Ushauri wa ujasiliamali, Ndoa. Saikolojia na afya

Ushauri wa ujasiliamali, Ndoa. Saikolojia na afya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ushauri wa ujasiliamali, Ndoa. Saikolojia na afya, Tabora, Tabora.

Ukurasa wa Ushauri kuhusiana na (Ndoa,Uchumba ,Uchumi,Afya na Saikolojia )Tunafanya kwa njia ya mijadala kwa lengo la kujenga mahusiano bora ya kuheshimiana na kujenga mshikamano,Hatuna mlengo wa itikadi za Siasa Dini wala kabila lugha na rangi

22/11/2025

NDOA SI MAZOEYA WALA SEHEMU YA MAJARIBIO — NI TAKATIFU*

Ili ndoa yako idumu, *kuwa mtu wa staha.*
Usiige. Usifuate mkumbo.
*Mapenzi si maigizo — ni uhalisia wa wawili waliokubaliana.*

Usikubali kuiga rafiki yako anavyomkatia mwenzie viuno, au anavyofanya mambo fulani chumbani…
Ukaenda kujaribu kwa mwenzi wako bila kuelewana.

*Kumbuka:*
Kitendo kidogo k**a hicho kinaweza kusababisha mwenzi wako ahisi:
❌ Hujawa mwaminifu
❌ Kuna mtu anakufundisha mambo mengine nje
❌ Umepoteza utu wa mahusiano yenu

Anaweza kukuuliza kwa upole, “Umejifunza wapi?”
Ukijibu: “Kwa rafiki…” au “kwa video…”
*Hata k**a atanyamaza, moyo haujanayamaza.*
Na pale anapopunguza kukuamini — ndoa inaanza kufifia polepole.

---

*📌 Jadili nasi kwenye comment section: Je, umewahi kufanya jambo la kuiga kisha likaathiri uaminifu wenu?*
Tujifunze kwa uhalisia, si maigizo.

---

*

18/11/2025

IMANI NDIYO KILA KITU KWENYE UTAJIRI WA VITU

Nimegundua kuwa watu wenye akili nyingi na maarifa makubwa mara nyingi huishia kuishi maisha ya kawaida, lakini wale wenye IMANI (imani kwa Mungu, kwa ndoto zao, au kwa hatua zao) ndiyo wanaomiliki uchumi mkubwa.*

*Je, unakubaliana na hili?*
*K**a hujanielewa vizuri njoo hapo kwenye comment section tujadili kwa pamoja. Mimi mwenyewe nahitaji kuelimika zaidi.*

✍️ *Toa maoni yako au swali lako — tuelimike sote!*

---

15/11/2025

Ndoa Ina Baraka na Laana*

Ndoa si safari ya kimwili tu, ni mkataba wa kiroho na dhamana ya malezi.
Utakapokabidhiwa kuishi na mtoto wa watu (mke au mume), umeingia mkataba wa:
✔️ Kumtunza
✔️ Kumlea
✔️ Kumwongoza kwa njia njema
✔️ Kusaidiana kufikia malengo ya Mungu

*Usijaribu kumuacha mume au mke wako kwa mbwembwe – labda awe ndiye ameamua kuondoka mwenyewe.*
Wengi walifanya hivyo bila sababu za msingi, wakavunja agano, na dunia ikawageuka.
Sababu ni moja: *walivunja mkataba wa kiroho walioufunga mbele za watu na Mungu.*

🔍 K**a nawe ni shahidi, umewahi kuona au kupitia hali k**a hii – andika kwenye comment👇
Wengine wajifunze kwa uzoefu wako.

---

*

14/11/2025

Hii changamoto inakukumba na wewe.je unajua suruhu yake

Unaweza kuuliza chochote au kuomba chochote tuko hapa kwa ajili yako
12/11/2025

Unaweza kuuliza chochote au kuomba chochote tuko hapa kwa ajili yako

12/11/2025
📌 Je, unajua?*Mwanamke kuwa na ute au maji mengi ukeni wakati wa tendo la ndoa ni jambo la kawaida na la kiafya kabisa!💧...
12/11/2025

📌 Je, unajua?*

Mwanamke kuwa na ute au maji mengi ukeni wakati wa tendo la ndoa ni jambo la kawaida na la kiafya kabisa!

💧 Huu ni ute unaotengenezwa na mwili wake kwa ajili ya:
✅ Kulainisha uke
✅ Kupunguza msuguano
✅ Kuongeza raha wakati wa tendo

Hii hutokea zaidi wakati wa msisimko, ovulation au ujauzito.

*⚠️ Lakini...*
K**a ute una harufu mbaya, una rangi ya ajabu (kijani au kijivu), au unasababisha muwasho, tafadhali pata ushauri wa daktari. Inaweza kuwa ishara ya maambukizi.

🔍 Fahamu mwili wako, linda afya yako!

---

* *

🟡 *MUWASHO SEHEMU ZA SIRI?* Usikonde! Zipo *tiba za asili* zinazoweza kusaidia kwa usalama kabisa 🧘🏾‍♀️🌿🔸 *1. Mshubiri (...
11/11/2025

🟡 *MUWASHO SEHEMU ZA SIRI?* Usikonde! Zipo *tiba za asili* zinazoweza kusaidia kwa usalama kabisa 🧘🏾‍♀️🌿

🔸 *1. Mshubiri (Aloe Vera)* – Tuliza muwasho kwa kupaka gel yake mara 2 kwa siku.
🔸 *2. Maji ya moto + chumvi* – Kaanga bakteria kwa kuoshea sehemu za siri dakika 10.
🔸 *3. Mafuta ya n**i* – Pakaa nje ya sehemu ya siri, yaua fangasi na bakteria.
🔸 *4. Muarobaini/Mlonge* – Chemsha majani, tumia maji kupunguza muwasho.
🔸 *5. Yogurt ya asili* – Ina *probiotics* wanaosaidia kuondoa fangasi kwa ndani na nje.

🚫 Epuka sabuni zenye manukato
⚠️ Ukiona muwasho unaendelea zaidi ya siku 3 au kuna harufu mbaya/maumivu – *nenda hospitali!*

07/03/2024

Kuna wakati moyo hurusu mawazo mabaya yajadiliwe ndani yake.Lakini ashukuriwe Mungu atupaye kushinda.

Address

Tabora
Tabora
45311

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 06:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255755084000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ushauri wa ujasiliamali, Ndoa. Saikolojia na afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Ushauri wa ujasiliamali, Ndoa. Saikolojia na afya:

Shortcuts

Share