AFYA NI MTAJI

AFYA NI MTAJI Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA NI MTAJI, Medical and health, Zanzibar City.

JE, UNA DALILI HIZI? USIZIPUUZE.• Umekaa zaidi ya mwaka ukitafuta ujauzito bila mafanikio?• Hedhi zako haziko sawa au ha...
03/07/2026

JE, UNA DALILI HIZI? USIZIPUUZE.

• Umekaa zaidi ya mwaka ukitafuta ujauzito bila mafanikio?
• Hedhi zako haziko sawa au haziji kwa mpangilio?
• Unapata maumivu makali wakati wa hedhi au tendo la ndoa?
• Umewahi kuharibikiwa na mimba mara kwa mara?
• Unahisi kuna tatizo lakini hujui chanzo chake?

Dalili hizi hazimaanishi moja kwa moja kuwa una tatizo fulani, lakini ni sababu nzuri ya kufanya uchunguzi wa kitaalamu ili kubaini kinachoendelea.

Kumbuka, changamoto ya uzazi inaweza kumhusu mwanamke, mwanaume au wote wawili. Ndiyo maana uchunguzi ni hatua ya kwanza muhimu kabla ya kuanza matibabu.

Usiendelee kubahatisha dawa au kusubiri tatizo liwe kubwa zaidi.

Huduma zinapatikana kwa wateja kutoka mikoa yote ya Tanzania.

Piga simu au WhatsApp: 0794 600 603

Afya yako ni muhimu. Chukua hatua leo kwa kupata uchunguzi na ushauri wa kitaalamu.

18/06/2026

🚨 UNAJUA PID NI NINI? SOMA HAPA! 🚨
❗ PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni maambukizi yanayoathiri viungo vya uzazi vya mwanamke k**a vile kizazi, mirija ya uzazi na ovari. Mara nyingi huanza taratibu bila dalili kubwa, lakini huweza kusababisha madhara makubwa sana!
🔎 PID INASABABISHWA NA NINI?
✔️ Maambukizi ya bakteria (hasa kutoka UTI au magonjwa ya zinaa)
✔️ Kutozingatia usafi wa sehemu za siri
✔️ Kufanya ngono bila kinga
✔️ Kutibu vibaya au kuchelewesha matibabu ya maambukizi
✔️ Matumizi yasiyo sahihi ya baadhi ya bidhaa za uke
⚠️ MADHARA YA PID NI HATARI SANA!
❌ Maumivu makali ya tumbo la chini
❌ Kutokwa uchafu ukeni wenye harufu mbaya
❌ Ugumba (kupata shida ya kushika mimba)
❌ Mimba kutunga nje ya kizazi (ectopic pregnancy)
❌ Kuharibika kwa mirija ya uzazi
❌ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
💡 USIPUUZE DALILI!
PID ikigundulika mapema inatibika kwa urahisi.
Linda afya yako ya uzazi leo ili kulinda kesho yako! ❤️
📞 Wasiliana nasi sasa kwa ushauri na matibabu sahihi
Afya yako ni mtaji wako! 0794600603

JE, NGIRI INAKUSUMBUA?Usipuuzie dalili k**a: ✔ Uvimbe kwenye kinena au tumbo ✔ Maumivu wakati wa kutembea, kufanya kazi ...
16/06/2026

JE, NGIRI INAKUSUMBUA?
Usipuuzie dalili k**a: ✔ Uvimbe kwenye kinena au tumbo ✔ Maumivu wakati wa kutembea, kufanya kazi au kuinua vitu ✔ Hali ya kuungua, kuvuta au uzito kwenye kinena
Ngiri ikigundulika mapema, matibabu yanaweza kuanza haraka na kusaidia kupunguza usumbufu unaoupata kila siku.
Tunatoa: • Uchunguzi wa kina • Ushauri wa kitaalamu • Ufuatiliaji wa karibu wa mgonjwa
Afya yako ni muhimu. Ukiona dalili za ngiri, wasiliana nasi kwa ushauri na uchunguzi mapema.

VIPIMO MUHIMU KWA MWANAMKE NA MWANAUME  ANAYETAFUTA MTOTO 🤰🏽Wanawake wengi huzunguka hospitali bila kufanyiwa uchunguzi ...
03/05/2026

VIPIMO MUHIMU KWA MWANAMKE NA MWANAUME ANAYETAFUTA MTOTO 🤰🏽

Wanawake wengi huzunguka hospitali bila kufanyiwa uchunguzi kamili…
Au mume hajafanyiwa hata kipimo kimoja.
Hapo unateseka miaka — bila kujua chanzo halisi 🙃

📌Hivi ndivyo vipimo vya msingi unapopaswa kufanya, FANYA KUSAVE KABISA post Hii Ili kujikumbushia Kwa Baadae Ukisahau:

1️⃣ ULTRASOUND ya via vya uzazi
Inatuonesha kizazi, mfuko wa mayai, uvimbe, mirija, na hali ya jumla ya mfumo wa uzazi.

2️⃣ Vipimo vya kuonesha MAYAI KUPATWA / KUPEVUKA
Progesterone siku 7 kabla ya hedhi inayofuata, au OPK nyumbani.

3️⃣ Vipimo vya AKIBA YA MAYAI
AMH + FSH kutathmini uwezo wa mayai na kiwango cha kushuka kwake kadri muda unavyosonga.

