25/07/2023
KUWASHWA KIUNGO NA ISHALA YAKE.
Mawasiliano na mzee issa mwela +255745531412
Dalili za kuwashwa ziko nyingi lakini nawapa hizi kwanza
👇👇👇👇👇👇👇👇
1. Ukiwashwa kiwiko cha mkono wa kushoto utapata habali mbaya.
2. Ukiwashwa kiwiko cha mkono wa kulia utapata habali nzuli au utapata pesa.
3. Ukiwashwa kiganja cha mkono wa kulia utapata pesa.
4. Ukiwashwa kiganja cha mkono wa kushoto utatoa pesa au utapoteza pia ni ishala ya kulipa madeni.
5. Ukiwashwa fundo la mguu wa kulia utapata pesa.
6. Ukiwashwa fundo la mguu wa kushoto utatoa pesa.
7. Ukiwashwa tumbo maeneo ya kitovuni, utakula kitu kizuli au utapata mwaliko.
8. Ukiwashwa makalio, utapata suluhu ya matatizoyako au k**a unakesi ita suluhiswa na k**a muna ugonvi ndani mtapata suluhu au utateuliwa kusuluhisha watu.
9. Ukiwashwa mapaja, utahama au utapata safali.
10. Ukiwashwa goti la mguu wa kushoto utaletewa habali za uongo au kunawatu wanakusema vibaya.
11. Ukiwashwa goti la kulia, utapata habali nzuli.
12. Ukiwashwa juu ya nyayo mguu wowote, utapata jambo la kukushangaza na litakukela.
13. Ukiwashwa unyayo wa mguu wa kushoto, utapata safali ya matatizo na k**a unasafali safali hiyo ni mbaya usiende.
14. Ukiwashwa nyayo ya kulia, utapata safali ya mafanikio na kuna uwezekano wa kupata pesa.
15. Ukiwashwa jicho la kulia, utaona kitu kizuli.
16. Ukiwashwa jicho la kushoto utaona kitu kibaya na hakita kupendeza na nidalili ya kupata matatizo.
17. Ukiwashwa katika ziwa kwa mwanamke ni dalili ya kupata ujauzito.
SIMU AU WHATSAPP +255745531412