31/01/2023
💔 HUBA LILOZIMWA NA TAMAA (part2)
remember siku hiyo asubuhi nilipiga simu haikupokelewa siyo kawaida but nikafikil labda atakuwa mbali na simu au hajaisikia nikatuma ujumbe wa salam nikaendelea na mishe zangu za kila siku, mchana akatuma sms ya salam na sms nyingine inauliza flani ni nani yako? sikujibu kwa muda huo badae jion nikampigia simu haikupokelewa . nikatuma sms what happened. jibu ilitumwa namba na swali mwenye namba hii nani yako? bhana wee kuizoom no ilikuwa ya kivulege, dah nikajua tu mambo yamesha vulugwa. Nikajikoki kuomba msamaha
tuma sms za kujitetea nikapiga simu kusoudisha nikasamehewa kwa mashariti nafuu ya kua mwaminifu, nikapromise kufanya hivyo, but nikawa na swali namba ya kivulege ameipataje kumbe kivulege alichukua no ya bibie kwenye simu yangu akampigia na kujitambulia kua yeye ni mchumba wangu nilipojua ndo ikawa mwisho wa kudet na kivulege "forwardstory. life ikasonga mahaba ndindi, akanitambulisha baadhi ya marafiki zake akawa anakuja maghetto plan za mke na mme zikawa 90% siku bibie akanipa tarifa za kwenda kusoma college dom, but tarifa nilikua nazo toka long ila alifanya k**a kunikumbusha kua siku fulani anaenda, basi siku ikafika bibie akaenda college, penzi likawa la mbali, linaitaji subra na uvumilivu kidume mie sikuwa na hiyo subra, damu inachemka kila time akili inawaza mambo, nikatafuta pakupozea injini, bint fulani hivi jampo nilikuwa sina love naye ila 6kwa6 alikuwa mtundu, lakini mawazo yote yalikuwa kwa future wife siku zikapita k**a 2month hivi mshangao chautundu, anasema yuko na mimba yang, uwiiii akili ilikufa ngazi dakika kadhaa . aisee inakuaje unashika ujauzito kifala fala, basi nikajitaidi kuficha siri ili bibie asijue, Aisee waliyoimba halifichi pembe la ng'ombe nikweli bhana sjui nani alizifikisha tarifa kwa future wife, k**a kawaida mida ya night lazima tuwasiliane tupige story nikampigia akapokea saut yake ilionyoshe yuko na jambo, nilikua napenda kumtania nikaaza kumtania lakini wapi,
INAENDELEA next post