24/02/2026
TANGAZO LA FURSA ZA KAZI β ZANZIBAR
Kampuni ya Eternal International Company Limited
inawatangazia wananchi wa Zanzibar nafasi za kazi k**a ifuatavyo:
π’ AINA YA KAZI:
Kusambaza taarifa za kampuni kupitia simu yako ya mkononi (online).
β JE, WEWE NI NANI?
βοΈ Muajiriwa unayetafuta kipato cha ziada kwa muda wako wa ziada?
βοΈ Mwanachuo unayetafuta fursa ya kujiongezea kipato?
βοΈ Mjasiriamali au huna kazi kabisa?
π Hii ni fursa kwa ajili yako!
π₯ KUHUSU KAMPUNI
Kampuni inajishughulisha na masuala ya afya.
π Ofisi ipo: Kwerekwe β Zanzibar
π MAFUNZO
Mafunzo yote kuhusu kazi yanatolewa bure ofisini kwetu,
ili kukuwezesha kufanya kazi kwa ufanisi bila kutumia nguvu kubwa.
π° MALIPO
Tunatoa malipo ya aina mbili:
Malipo ya siku
Malipo ya mwisho wa mwezi
π MAWASILIANO
Kwa mawasiliano zaidi:
0776 114 189
Usikose fursa hii ya kuboresha kipato chako!
Wasiliana nasi mapema.