17/08/2026
*🌹Maswali ya wanawake wengi*
Nimeongea na asilimia 90% ya wanawake Tangu juzi
Maswali ya wengi ni ...👇
🌟Dr Charzy Uvimbe unatokaje baada ya matibabu?
Je unatoka ukeni au kwa njia Gani?
🌟Kwanini Mimi nimefanya upasuaji lakini sishiki Ujauzito...?
Yapo mengi ila ngoja nianze na haya...
💚Je unafahamu baada ya mwanamke kukoma hedhi Uvimbe huisha wenyewe?
Hii Kila doctor atakwambia, hii ni kwasababu chanzo cha UVIMBE ambacho ni homoni za Uzazi hususani
"Estrogen"
Zinaanza kuzalishwa kidogo kuliko kawaida hivyo Uvimbe hauwezi kuendelea kukua ila ni kuanza kuyeyuka na kupungua
💚Je Uvimbe huu unavyoisha unatoka ukeni au kwa njia ya choo🤔?
Hapana, ila unakuwa unapungua yaani k**a *unanyauka* (fibroids shrinking) au kuyeyuka taratibu
*Kumbe Suala ni Kutibu Chanzo cha UVIMBE kwanza*
Hivyo unapopata Dozi Huwa hivyohivyo...
👌Kwa niliowasaidia changamoto ya Uvimbe mtakuwa mnanielewa vizuri
❎Hivyo sio Uvimbe kudondoka, kwasababu Uvimbe ni sehemu ya Kizazi na umeundwa na Tishu za Uzazi
K**a utadondoka maana yake utaacha majeraha kwasababu Uvimbe ni sehemu ya Mwili / Kizazi
Hapa nadhani mmenielewa vema... Health wealth