Dr Neema

Dr Neema Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr Neema, Doctor, Moshi.

GCAT HOSPITAL International_HUDUMA YA OFA YA KIPIMO CHA MWILI MZIMA Tupo kwenye kipindi cha OFA maalumu utalipia Tsh 20,...
15/05/2025

GCAT HOSPITAL International_HUDUMA YA OFA YA KIPIMO CHA MWILI MZIMA
Tupo kwenye kipindi cha OFA maalumu utalipia Tsh 20,000 tu ya kufanya vipimo vya mwili mzima na utapata ushauri bure kutoka kwa Daktari.

KIPIMO KINAONESHA
1.Tatizo husika
2.Chanzo cha tatizo
3.Viashiria vya tatizo lingine
kipimo kinahusika na magonjwa sugu ambayo hayaambukizi

Tunafanya vipimo vya mwili mzima katika mifumo ifuatayo :
1.Mfumo wa ubongo
2.Mfumo wa upumuaji
3.Mfumo wa Tumbo
4.Mfumo wa Ngozi
5,Mfumo wa misuli na mifupa
6.Mfumo wa uzazi kwa wanawake na wanaume
7.Mfumo wa macho

pia Tunatoa huduma ya Matibabu kwa magonjwa sugu k**a ifuatavyo
-vidonda vya Tumbo,Presha, Kisukari,
Moyo,Figo,INI,Choresterol,bawasili,
-Tezidume,fangasi,Uzazi kwa wanawake na wanaume , macho, Allergy, Mifupa ,Ngozi

Tunatbu Uvimbe Aina zote bila upasuaji, stroke(kupooza) , miguu,Magoti, ganzi, uzito, na unene, uvimbe kwenye via vya uzazi,ukuaji Mbovu wa watoto n.k

ili kupata huduma wasiliana nasi kwa namba.
0755522732

Address

Moshi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Neema posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category