4️⃣ Uchunguzi wa MIRIJIA (HSG)
Hapa tunajua k**a mirija imeziba au iko wazi.

5️⃣ Vipimo vya HOMONI
Kwa wanawake wenye mzunguko usioeleweka, kukosa hedhi, kutoa maziwa, uke mkavu, au kupoteza hamu ya tendo; tunapima Estrogen, Progesterone, LH, FSH, Prolactin, n.k.

6️⃣ Vipimo vya MBEGU ZA KIUME
Safari ya ujauzito ni ya WAWILI.
Mpenzi/mume naye apime s***m count, morphology na motility.
Usiibebe peke yako Mateso/ lawama zote za Kukosa Ujauzito ✋🏽

---Vipimo hivi utapima Kwa Ofa ya
Tsh 20,000/= kwakua watu wengi wanasumbuliwa na changamoto za uzazi wai mapema.

KOSA KUBWA WANAWAKE WENGI HUFANYA:
Kupima peke yao bila mume… au kufanya vipimo visivyo sahihi halafu wanahangaika miaka bila mafanikio.

---

🔐 Sasa hapa ndipo siri ya mafanikio inapoanzia…

Kwa wanawake na wanandoa waliopitia matibabu mengi bila kufanikiwa, waliochoka kuambiwa “SUBIRI TU”, waliozunguka bila majibu—

GCAT ETERNAL HERBAL CLINIC imekuwa ni tumaini na msahada Kwa wenye changamoto zote za uzazi.

Ni tiba inayoshambulia chanzo cha tatizo:
✔️ Humaliza fangasi/maambukizi yanayorudiarudia
✔️ Hurekebisha homoni
✔️ Hufungua na Kubalance mzunguko Wa Hedhi
✔️ Huongeza idadi & ubora wa mayai
✔️ Huandaa mwili kupokea na kutunza mimba ndani ya 30–90 days kulingana na hatua ya tatizo

Matokeo yake?
Wanawake waliokuwa wanaitwa “MGUMBA” leo ni mama wa mtoto.

Wanandoa waliokuwa na maumivu… sasa wanashukuru Mungu 🙏🏾

Dozi utegemea ukubwa wa changamoto yako.
baada ya kupata majibu ya vipimo.

Tunapatikana dar es salaam, visiwani na mikoa yote Tanzania

Kwa mawasiliano zaidi :0714356923

UMEKAA MUDA MREFU UNAJARIBU… LAKINI MATOKEO HAYAJI?Kuna ukweli ambao watu wengi hawapendi kusikia—Changamoto za uzazi ha...
03/05/2026

UMEKAA MUDA MREFU UNAJARIBU… LAKINI MATOKEO HAYAJI?
Kuna ukweli ambao watu wengi hawapendi kusikia—
Changamoto za uzazi haziji ghafla… huanza taratibu na dalili ndogo unazozipuuzia kila siku.
Maumivu wakati wa tendo, hedhi kubadilika, uchafu usio wa kawaida au kukosa hamu ya tendo…
Hizi si hali za kawaida, ni ishara kuwa mfumo wako wa uzazi unahitaji uchunguzi wa kina.
Kitaalamu, kuchelewa kupata suluhisho sahihi kunaweza kuathiri kabisa uwezo wa kushika mimba.
Watu wengi wanakosea hapa:
Wanatafuta dawa haraka bila kujua chanzo halisi cha tatizo.
Ukweli ni huu:
Ukipata uchunguzi sahihi mapema, changamoto nyingi za uzazi zinatatulika.
Swali kwako:
Utaendelea kusubiri… au utaanza kuchukua hatua leo?
Andika “NISAIDIE” inbox
Au piga simu: 0714356923
Chukua hatua sasa—afya yako ya uzazi haiwezi kusubiri.

UNA DALILI… LAKINI UNAENDELEA KUVUMILIA?Watu wengi wanaishi na maumivu, uchovu, au matatizo ya uzazi wakiamini ni hali y...
03/05/2026

UNA DALILI… LAKINI UNAENDELEA KUVUMILIA?
Watu wengi wanaishi na maumivu, uchovu, au matatizo ya uzazi wakiamini ni hali ya kawaida… wakati kiuhalisia mwili unatoa onyo mapema.
Kitaalamu, dalili k**a hedhi kuvurugika, maumivu ya tumbo, presha, sukari au hata matatizo ya uzazi kwa wanaume na wanawake—zina chanzo kinachohitaji uchunguzi sahihi, sio kubahatisha dawa.
UKWELI MUHIMU:
Afya yako haihitaji kubahatisha… inahitaji mfumo sahihi wa uchunguzi na tiba.
Kuna watu wengi wamekuwa wakizunguka sehemu mbalimbali wakitafuta tiba bila mafanikio… mpaka walipoamua kupata ushauri sahihi na matibabu yanayolenga chanzo, ndipo walipoanza kuona mabadiliko halisi.
Swali ni hili—
Wewe utaendelea kujaribu kila dawa au utachukua hatua sahihi sasa?
Pata ushauri wa kitaalamu na mwongozo sahihi wa matibabu leo
Andika “NISAIDIE” inbox
AU
Piga simu: 0714 356 923
Afya bora inaanza na uamuzi sahihi. Chukua hatua sasa.

Address

Zanzibar City
12311

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI MTAJI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share