Dr Halidi Mruma

Dr Halidi Mruma TUJIFUNZE TIBA YA ASILI, MAJANI, MAGOME, MATUNDA NA MIZIZI NI DAWA

16/01/2026

πŸ”₯πŸ”₯ OFa MAALUM YA IJUMAA – HUDUMA ZA TIBA ASILI & DUA KWA MBALI πŸ”₯πŸ”₯
Fursa adimu kwa mwenye changamoto za maisha! Leo ni siku ya neema kwako unayepitia magumu yasiyoelezeka, kuchelewa kwa mafanikio, au kuhisi maisha yako yamesimama bila sababu ya wazi. Je, unahisi kuna:

❌ vifungo vya maisha
❌ nguvu zisizo za kawaida
❌ mikosi ya kurudia-rudia
❌ ndoa kukosa amani
❌ magonjwa yasiyoeleweka kitabibu

πŸ‘‰ Leo ndiyo siku yako ya kupata ufumbu*i.

1) HUDUMA YA KWANZA NI SHILINGI 1,000/= TU

Huduma hii ni kuangaliwa changamoto zako zote, leo nimefungua nafasi maalum ya kuangalia kinachokukwamisha kimaisha kwa shilingi 1,000/= pekee, Tuma
Majina yako kamili kupitia Inbox au WhatsApp, na utaangaliwa na kujibiwa bila kuchelewa.

2)HUDUMA YA PILI NI SHILINGI 2,000/= TU

Huduma hii ni elimu ya nyota na mwongozo wa maisha
Kwa shilingi 2,000/=, leo utapata maarifa muhimu yatakayokusaidia kupanga maisha yako kwa uelewa sahihi:

βœ” Nyota yako ni ipi na ina maana gani
βœ” Nguo zinazokufaa kulingana na nyota yako
βœ” Namba yako ya bahati
βœ” Mwongozo wa ndoa – nani anayekufaa kuoana naye

πŸ‘‰ Huduma hii huwasaidia wengi kuelewa kwanini mambo yao huchelewa au kuharibika bila sababu.

3) HUDUMA YA TATU NI SHILINGI 3,000/= TU

Huduma hii ni kufanya dua maalum ya kukuondolea vifungo
K**a unapambana na changamoto nzito k**a:

⚠ Magonjwa sugu au yanayorudia bila majibu
⚠ Vifungo vya maisha na kukosa mafanikio
⚠ Migogoro ya ndoa, familia au mahusiano
⚠ Mikosi ya kazi, biashara au ndoa
πŸ‘‰ Leo nitakufanyia dua maalum binafsi kwa sadaka ya 3,000/= tu.

MUHIMU SANA

OFA hii ni ya leo Ijumaa pekee Inaisha usiku wa leo

πŸ‘‰ Usisubiri hadi ofa iishe, chukua hatua sasa.

Wasiliana nami kupitia Inbox au WhatsApp kwa maelekezo ya malipo na huduma.

Dk Halidi Haji Mruma 0716260828

MVUTO KWA KUTUMIA MAUA YA NDULELEIkiwa unataka kuongeza mvuto katika mahusiano, kujenga mvuto wa mafanikio katika maisha...
08/01/2026

MVUTO KWA KUTUMIA MAUA YA NDULELE
Ikiwa unataka kuongeza mvuto katika mahusiano, kujenga mvuto wa mafanikio katika maisha yako, ku*ima mambo mazito yanayokusonga au kukukwaza katika maendeleo yako
fanya yafuatayo kwa umakini:

Tafuta maua ya kutosha ya ndulele.
Anika kivulini kwa siku moja tu.
Siku ya pili, saga maua hayo hadi yawe laini kabisa, changanya unga huo na mafuta yako ya kujipaka (unga uwe mwingi zaidi kuliko mafuta)

Kabla ya kupaka, fanya manuizi kulingana na lengo lako (sema unachokusudia kwa imani) paka kila asubuhi baada ya kuoga, paka tena jioni kabla ya kulala. Haipiti siku mbili, utaanza kuona dalili za kile ulichokusudia.

Tahadhari MuhimuπŸ‘‡

Usichume maua ukiwa mwezini.
Usichume ukiwa umetoka kulewa.
Usichume ukiwa umetoka kufanya mapenzi.

Mwenye shida ya binafsi, tiba, ushauri au changamoto yoyote, anitafute moja kwa moja kwa simu, SMS au WhatsApp, na atapata msaada kwa uwezo wa Mungu.

