AFYA NI MTAJI

  • Home
  • AFYA NI MTAJI

AFYA NI MTAJI Lengo kuu la ukurasa huu ni kuweza kusaidia watu mbalimbali na kukumbushana mambo muhimu katka kuimarisha afya zetu

0724444560
10/09/2026

0724444560

24/08/2026

🚨 SOMO LA LEO: CONSTIPATION INAWEZA KUCHOCHEA BAWASIRI

Je, unajua kwamba constipation ya mara kwa mara inaweza kuongeza uwezekano wa kupata au kuzidisha bawasiri? 😳🔥

Unapokuwa na constipation, kinyesi huwa kigumu na unaweza kulazimika kujaza nguvu/kukaza sana wakati wa kujisaidia. Hali hii huongeza shinikizo kwenye mishipa ya damu iliyopo eneo la haja kubwa, na inaweza kuchangia bawasiri kutokea au kuzidi.

🔴 DALILI ZA CONSTIPATION:
• Kinyesi kuwa kigumu
• Kujisaidia kwa shida
• Kujikaza sana wakati wa kujisaidia
• Kukaa muda mrefu chooni
• Kuhisi haja kubwa haijaisha vizuri

💡 JINSI YA KUPUNGUZA CONSTIPATION:
💧 Kunywa maji ya kutosha
🥬 Ongeza vyakula vyenye nyuzinyuzi
🏃 Fanya mazoezi mara kwa mara
🚽 Usizuie haja kubwa unapohisi kwenda

🎥 Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi constipation inavyoweza kuchangia formation ya bawasiri.

⚠️ K**a una damu kwenye haja kubwa, maumivu makali au dalili zinazoendelea, ni muhimu kuonana na mtaalamu wa afya kwa uchunguzi.

📲 Una constipation au unasumbuliwa na bawasiri? Tuandikie ujumbe kwa ushauri zaidi.

🔴 KWANINI BAWASIRI INARUDI?Uliwahi kutibiwa bawasiri, ukapona… lakini baada ya muda ikarudi tena? 🤔Hii inaweza kutokea k...
21/08/2026

🔴 KWANINI BAWASIRI INARUDI?

Uliwahi kutibiwa bawasiri, ukapona… lakini baada ya muda ikarudi tena? 🤔

Hii inaweza kutokea kwa sababu chanzo cha tatizo hakijarekebishwa.

🚨 Sababu zinazoweza kuchangia bawasiri kurudi:
• Kuvimbiwa mara kwa mara
• Kujikaza sana wakati wa kujisaidia
• Kukaa muda mrefu chooni
• Kunywa maji kidogo
• Kukosa vyakula vyenye nyuzinyuzi
• Kukaa muda mrefu bila kufanya mazoezi

👉 Muhimu: Kutibu dalili pekee bila kubadili tabia zinazochochea tatizo kunaweza kufanya bawasiri irudi.

📲 Una tatizo la bawasiri linalorudia-rudia? Tuandikie ujumbe kwa ushauri zaidi.

SOMO LA LEO: USIPUUZE BAwasiri 🚨Bawasiri si tatizo la kuvumilia kimya kimya.Dalili k**a:🔴 Kutokwa damu wakati wa kujisai...
21/08/2026

SOMO LA LEO: USIPUUZE BAwasiri 🚨

Bawasiri si tatizo la kuvumilia kimya kimya.

Dalili k**a:
🔴 Kutokwa damu wakati wa kujisaidia
😣 Maumivu au kuwasha sehemu ya haja kubwa
🟤 Vinyama/kivimbe kutoka nje
🚽 Maumivu wakati wa kujisaidia
🔄 Bawasiri kurudi mara kwa mara

zinaweza kuathiri maisha yako ya kila siku ikiwa hazitashughulikiwa vizuri.

Kwa nini bawasiri inaweza kurudi?
👉 Kukosa kula vyakula vyenye nyuzinyuzi
👉 Kunywa maji kidogo
👉 Kukaa muda mrefu chooni
👉 Kujikaza sana wakati wa kujisaidia
👉 Kukaa muda mrefu bila kufanya mazoezi
👉 Kuvimbiwa mara kwa mara

💡 USHAURI WA LEO: Usisubiri maumivu yaongezeke. Anza kuchukua hatua mapema, na k**a una damu nyingi, maumivu makali au dalili zinazoendelea, ni muhimu kumuona mtaalamu wa afya.

📲 Una dalili za bawasiri? Tuandikie ujumbe kwa ushauri zaidi.

Address


Telephone

+255621595018

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI MTAJI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA NI MTAJI:

Shortcuts

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share