04/06/2026
Baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu k**a mtu wa matengenezo ya Aplikesheni ya Oky Tanzania (Tech Person), Prince Mutungi amefahamu zaidi kuhusu Kalenda inavyofanya kazi, Tabia za msichana anapoingia kipindi cha hedhi na taarifa zote za msingi zitakazo msadia binti kuwa salama kipindi cha hedhi.
Suala la kifahamu taarifa za hedhi ni wajibu wa kila mtu Wasichana na Wavulana kwa ni taarifa za msingi kwa kila mmoja wetu, Pakua Aplikesheni ya Oky Tanzania kwenye Playstore na AppStore au yembelea web.oky.co.tz