Gilgil ANNEX Hospital

Gilgil ANNEX Hospital Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gilgil ANNEX Hospital, Hospital, Gilgil market Street, Gilgil.

We are a hospital located in Gilgil town CBD ,next to freshcuts carwash,where posta was previously located,near the Soko mjinga market , opposite Gilgil DCC's office.

🚨🦠 EBOLA SI STORY YA KUCHUKULIA POA! ⚠️Ebola ni ugonjwa hatari unaoweza kuenea kupitia kugusana na damu au majimaji ya m...
04/06/2026

🚨🦠 EBOLA SI STORY YA KUCHUKULIA POA! ⚠️

Ebola ni ugonjwa hatari unaoweza kuenea kupitia kugusana na damu au majimaji ya mwili wa mtu aliyeambukizwa. Dalili zake zinaweza kuanza k**a homa ya kawaida lakini baadaye kuwa severe sana. 😷

πŸ”΄ Dalili za Ebola:
βœ… Homa kali
βœ… Uchovu mwingi
βœ… Maumivu ya misuli na viungo
βœ… Kichwa kuuma sana
βœ… Kutapika na kuharisha
βœ… Kutokwa na damu kwa baadhi ya wagonjwa

πŸ›‘οΈ Jinsi ya kujikinga:
βœ”οΈ Nawa mikono mara kwa mara
βœ”οΈ Epuka kugusana na majimaji ya mwili ya mgonjwa
βœ”οΈ Tafuta matibabu mapema ukipata dalili
βœ”οΈ Fuata maelekezo ya wahudumu wa afya

Remember, information sahihi na tahadhari mapema zinaweza kuokoa maisha. πŸ’™

πŸ₯ Gilgil Annex Hospital
Your Health, Our Priority πŸ’š

πŸ”΄ LOWER LIP REDDENING – USIIPUUZE! πŸ‘„Je, lower lip yako imekuwa nyekundu sana kuliko kawaida, inawasha, inachoma ama inao...
04/06/2026

πŸ”΄ LOWER LIP REDDENING – USIIPUUZE! πŸ‘„

Je, lower lip yako imekuwa nyekundu sana kuliko kawaida, inawasha, inachoma ama inaonekana k**a imevimba kidogo? Hii inaweza kuwa ishara ya hali mbalimbali za kiafya.

Sababu zinazoweza kusababisha lower lip reddening:

πŸ”Ή Lip irritation (Cheilitis) – kutokana na kulamba midomo mara kwa mara, jua kali, baridi kali, au vipodozi fulani.

πŸ”Ή Allergic reaction – toothpaste, lipstick, lip balm, dawa au hata vyakula vinaweza kusababisha mzio kwenye midomo.

πŸ”Ή Vitamin deficiencies – ukosefu wa vitamins k**a B-complex au iron unaweza kufanya midomo iwe nyekundu, ikauke au kupasuka.

πŸ”Ή Infections – bacterial, fungal au viral infections zinaweza kuathiri midomo na kusababisha redness.

πŸ”Ή Sun damage (Actinic cheilitis) – kukaa juani kwa muda mrefu bila kinga ya midomo kunaweza kuharibu ngozi ya mdomo.

Dalili za kuangalia:

πŸ‘„ Kuwasha au kuungua πŸ‘„ Kukauka na kupasuka πŸ‘„ Kuvimba πŸ‘„ Maumivu wakati wa kula au kunywa πŸ‘„ Kubadilika kwa rangi ya mdomo

Nini ufanye?

βœ… Kunywa maji ya kutosha
βœ… Tumia lip balm yenye SPF ukiwa juani
βœ… Epuka vitu vinavyoweza kusababisha allergy
βœ… Kula lishe bora yenye vitamins na minerals

⚠️ Ikiwa redness inaendelea kwa wiki kadhaa, inaambatana na vidonda, uvimbe, au maumivu makali, tafuta ushauri wa daktari.

πŸ₯ Gilgil Annex Hospital – Afya yako, kipaumbele chetu. Tuone mapema kabla hali haijawa kubwa. πŸ’™πŸ’š

🚨 HONEY ALLERGY NI REAL! 🍯⚠️Watu wengi hujua honey k**a kitu healthy sana, but did you know baadhi ya watu wanaweza kuwa...
04/06/2026

🚨 HONEY ALLERGY NI REAL! 🍯⚠️

Watu wengi hujua honey k**a kitu healthy sana, but did you know baadhi ya watu wanaweza kuwa allergic to honey? πŸ€”

Ukikula honey na ukaanza kupata:
πŸ”Έ Kuwashwa kwa mdomo au koo
πŸ”Έ Midomo kuvimba
πŸ”Έ Skin rash ama hives
πŸ”Έ Kichefuchefu au kutapika
πŸ”Έ Kupumua kwa shida

Inawezekana mwili wako una-react na pollen au proteins zilizomo ndani ya honey. 😟

Usipuuzie dalili hizi, especially k**a zinakuwa severe. Allergy kali inaweza kuwa medical emergency! πŸš‘

K**a umewahi kupata reaction baada ya kutumia honey, fika Gilgil Annex Hospital kwa ushauri na uchunguzi zaidi.

