Tiba Mbadala Tanga Tanzania

Tiba Mbadala Tanga Tanzania Tiba mbadala za dawa za miti shamba & ushauri buree. +255745998149, call & whatsap, Dr Habibu, Chumbageni Area- Tanga Town ,Tanzania

FAHAMU  FAIDA  ZA MWANI ( SEAMOSS )  KATIKA KUPAMBANA NA KUZUIA MAGONJWA MWILINI .HUU MMEA UNA SIRI KUBWA YA KUPAMBANA N...
11/01/2026

FAHAMU FAIDA ZA MWANI ( SEAMOSS )

KATIKA KUPAMBANA NA KUZUIA MAGONJWA MWILINI .HUU MMEA UNA SIRI KUBWA YA KUPAMBANA NA CHANZO CHA MAGONJWA NA KINGA , TIBA KATIKA MWILI WA MWANADAMU.

MMEA WA MWANI ( SEAMOSS ) MKAVU 1 KGM TZSH 20,000/-
UNGA UNGA TZSH. 25,,000/-

K**A UNA MAGONJWA YAFUATAYO AU K**A BADO HUJAUMWA UNAWEZA KUTUMIA K**A KINGA NA UTAISHI BILA HAYA MAGONJWA YAFUATAYO;-

1.CANCER
2.PRESSURE
3.ASTHMA
4.KISUKARI
5.TEZI DUME
6.MAGONJWA YA MOYO
7.MAGONJWA YA AKILI
8.lEUKEMIA-kansa ya seli nyeupe ya damu na uboho wa mifupa
9.MATATIZO YA KUVURUGIKA KWA HORMONES KWA WANAUME NA WANAWAKE
10.MAGONJWA YA TUMBO
12.MATATIZO YA MACHO
13.KIHARUSI/ KUPOOZA/STROKE

FAIDA ZAIDI ZA MWANI/SEAMOSS

1.Husaidia mmeng'enyo wa chakula
2.Chanzo cha madini mhimu katika mwili
3.Husaidia afya ya viungo na kuondoa uvimbe
4.Husaidia kupunguza uzito
5.Husaidia kutuliza AKILI
6.Husaidia kuimarisha afya ya ngozi na nywele
7.Husaidia kuzuia kansa
8.Huimarisha Kinga ya mwili
9.Husaidia kuzuia magonjwa ya moyo na pressure
10.Huzuia kufa ganzi mwilini
11.Huondoa sumu mwilini
12.Hupunguza msongo wa mawazo katika ubongo
13.Huongeza nguvu mwilini
14.Husaidia afya ya ubongo
15.Husaidia afya ya macho
16.Husaidia kupambana na kuzeeka (Anti-aging)
17.Huzuia magonjwa ya mfumo wa upumuaji k**a asthma
18.Hutibu vidonda na makovu

FAIDA ZA MWANI/SEAMOSS KATIKA NGOZI

Kutokana na mwani kuwa na kiwango kikubwa cha madini na vitamins yapatayo 92 kwa pamoja, mwani umekuwa msaada mkubwa katika afya ya ngozi na kusaidia yafuatayo.

1.Kuchelewesha kuzeeka kwa ngozi kwa kuondoa makunyanzi na kuipa ngozi vitamini na madini mhimu.

2.Kuondoa chunusi na kuondoa aina zote za uvimbe katika ngozi. Mwani una kiwango kizuri cha Sulfur ambayo inazuia uzalishaji wa sebum na kuondoa chunusi.

3.Kufanya ngozi kuwa nyororo, ya kung'aa na laini yenye afya.

4.Kuondoa uvimbe wa aina mbali mbali na mafuta mafuta katika ngozi.

5.Hutibu vidonda na michubuko katika ngozi.

6.Husaidia kuondoa makovu katika ngozi.

7.Hutibu upele, miwasho, harara, mapunye, majibu na kila aina za uvimbe katika ngozi.

8.Huondoa fangasi za miguuni, magaga na magamba magumu katika ngozi na miguu.

9.Huondoa makunyanzi katika ngozi na upele baada ya kunyoa.

10.Hutibu pumu ya ngozi na ya kawaida HATA sugu

*Kwa ubora wa seamos/mwani katika kutibu ngozi ikapewa jina la "Vegan-Collagen"*

FAIDA ZA SEAMOSS KWA AFYA YA UZAZI KWA MWANAUME

1.Inaongeza kiwango cha testosterone kwa kiasi kikubwa sana ambayo husaidia katika ukuaji mzuri wa misuli,inaongeza nguvu mwilini na kuongeza hamu ya tendo kwa kiasi kikubwa sana.Hii ni moja kati ya faida kubwa sana ya mwani kwa mwanaume

2.Inaongeza kiwango cha nguvu na kupambana na uchovu mwilini.Mwani una kiwango kikubwa sana cha madini ya Chuma mbayo husaidia kuongeza uimara/stamina kwa kusaidia kusafirisha oxygen vizuri katika seli za mwili na dhakari ya mwanaume na kufanya kuweza kuhimili tendo kwa kiwango kikubwa sana.

