AFYA NI UHAI

AFYA NI UHAI Karibu Sana Enternal Healthcare
Kwa huduma za matibabu, ushauri na uchunguzi

πŸ”₯ UNATAFUTA MTOTO BILA MAFANIKIO?Usikate tamaa ❀️Changamoto inaweza kuwa kwa mwanamke au mwanaume, na sababu ni muhimu k...
10/10/2026

πŸ”₯ UNATAFUTA MTOTO BILA MAFANIKIO?

Usikate tamaa ❀️
Changamoto inaweza kuwa kwa mwanamke au mwanaume, na sababu ni muhimu kujulikana kwanza.

🩺 Vipimo + ushauri wa kitaalamu ili kujua chanzo na hatua sahihi.

πŸ“² Tuongee: 0773414117
Tumaini bado lipo! ❀️

πŸ”₯ FURSA YA KAZI ZANZIBAR! πŸ”₯Unatafuta fursa ya kuongeza kipato? Hii ni nafasi kwa watu wa Zanzibar wenye bidii na nia ya ...
19/09/2026

πŸ”₯ FURSA YA KAZI ZANZIBAR! πŸ”₯

Unatafuta fursa ya kuongeza kipato? Hii ni nafasi kwa watu wa Zanzibar wenye bidii na nia ya kufanya kazi.

πŸ“± Kazi: Kusambaza taarifa za kampuni kupitia simu
πŸ’° Malipo: Kuanzia 20,000/= kwa siku hadi 350,000/= kwa mwezi
πŸŽ“ Elimu: Darasa la Saba hadi Chuo
βœ… Mwaminifu, mwenye bidii na kujituma
πŸ“ Ofisi: Mwanakwerekwe, Zanzibar

⚠️ NAFASI NI CHACHE β€” Wasiliana nasi sasa!

πŸ“ž 0657401617

Je wajua? Karibu Enternal international Health care kwa huduma bora, afya bora na Maisha bora.
07/09/2026

Je wajua? Karibu Enternal international Health care kwa huduma bora, afya bora na Maisha bora.

πŸ”₯ UNATAFUTA MTOTO BILA MAFANIKIO?Usikate tamaa ❀️Changamoto inaweza kuwa kwa mwanamke au mwanaume, na sababu ni muhimu k...
03/09/2026

πŸ”₯ UNATAFUTA MTOTO BILA MAFANIKIO?

Usikate tamaa ❀️
Changamoto inaweza kuwa kwa mwanamke au mwanaume, na sababu ni muhimu kujulikana kwanza.

🩺 Vipimo + ushauri wa kitaalamu ili kujua chanzo na hatua sahihi.

πŸ“² Tuongee: 0657401617
Tumaini bado lipo! ❀️

🚨 CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA MWANAUME NA MWANAMKE? πŸš¨πŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ‘¨ Unajaribu kupata mtoto lakini muda unapita bila mafanikio?🩸 Mwan...
18/08/2026

🚨 CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA MWANAUME NA MWANAMKE? 🚨

πŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ‘¨ Unajaribu kupata mtoto lakini muda unapita bila mafanikio?
🩸 Mwanamke ana hedhi zisizo za kawaida au maumivu ya chini ya tumbo?
πŸ‘¨ Mwanaume ana changamoto ya nguvu za kiume, mbegu za kiume au maumivu kwenye korodani?

⚠️ Usitumie dawa kwa kubahatisha kabla ya kujua chanzo.

Changamoto za uzazi zinaweza kuhusishwa na:
πŸ”Ή Mabadiliko ya homoni
πŸ”Ή PCOS
πŸ”Ή Fibroids au matatizo ya kizazi
πŸ”Ή Maambukizi ya mfumo wa uzazi
πŸ”Ή Changamoto za mbegu za kiume
πŸ”Ή Matatizo ya tezi dume au korodani
πŸ”Ή Sababu nyingine zinazohitaji uchunguzi

πŸ’‘ Muhimu: Changamoto ya kupata mtoto si lazima iwe kwa mwanamke pekee. Wakati mwingine mwanaume pia huhitaji kufanyiwa tathmini.

🩺 HUDUMA ZETU:
βœ… Vipimo vya afya ya uzazi
βœ… Ushauri na mwongozo
βœ… Tathmini ya mwanaume na mwanamke
βœ… Ufuatiliaji wa maendeleo

πŸ“² WASILIANA NASI SASA:
0657401617 – WhatsApp

πŸ’¬ Una changamoto gani kati ya hizi? Tuma ujumbe β€œUZAZI” ili kupata mwongozo wa hatua inayofuata.

❀️ Afya yako ni thamani yako β€” usisubiri tatizo likue.

Afya Care β€” Afya Yako, Ndoto Yako.

πŸ”₯ VIDONDA VYA TUMBO?Unasumbuliwa na maumivu ya tumbo, kuungua kifuani, kiungulia au kichefuchefu?Usizoe maumivu wala kut...
14/08/2026

πŸ”₯ VIDONDA VYA TUMBO?

Unasumbuliwa na maumivu ya tumbo, kuungua kifuani, kiungulia au kichefuchefu?

Usizoe maumivu wala kutumia dawa bila kujua chanzo.

🩺 Pata ushauri na uchunguzi sahihi.
πŸ”’ Faragha yako ni ahadi yetu.

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0657401617

Usibahatike na afya yako β€” chukua hatua leo!

UZAZI WAKO NI MUHIMU ❀️Unatafuta mtoto lakini mambo hayajaenda k**a ulivyotarajia?Je, unakumbana na:β€’ Kukosa kupata mimb...
13/08/2026

UZAZI WAKO NI MUHIMU ❀️

Unatafuta mtoto lakini mambo hayajaenda k**a ulivyotarajia?

Je, unakumbana na:
β€’ Kukosa kupata mimba
β€’ Mimba kutoka mara kwa mara
β€’ Changamoto za nguvu za kiume au mbegu
β€’ Maumivu ya tumbo/nyonga
β€’ Hedhi zisizo za kawaida
β€’ Changamoto nyingine za afya ya uzazi

Usibahatike kutumia dawa bila kujua chanzo.
Kwa wanawake na wanaume, uchunguzi sahihi unaweza kusaidia kuelewa kinachosababisha changamoto na hatua zinazofaa kuchukuliwa.

🩺 Vipimo + ushauri wa kitaalamu
πŸ”’ Faragha yako ni ahadi yetu.

USIKATE TAMAA β€” TIBA IPO!

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0657401617
πŸ“ Dar es Salaam, Tanzania

Usione aibu kuuliza. Tuongee kwa faragha na heshima.

🌸 OFA MAALUM YA VIPIMO VYA AFYA YA UZAZI 🌸Je, unapanga kupata mtoto au unahitaji kujua hali ya afya yako ya uzazi?Tunato...
22/07/2026

🌸 OFA MAALUM YA VIPIMO VYA AFYA YA UZAZI 🌸

Je, unapanga kupata mtoto au unahitaji kujua hali ya afya yako ya uzazi?

Tunatoa vipimo vya mfumo wa uzazi kwa wanawake na wanaume kwa gharama ya Tsh 20,000 tu, na kumwona daktari ni BURE.

βœ”οΈ Huduma kwa usiri
βœ”οΈ Wataalamu wenye uzoefu
βœ”οΈ Uchunguzi wa kina
βœ”οΈ Ushauri wa kitaalamu

πŸ“ž Wasiliana nasi: 0657401617

Address

Zanzibar
1133

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI UHAI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share