MWAI_Afya yako kwanza

MWAI_Afya yako kwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MWAI_Afya yako kwanza, SONGWE, Tunduma.

UTAJUAJE UNA UGONJWA WA KUSUKARI?~Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.~ Kwenda haja ndogo mara k...
10/09/2022

UTAJUAJE UNA UGONJWA WA KUSUKARI?

~Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.

~ Kwenda haja ndogo mara kwa mara. Watoto kukojoa kitandani.

~Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati.

~Kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri.

~Kusikia njaa kila wakati na kula sana.

~ Wanawake kuwashwa ukeni.

~ Kutoona vizuri au kuona ukungu

~Kupungua nguvu za kiume au kukosa hamu ya kujamiiana

~Ganzi, kuchomwachomwa au kutohisi unapoguswa sehemu za miguu, viganja na vidole

~Miguu kuoza na hata kupata gangrini.

~ Kukaukwa na ngozi na pia kupata aina ya ngazi katika miguu.

~Vidonda au majeraha sehemu yoyote ya mwili kutopona haraka.

~Majipu mwilini.

~Kukojoa mkojo ambao mara baada ya dakika chache hujaliwa na sisimizi.

Mara uonapo dalili hizi wahi mapema hospitali kupima ugonjwa wa Kisukari kwani miongoni mwa magonjwa yanayochukua muda mrefu kutibika endapo mgonjwa atachelewa kupata matibabu, pia ni miongoni mwa magonjwa ambayo huua kwa kasi zaidi nchini.

NINATIBU UGONJWA WA KISUKARI KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE NA MGONJWA ANAPONA KABISA NA ANAWEZA KUONDOKANA NA MASHARTI YA VYAKULA

Address

SONGWE
Tunduma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MWAI_Afya yako kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share