Dk Halidi Haji Mruma 0716260828

TIBU UGONJWA WA INI KWA TIBA ASILIIni ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu. Husaidia kuchuja sumu, kusafisha d...
29/12/2025

TIBU UGONJWA WA INI KWA TIBA ASILI

Ini ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu. Husaidia kuchuja sumu, kusafisha damu, na kusimamia mmeng’enyo wa chakula. Endapo ini litapata shida, mwili mzima huathirika. Kupitia hekima ya tiba asili, yapo matibabu yanayosaidia kulipa ini nguvu

MTI WA MBAAZI NI DAWA YA ASILI YA INI

Chuma majani ya mbaazi mabichi au tumia majani yaliyokauka tayari.
K**a ni mabichi, yakaushe ndani sehemu yenye hewa, sio nje kwenye jua.
Baada ya kukauka, yasage hadi yapate unga laini.

MATUMIZI

Chota kijiko kimoja cha unga wa majani ya mbaazi na changanya kwenye glasi moja ya maji ya moto na kunywa asubuhi na jioni. Tumia kwa muda wa siku 12 mfululizo..

TAHADHARI

Zingatia usafi wakati wa maandalizi
Epuka kutumia kupita kiasi
Wenye matatizo makubwa ya ini wanashauriwa pia kufanya vipimo hospitalini

IMANI

Zingatia kuwa uponyaji ni kwa uwezo wa Mungu, dawa ni sababu tu.

Kwa mwenye shida binafsi ya kiafya, anayehitaji ushauri au matibabu ya tiba asili, wasiliana nami moja kwa moja.

Dk Halidi Haji Mruma 0716 260 828

28/12/2025

HABARI WANAGROUP WOTE, MUNGU ATUJAALIE SOTE

Tunapo karibia mwisho wa mwaka, napenda kuwataarifu kuwa k**a mtaalam wa tiba asili, kila mwaka tarehe 31/12 hufanya dua/tambiko maalum la mwisho wa mwaka kwa ajili ya watu wenye changamoto mbalimbali za maisha, pamoja na wale wote wanaotamani kuukaribisha mwaka mpya wakiwa na baraka, ulinzi na mwanzo mpya ulio huru na vifungo vya wachawi, chuki na nia mbaya za watu, Dua/tambiko hili hufanyika mara moja tu kwa mwaka, na hushirikisha mtu mmoja mmoja au familia nzima.
Gharama ya sadaka kwa mtu mmoja au familia ni shilingi 30,000/=.

Mshiriki anatakiwa kutuma sadaka yake, majina yake, ya mke/mume na watoto wote.

Dua/tambiko hili halijali umbali wa mtu alipo; jambo la msingi ni sadaka na majina ya wahusika. Hata hivyo, kwa wale waliopo karibu na wenye uwezo wa kufika nyumbani kwangu, mnakaribishwa. Napatikana mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Mwanga, kata ya Kwakoa Upareni.

Natoa tangazo hili mapema ili kuwapa nafasi wale wenye uwezo kujiandaa, kutoa sadaka mapema au kuthibitisha ushiriki wao kabla ya tarehe husika.
K**a uko tayari kushiriki au unataka jina lako liandikwe kwa ajili ya dua/tambiko hili, wasiliana nami kupitia:
Simu
SMS
WhatsApp

Dk Halidi Haji Mruma 0716260828

JIKINGE NA UCHAWI KWA KUTUMIA KIJITI CHA MUHONGO NA MBAAZIMbaazi na muhogo ni Kiboko ya uchawi, funga kijiti cha mbaazi ...
19/12/2025

JIKINGE NA UCHAWI KWA KUTUMIA KIJITI CHA MUHONGO NA MBAAZI

Mbaazi na muhogo ni Kiboko ya uchawi, funga kijiti cha mbaazi (utoe maganda yake) na kijiti cha muhogo (Usitoe maganda) ongeza kufunga na kitambaa cheupe au u*i mweupe kisha weka kwenye pochi yako, Ni kinga kubwa dhidi ya uchawi na baadhi ya nguvu nyingi za uchawi..

K**a una shida binafsi, unahitaji tiba au unataka ushauri nipigie, tuma sms au nitafute whatsap kwa msaada zaidi

Dk Halidi Haji Mruma 0716260828

Address

Kwakoa
Mwanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Halidi Mruma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category