23/04/2026
Tunaishii leo tukiwa na matumaini makubwa na ndoto kubwa kwasababu tunaye afya njema..!
Wanaoumwa hawajiwezi wakiwa kitandani wana ombi moja tu kwa Mungu nalo ni KUPONA!.
Popote ulipo mwambie Mungu AHSANTE.