Afya bora na Dr. Daud

Afya bora na Dr. Daud Karibu katika ukurasa wa Dr. Daud

16/03/2026
16/03/2026

🚨 ONYO KWA WANAWAKE WOTE!
Je, unakosa kuona hedhi yako kwa muda mrefu?
Je, siku zako zina chelewa sana au zimepotea kabisa?
Usipuuzie hali hiyo! Watu wengi hudhani ni jambo la kawaida, lakini ukweli ni kwamba kukosa hedhi kunaweza kuwa ishara ya tatizo la kiafya, k**a vile:
β€’ Mabadiliko ya homoni
β€’ Msongo mkubwa wa mawazo
β€’ Matatizo ya mfuko wa uzazi
β€’ Magonjwa ya ndani ya mwili
β€’ Au sababu nyingine zinazohitaji uchunguzi wa kitaalamu
βš•οΈ Katika Eternal Health Care tunatoa:
βœ” Uchunguzi wa kina wa afya ya mwanamke
βœ” Ushauri wa kitaalamu kuhusu hedhi na afya ya uzazi
βœ” Matibabu ya matatizo ya homoni
βœ” Huduma za afya kwa wanawake kwa usiri na uangalizi wa karibu
πŸ’‘ Usisubiri mpaka tatizo liwe kubwa. Chukua hatua mapema kwa afya yako.
πŸ“² WhatsApp / Simu: 0744203343
πŸ‘¨β€βš•οΈ Dr. Daud
Angalia picha hapa chini ujifunze baadhi ya sababu zinazoweza kufanya mwanamke kukosa hedhi.

Address

Chuini Zanzibar
Zanzibar
001

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya bora na Dr. Daud posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share