πŸ₯ Gilgil Annex Hospital
Your Health, Our Priority πŸ’™πŸ’š

KUPOOP πŸ’…πŸš½ LONG ACRYLIC NAILS: BEAUTY VS HYGIENE? πŸ€”Ladies, tuongee ukweli kidogo πŸ˜…...Long acrylic nails zinaonekana stunn...
03/06/2026

KUPOOP πŸ’…πŸš½ LONG ACRYLIC NAILS: BEAUTY VS HYGIENE? πŸ€”

Ladies, tuongee ukweli kidogo πŸ˜…...

Long acrylic nails zinaonekana stunning sana πŸ’ƒβœ¨, lakini sometimes zinaweza kufanya kujiclean baada ya kutumia toilet kuwa challenge.

Watu wengi huogopa:
😬 Kuvunja nails
😬 Kuing'oa accidentally
😬 Kujiumiza
😬 Kuharibu fresh manicure

Matokeo yake? Unaweza usijisafishe vizuri vile ungependa, na germs zinaweza kubaki chini ya nails. 🦠

πŸ’‘ K**a unapenda long nails:
βœ… Chukua muda kujiclean vizuri
βœ… Osha mikono na soap kila wakati
βœ… Safisha chini ya nails regularly
βœ… Consider length ambayo bado inakuruhusu kufanya daily activities comfortably

Remember, beauty ni muhimu πŸ’…, but hygiene ni muhimu zaidi. 🧼✨

πŸ₯πŸ’š Gilgil Annex Hospital
"Healthy habits, healthy life."

πŸ•ΊπŸ’ƒ SIAKA SIAKA SIAKA! JE, KUTIKISA MATITI KUNA MADHARA YA KIAFYA? πŸ€”πŸ₯Dance challenge ya "Siaka Siaka Siaka" imechukua soc...
03/06/2026

πŸ•ΊπŸ’ƒ SIAKA SIAKA SIAKA! JE, KUTIKISA MATITI KUNA MADHARA YA KIAFYA? πŸ€”πŸ₯

Dance challenge ya "Siaka Siaka Siaka" imechukua social media by storm! πŸ”₯ Wengi wanauliza, "Kutikisa mat**i sana kunaweza kuwa harmful?"

βœ… Habari njema: Kwa wanawake wengi wenye afya nzuri, kutikisa mat**i wakati wa kucheza au kufanya mazoezi si hatari.

Hata hivyo, mat**i yana mishipa na ligaments zinazosaidia kuya-support. Bila support ya kutosha:

πŸ”Ή Unaweza kupata maumivu ya mat**i.
πŸ”Ή Wengine hupata discomfort kwenye kifua au mgongo.
πŸ”Ή Wanawake wenye mat**i makubwa wanaweza kuhisi strain zaidi wakati wa movement kali.

πŸ’‘ Tip: Ukifanya dances zenye vigorous movements, vaa bra yenye support nzuri ili kupunguza discomfort.

🚨 K**a unapata:
❌ Maumivu yanayoendelea
❌ Uvimbe kwenye t**i
❌ Kutokwa na majimaji kwenye chuchu
❌ Mabadiliko yasiyo ya kawaida kwenye t**i

Ni muhimu kumuona daktari kwa uchunguzi zaidi.

🎡 Dance, have fun, stay activeβ€”but usisahau afya yako kwanza! πŸ’šπŸ’™

🌸 PIMPLE MOJA AU MBILI TIME UNANYESHA !!Umewahi notice pimple moja au mbili zikijitokeza usoni, kifuani au mgongoni siku...
03/06/2026

🌸 PIMPLE MOJA AU MBILI TIME UNANYESHA !!
Umewahi notice pimple moja au mbili zikijitokeza usoni, kifuani au mgongoni siku chache kabla ya me**es au wakati wa period? πŸ€”

Hii hutokea kutokana na mabadiliko ya hormones mwilini. Kabla ya me**es, kiwango cha baadhi ya hormones hubadilika na kusababisha ngozi kutoa mafuta mengi zaidi. Mafuta haya yanaweza kuziba pores na kusababisha pimples.

βœ… Osha uso kwa sabuni laini mara mbili kwa siku.
βœ… Kunywa maji ya kutosha.
βœ… Epuka kubinya pimples kwani inaweza kuacha makovu.
βœ… Kula lishe bora yenye matunda na mboga.
βœ… Pata usingizi wa kutosha.

⚠️ K**a pimples ni nyingi, zinauma sana, zinaacha makovu au zinaendelea hata baada ya me**es kuisha, ni muhimu kuonana na daktari kwa ushauri zaidi.

