25/05/2026
Watu wengi wanaishi na maumivu ya kifua, kiungulia, gesi tumboni na chakula kupanda kooni bila kujua kuwa inaweza kuwa ni changamoto ya Acid Reflux.
Usipuuzie dalili hizi mapema, afya yako ni muhimu π
βοΈ Epuka vyakula vya mafuta mengi
βοΈ Punguza kula usiku sana
βοΈ Kunywa maji ya kutosha
βοΈ Tafuta ushauri sahihi wa afya
Afya njema huanza na kujali mwili wako kila siku πΏ
βTunajali afya yakoβ β Afya Bora na Jenipher π 0789014887