04/01/2026
MKUNDE PORI NA MAZIWAMAZIWA MATUMIZI NA TIBA ZAKE
HUTIBU MATATIZO YAFUATAYO
Kuzibua mirija ya uzazi kwa wanawake
Chango la uzazi kwa wanawake
Maumivu ya tumbo
Matatizo ya hedhi
Kushindwa kushika mimba
Ngiri kwa wanaume
Maumivu ya viungo na mgongo
Kusafisha kizazi
Kuondoa sumu ya uzazi wa mpango
Kukomaza mayai na kusogeza kizazi karibu
DALILI DAWA IKIANZA KUFANYA KAZI
Kwenda haja ndogo mara kwa mara
Kuvuta tumbo chini
(Usiogope, ni kawaida)
MAANDALIZI YA JUMLA
Njia ya Kwanza
Unga wa mizizi ya mkunde pori
Kijiko 1 kwenye kikombe cha uji au maji ya moto
Asubuhi na jioni
Kwa siku 5
Njia ya Pili
Chemsha mizizi ya mkunde pori
Kunywa nusu glasi asubuhi na jioni
Kwa siku 5–10
KWA TATIZO LA KUTOPATA MIMBA
Maandalizi
Chemsha majani robo kilo
Maji lita 2 hadi yabaki lita 1½
Matumizi
Nusu glasi, uvuguvugu
Mara 2 kwa siku
Kwa siku 10–15
MKUNDE PORI + MZIWAZIWA (KWA WANAWAKE WANAOTAFUTA MTOTO)
HUSAIDIA
Kusafisha kizazi
Kuondoa sumu ya uzazi wa mpango
Kukomaza mayai na kusogeza kizazi
Maandalizi
Mizizi ya mkunde pori
Mmea mzima wa mziwaziwa
Chemsha pamoja
Matumizi
Glasi 1 asubuhi na jioni
Tumia siku 7 kabla ya siku zako