14/11/2024
ππππππ€
Kuna siku mwalimu alichora map ya east Africa then akaniuliza "where is Uganda?"nikanyamaza.akanipiga.akauliza Tena nikanyamaza akaendelea kunipiga mi nikaona ataniuwa nikatoroka nikaenda nyumbani.kufika home babangu akaniuliza ni Nini nikamwambia mwalimu anataka kuniuwa.akakasirika tukaenda nae shule.akauliza mwalimu "mbona unataka kuniulia mtoto wangu,,amefanya Nini?".mwalimu akasema "nilimuuliza Uganda iko wapi".babangu kusikia hivo akanizaba Kofi karibu nizimie.akaniambia "nilikuambia usijaribu kuguza vitu za watu! Iko wapi Uganda ya mwalimu?"
π€£πππ€£π€£π€£πββοΈπββοΈ