3.Huongeza utendaji mzuri wa kuhimili tendo kwa kiwango kikubwa.Mwani husaidia mzunguko wa damu mzuri katika uume kwa kuwa na kiwango kizuri cha madini ya Zinc,Vitamin D,Vitamin E na L-Arginine

4.Inasaidia kuzuia kuvimba kwa tezi dume.Mwani una madini mhimu ambayo yanasaidia kuzuia tezi dume kuvimba na kusababisha madhara ambayo yanaweza kuchangia kushusha uwezo wa kuhimili tendo.Ukitumia mwani mara kwa mara unakuepusha kabisa kupata hatari ya tezi dume.

5.Husaidia kupunguza mawazo na kuimarisha afya ya ubongo.Mwani una kiwango kikubwa cha madini ya Magnesium ambayo husaidia kutuliza mfumo wa neva na kusaidia utulivu wa ubongo ambayo husababishwa na mwani kuwa na kiwango kikubwa cha madini ya omega-3 na antioxidants.

FAIDA ZA SEAMOSS/MWANI KWA MWANAMKE

1.Husaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi
2.Huimarisha afya ya uzazi
3.Husaidia kuimarisha afya ya uzazi katika ujauzito na afya ya mtoto tumboni
4.Husaidia kuchelewesha ukomo wa hedhi (menopause)
5.Husaidia afya ya uzazi kwa kuongeza hamu ya tendo kwa kiasi kikubwa
6.Husaidia kuondoa uvimbe mwilini na uvimbe katika kizazi
7.Husaidia kuondoa harufu mbaya na uchafu katika uke
8.Husaidia kuweka kiwango sahihi cha ute ute katika uke
9.Husaidia kuimarisha misuli ya uke na kuzuia kulegea kwa misuli ya uke
10.Husaidia kuimarisha afya ya nywele na ngozi

Ukitumia vizuri mwani/seamoss k**a moja ya vyakula katika ratiba zako za mlo hamna ugonjwa wowote utaishi mwilini mwako.Mwani una madini mhimu 92 na mwili wa binadamu unahitaji madini mhimu 102,mwani una kiwango kikubwa cha madini kwa pamoja kuliko mmea wowote DUNIANI na ulianza kutumika kwa tiba toka Karne ya 18.

SIRI YA CHANZO CHA MAGONJWA NA KAZI YA MWANI/SEAMOSS KATIKA KUZUIA MAGONJWA

Katika tafiti za wakongwe wa tiba za asili wamebaini kuwa k**asi/mucus na asidi/acid mwilini ndio sababu kubwa ya mazingira ambayo husababisha vimelea vya magonjwa k**a virusi,bacteria nk kuishi na kusababisha magonjwa mbali mbali katika mwili.Moja kati ya kazi kubwa na mhimu ya mwani ni kuondoa hali ya uk**asi/mucus mwilini na kuondoa hali yoyote ya chanzo cha uvimbe ambavyo ndio sababu kubwa ya magonjwa.Mwanj una kiwango kikubwa cha madini ya Iodine ambayo husaidia kuondoa hali yoyote ya uk**asi ambayo hupelekea magonjwa mengi.Kiuhalisia ukiweza kuweka mwili wako uwe na kiwango sahihi cha alkali na kuondoa mazingira ya uk**asi na acid basi hamna ugonjwa wowote utaishi mwilini mwako,katika mimiea na vyakula mwani umekua na kiwango cha juu na sahihi cha alkali ambayo huuweka mwili katika hali ya alkaline na kuzuia vimelea na uvimbe wowote unaweza kujitokeza na kusababisha magonjwa. nk.

NIPIGIE SIMU;-

+255745998149, CALL & WHATSAAP

+255740631662, CALL ONLY

DR.HABIBU A BAKARI

TUPO ;

TANGA---TOWN

TANZANIA

Mikoani na nje ya Tanzania tunatuma kwa usafiri husika. Mabasi na DHL

Tembelea Kurasa wetu kufahamu huduma zetu zaidi za tiba Asili na dawa za miti shamba πŸ’―.

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—Ÿπ—” π—¨π—©π—œπ— π—•π—˜ π—žπ—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ π—žπ—œπ—­π—”π—­π—œ (π—™π—œπ—•π—₯π—’π—œπ——π—¦) πŸ‘‡Hii ni hali ya uvimbe katika mfuko wa uzazi na hali hii ni ngumu sana kujitok...
11/01/2026

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—Ÿπ—” π—¨π—©π—œπ— π—•π—˜ π—žπ—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ π—žπ—œπ—­π—”π—­π—œ (π—™π—œπ—•π—₯π—’π—œπ——π—¦) πŸ‘‡
Hii ni hali ya uvimbe katika mfuko wa uzazi na hali hii ni ngumu sana kujitokeza lakini ni rahisi mno k**a utashindwa kujifatiliza mwana mama,

