01/05/2026
Heri ya Siku ya Wafanyakazi!
Brexon Company Limited, tunaamini kuwa kila juhudi hujenga kesho iliyo bora.
Leo tunawaheshimu wote wanaofanya kazi kwa moyo na kujituma.
Endeleeni kung’ara!
kauli mbiu " kazi zenye staha ni nguzo imara kwa maendeleo endelevu katika utekelezaji wa Dira ya Taifa 2050"