’avu hadi nyekundu iliyokolea au kahawia.

Hata hivyo, mabadiliko yasiyo ya kawaida, hasa yanapoambatana na maumivu, harufu isiyo ya kawaida au usumbufu, yanapaswa kujadiliwa na mtaalamu wa afya.

17/08/2026

Sababu 7 zinazo sababisha magonjwa ya muwasho ukeni👇
💬

Good morning everyone
17/08/2026

Good morning everyone

🦷 HALITOSIS: HARUFU MBAYA YA MDOMOJe, umewahi kugundua mdomo wako kuwa na harufu mbaya mara kwa mara? 😷Harufu mbaya ya m...
08/08/2026

🦷 HALITOSIS: HARUFU MBAYA YA MDOMO

Je, umewahi kugundua mdomo wako kuwa na harufu mbaya mara kwa mara? 😷

Harufu mbaya ya mdomo (halitosis) si suala la usafi wa meno pekee; inaweza kusababishwa na mambo mbalimbali yanayohusiana na afya ya kinywa na mwili.

👉 Unajua ni sababu gani zinaweza kusababisha halitosis?
Sababu zake nimezielezea kwenye comment 👇🏿

08/08/2026

Happy nane nane day to you

07/08/2026

🤔 Swali la leo:

Kwa nini mtu akiwa hai akiingia kwenye maji mara nyingi huzama, lakini akifariki baada ya muda mwili wake huanza kuelea juu ya maji?

Unafikiri sababu ni nini? Andika jibu lako kwenye maoni👇

06/08/2026

"Mambo 5 Usiyopaswa Kufanya Baada ya Kung'atwa na Nyoka"👇

Usipuuze maumivu makali ya tumbo!Maumivu yanayoanzia katikati ya tumbo na kuhamia upande wa chini kulia yanaweza kuwa da...
06/08/2026

Usipuuze maumivu makali ya tumbo!

Maumivu yanayoanzia katikati ya tumbo na kuhamia upande wa chini kulia yanaweza kuwa dalili ya appendicitis (uvimbe wa kidole tumbo).

Appendicitis ni hali ya dharura. Ukiona dalili hizi, wahi hospitali kwa uchunguzi na matibabu mapema.

💬 Maelezo zaidi yapo kwenye comment👇🏿

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.Muheto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category