NDOA Takatifu

NDOA Takatifu we provide prayer

30/07/2026
Isaya 58:10-11na k**a *ukimkunjulia mtu mwenye njaa nafsi yako, na kuishibisha nafsi iliyoteswa; ndipo nuru yako itakapo...
14/03/2026

Isaya 58:10-11
na k**a *ukimkunjulia mtu mwenye njaa nafsi yako, na kuishibisha nafsi iliyoteswa; ndipo nuru yako itakapopambazuka gizani; na kiwi chako kitakuwa k**a adhuhuri.*

[11]Naye BWANA atakuongoza daima, *ataishibisha nafsi yako* mahali pasipokuwa na maji, na kuitia nguvu mifupa yako; *nawe utakuwa k**a bustani iliyotiwa maji,* na k**a chemchemi ambayo maji yake hayapungui.

Kilombero Morogoro
26/06/2025

Kilombero Morogoro

25/06/2025

Mwanamke aitwae Kagwa Mahigi (25) mkazi wa kijiji cha Lugubu kusini wilaya ya Igunga mkoani Tabora, anadaiwa amewaua watoto wake wanne kwa kuwanywesha sumu na kisha na yeye kujiua kwa kunywa sumu hiyo hiyo, kwa madai kuwa ni baada ya mume wake kumjengea mke mdogo nyumba ya Kisasa.

Inaelezwa kuwa kitendo cha mume wake kumjengea mke mdogo nyumba nzuri na ya kisasa kimemfanya kuona hapati huduma sawa na mke huyo, hali ambayo imepelekea uamuzi huo mgumu.

Jeshi la polisi mkoani humo limethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na limetaja majina ya watoto waliofariki kuwa ni Sengi James (08), Saimon James (06), Elisha James (03) na Kashinje James Miezi (07).

14/04/2025

Je unapenda kujichora?

14/04/2025

Huyo mwanamke anatoka mkoa gani?

Address

Kilombero
Morogoro

Telephone

+255683371384

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NDOA Takatifu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to NDOA Takatifu:

Shortcuts

Share