Uvimbe una sababi nyingi sana hadi kuweza kukua na ifahamike uvimbe huwa kila mwanamke anazaliwa nao ila uvimbe huo unakua mdogo sana na dhamira yake ni kushikilia yai lisicheze sana kipindi litakapo hifadhiwa katika mfuko wa uzazi,

𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗭𝗔 π—¨π—©π—œπ— π—•π—˜ (π—™π—œπ—•π—₯π—’π—œπ——π—¦) πŸ‘‡
✍️ Kuvurugika kwa homoni
✍️ Kufanya kazi ngumu kupita kiasi
✍️ Matumizi ya uzazi wa mpango
✍️ Uzito kupita kiasi
✍️ Matumizi ya dawa pasi na ushauri au kwa muda mrefu
✍️ Msongo wa mawazo

π——π—”π—Ÿπ—œπ—Ÿπ—œ 𝗭𝗔 π—¨π—©π—œπ— π—•π—˜ (π—™π—œπ—•π—₯π—’π—œπ——π—¦)
πŸ€ Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
πŸ€ Kuhisi kutu kinacheza tumboni
πŸ€ Tumbo kua kubwa
πŸ€ Kukosa hedhi
πŸ€ Kupata hedhi na maumivu makali
πŸ€ Kupata hedhi mabonge bonge
πŸ€ Tumbo kua zito.
Matibabu na ushauri buree

Call--

0745998149 call & whatsap

0740631662, call only

Dr.Habibu A Bakari
Tanga Tanzania

11/01/2026
π—§π—œπ—•π—” 𝗬𝗔 π—žπ—¨π——π—¨π— π—¨ 𝗬𝗔 π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—Ÿπ—” 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ (π—‘π——π—”π—‘π—œ 𝗑𝗔 π—‘π—π—˜) πŸ‘‡π—•π—”π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ (π—›π—˜π— π—’π—₯π—₯π—›π—’π—œπ——π—¦/π—£π—œπ—Ÿπ—˜)πŸ‘‰ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa m...
10/01/2026

π—§π—œπ—•π—” 𝗬𝗔 π—žπ—¨π——π—¨π— π—¨ 𝗬𝗔 π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—Ÿπ—” 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ (π—‘π——π—”π—‘π—œ 𝗑𝗔 π—‘π—π—˜) πŸ‘‡

𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ (π—›π—˜π— π—’π—₯π—₯π—›π—’π—œπ——π—¦/π—£π—œπ—Ÿπ—˜)
πŸ‘‰ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa

𝗖𝗛𝗔𝗑𝗭𝗒 𝗖𝗛𝗔 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ
(π—›π—˜π— π—’π—₯π—₯π—›π—’π—œπ——π—¦)
βœ“ Tabia ya kukaa sehemu moja kwa muda mrefu mfano (Madereva/Mafundi kushona)
βœ“ Tatizo sugu la kuharisha
βœ“ Ujauzito
βœ“ Uzito wa mwili kupita kiasi
βœ“ Kufanya ngono Kinyume na Maumbile (kulawitiwa)
βœ“ Kupata Choo Kigumu
βœ“ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
βœ“ Kunywa pombe
βœ“ Kula sana nyama nyekundu
βœ“ Vidonda vya tumbo (Ulcers)
βœ“ Ngiri (Chango/Hernia)
βœ“ Kula sana pilipili
βœ“ Kunyanyua vitu vizito

π——π—”π—Ÿπ—œπ—Ÿπ—œ 𝗭𝗔 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ
(π—›π—˜π— π—’π—₯π—₯π—›π—’π—œπ——π—¦)
✍️ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
✍️ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
✍️ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu La Haja kubwa
✍️ Kupata kinyesi chenye damu
✍️ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
✍️ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
✍️ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa nk.

Tunayo dawa ya miti shamba πŸ’―
Inaitwa " FARAJA " Ina uwezo mkubwa wa kitibu na kuondoa kabisa tatizo la BAWASIRI ndani ya siku ( 7 )

GHARAMA YA DAWA YA FARAJA

DOZI KAMILI NI TSH. 120, 000/-

TUNATUMA DAWA KWA WATEJA WA MIKOANI KWA NJIA YA MABASI.

WATEJA WALIOPO ZANZIBAR TUNATUMA DAWA KWA NJIA YA BOTI/MELI

WATEJA WALIOPO UGHAIBUNI NA ARABUNI NA KWENGINEKO WATATUMIWA DAWA KWA NJIA YA DHL.

TIBA MATIBABU NA DAWA

NIPIGIE SIMU-----

+255745998149, CALL &. WHATSAP

+255740631662, CALL ONLY

DR. HABIBU A BAKARI

MAHALI TULIPO;-

CHUMBAGENI AREA

TANGA--- MJINI

TANZANIA.

TEMBELEA KURASA WETU KUFAHAMU HUDUMA ZETU ZAIDI ZA TIBA ZA DAWA ZA MITI SHAMBA πŸ’―.

10/01/2026

Address

Chumbageni Area
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba Mbadala Tanga Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share