Dr Geofrey L Mdede

Call Website Contact the practice

Dr Geofrey L Mdede we provide health education and consultation here for free tunatoa ushauri wa kiafya bure. uliza chochote usaidiwe kuhusu afya yako

24/04/2026

Uliza swali lolote kuhusu magonjwa ya binadamu, afya nitakujibu bure kabisa. Elimu haina mwisho

Ask any question about human diseases, health I will answer freely. Education has no end.

17/01/2026
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Erick Nongele, Edy Kinyaga Kinyaga, Haruna Ngeng'ena, M G...
17/01/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Erick Nongele, Edy Kinyaga Kinyaga, Haruna Ngeng'ena, M Gervas Mathayo, Aisha Aisha

10/01/2026

Mtaka

14/12/2025
25/11/2025
Makamu wa Rais Dr  Nchimbi akiteta jambo Na Mheshimiwa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramphosa nchini Angola, anamwakilisha...
25/11/2025

Makamu wa Rais Dr Nchimbi akiteta jambo Na Mheshimiwa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramphosa nchini Angola, anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 7 wa Kilele wa Viongozi wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya (AU-EU Summit), utakaofanyika tarehe 24 na 25 Novemba 2025 Jijini Luanda.

Twende na msoga Half marathon. Twendeni tukakimbie. Mhe Ridhiwani Kikwete Waziri wa Ajira, Vijana na wenye ulemavu na mb...
01/01/2025

Twende na msoga Half marathon. Twendeni tukakimbie. Mhe Ridhiwani Kikwete Waziri wa Ajira, Vijana na wenye ulemavu na mbunge wa Chalinze ndo anavyo anza mwaka hivi.

Mwaka 2025 ni Mwaka wa MamaMwaka 2025 ni Mwaka wa Samia2025 Mpango ni SamiaKazi tulishaimaliza, 2025 ni kumalizana nao. ...
01/01/2025

Mwaka 2025 ni Mwaka wa Mama

Mwaka 2025 ni Mwaka wa Samia

2025 Mpango ni Samia

Kazi tulishaimaliza, 2025 ni kumalizana nao.


Mwenyekiti wa Chipukizi Mkoa wa Ruvuma Ndugu Pauline Geofrey Mdede na Gracelyne Geofrey Mdede wakimpokea na kumvisha taj...
01/01/2025

Mwenyekiti wa Chipukizi Mkoa wa Ruvuma Ndugu Pauline Geofrey Mdede na Gracelyne Geofrey Mdede wakimpokea na kumvisha taji Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa ndugu Jokate Mwegelo alipotembelea mkoa wa Ruvuma hivi karibuni.

Address

Songea
Songea

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Geofrey L Mdede posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr Geofrey L Mdede:

Shortcuts

Share

Category