Kumbuka: Pimple za kipindi cha me**es ni kawaida kwa wanawake wengi, lakini ngozi yako bado inastahili utunzaji mzuri. πŸ’™πŸ’š

'sHealth

Welcome to our hospital
02/06/2026

Welcome to our hospital

MENOPAUSE: HII SI UGONJWA, NI SEHEMU YA LIFE YA MWANAMKE 🌸At Gilgil Annex Hospital tunataka kila mwanamke aelewe kwamba ...
02/06/2026

MENOPAUSE: HII SI UGONJWA, NI SEHEMU YA LIFE YA MWANAMKE 🌸

At Gilgil Annex Hospital tunataka kila mwanamke aelewe kwamba menopause ni natural stage ya maisha β€” si ugonjwa, na haimaanishi mtu ni β€œmgonjwa” au β€œameisha.”

Menopause kawaida huja when periods zinakoma permanently, mara nyingi around 45–55 years, lakini inaweza vary.

Unachoweza experience ni k**a hizi πŸ‘‡
βœ” Hot flushes (mwili kuwa na joto ghafla)
βœ” Night sweats (kutokwa jasho usiku)
βœ” Mood changes β€” kuwa emotional au irritable kidogo
βœ” Sleep problems (usingizi kukataa)
βœ” Vaginal dryness au discomfort

Lakini muhimu kujua hii πŸ‘‡
βœ” Hii ni hormonal change ya kawaida, si laana wala ugonjwa
βœ” Kuna help ya medical k**a symptoms zinakusumbua sana
βœ” Lifestyle changes k**a diet, exercise na stress control husaidia sana
βœ” Ukihisi symptoms ni too much, unaweza pata consultation na doctor

Menopause si mwisho wa life β€” ni new phase ya womanhood, yenye wisdom, experience na strength.

Usi suffer kimya kimya β€” help iko. πŸ’™

TATTOOS: STYLE, VIBE NA HEALTH YA SKIN πŸ’‰πŸ–‹οΈAt Gilgil Annex Hospital tunajua siku hizi tattoos si kitu ya ajabu tena β€” ni ...
01/06/2026

TATTOOS: STYLE, VIBE NA HEALTH YA SKIN πŸ’‰πŸ–‹οΈ
At Gilgil Annex Hospital tunajua siku hizi tattoos si kitu ya ajabu tena β€” ni art, ni expression, ni lifestyle.

Lakini kabla uingie kwa ink, sikia hii πŸ‘‡

βœ” Tattoo ni safe IKIFANYWA kwa clean, licensed na professional place
βœ” Ukipata kwa vibaya (hygiene mbaya), unaweza pata infections, allergy ama skin complications
βœ” Aftercare ni muhimu sana β€” usipuuze wound healing, skin yako inahitaji attention
βœ” Ukiona redness, swelling, pus ama maumivu ya kushinda kawaida β€” hiyo si normal, enda hospital mapema

Na ukweli mwingine wa life… πŸ‘‡

βœ” Tattoos zinaweza kufutwa (tattoo removal iko, mostly laser treatment)
βœ” Lakini removal si one-day thing β€” inaweza chukua sessions kadhaa
βœ” Na sometimes skin hairudi exactly k**a before 100%
βœ” So before uingie kwa ink… THINK TWICE, isiwe regret ya baadaye πŸ˜…
truth:
Tattoo ni vibe poa, lakini decisions za skin ni lifetime energy β€” ukiharibu, kureverse ni kazi kidogo.

Your body, your choice… but make it smart choice πŸ’―

🚨 WHEN CHILDREN SUFFER IN SILENCE AT HOME 🚨Wazazi wengi huenda kazi kila siku wakiamini watoto wao wako safe nyumbani. L...
31/05/2026

🚨 WHEN CHILDREN SUFFER IN SILENCE AT HOME 🚨

Wazazi wengi huenda kazi kila siku wakiamini watoto wao wako safe nyumbani. Lakini sometimes watoto hupitia difficult experiences ambazo hawawezi kuelezea kwa urahisi.

Si kila house help ni mbaya, na wengi wao hufanya kazi yao kwa upendo na kujitolea. Lakini kuna baadhi ya cases ambapo mtoto anaweza kunyanyaswa, kutishwa, kunyimwa chakula, kufokewa kupita kiasi, ama kufanyishwa kazi ngumu k**a njia ya kulipiza kisasi kwa employer.

As parents, be keen on signs such as:

⚠️ Mtoto kuogopa kubaki na house help
⚠️ Mabadiliko ya tabia ghafla
⚠️ Kulia bila sababu inayoeleweka
⚠️ Kukataa kula au kucheza
⚠️ Majeraha yasiyoeleweka
⚠️ Fear, anxiety, ama nightmares

Watoto wadogo mara nyingi hawawezi kueleza wanachopitia. Wanaonyesha kupitia tabia zao.

Take time to:
βœ… Listen to your child.
βœ… Build trust with them.
βœ… Check on them unexpectedly.
βœ… Treat your employees fairly and respectfully.
βœ… Investigate concerns without assumptions.

A safe home should be safe for everyone β€” watoto, wazazi na employees alike.

Je, unaona wazazi wanapaswa kufanya nini kuhakikisha watoto wako salama wanapokuwa mbali na nyumbani?




Address

Gilgil Market Street
Gilgil
20116

Telephone

+254715412388

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gilgil ANNEX Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Gilgil ANNEX Hospital:

Share

Category