19/08/2026
Follow the KILIMO FURSA NA SUPERGRO YA KISASA channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbDLdBqKLaHtxNeXqe3J
Follow KILIMO FURSA NA SUPERGRO YA KISASA's WhatsApp channel. Karibu kwenye KILIMO FURSA NA SUPER GRO YA KISASA π±πΎ
Hii ni channel maalum kwa wakulima, wafugaji na wafanyabiashara wa mazao wanaotaka kuongeza uzalishaji na faida kupitia elimu sahihi ya kilimo cha kisasa.
Utapata: β
Mbinu za kisasa za kilimo
β
Matumizi sahihi ya Super Gro na bidhaa nyingine za kilimo
β
Ushauri wa kuongeza mavuno
β
Udhibiti wa magonjwa na wadudu wa mazao
β
Fursa za biashara na masoko ya mazao
β
Mafunzo kwa wakulima na wafugaji
Lengo letu ni kukusaidia kulima kwa maarifa, kuongeza mavuno na kuboresha kipato chako.
πΏ Kilimo ni Biashara, Maarifa ni Mtaji! πΏ
Karibu sana ufuatilie channel hii na usisite kushiriki kwa wakulima wengine ili wote tufanikiwe pamoja. ππ±π°. Get the latest updates directly on WhatsApp.