01/08/2026
(AS) Leo August 1, katika viwanja vya Jcms Moshi tumekuwa na KAMBI KUBWA YA MATIBABU BURE kwa kushirikiana na na . Tumekuwa na Madakari kutoka KCMC Moshi, na sehemu mbalimbali. Wadau wa maendeleo na afya wamekuwa na sisi siku ya leo. Wananchi wengi wamepata huduma za papo kwa hapo bure kabisa.