Twaib Herbal Products

Twaib Herbal Products Twaib Herbs ni wazalishaji na wasambazaji wa dawa za asili zinazotokana na miti,magome,majani,mizizi,mbegu/arabic medicines na virutubisho asili.

Dawa zetu hazina kemikali yoyote. Karibu upate huduma bora kwa jumla na rejareja
๐ˆ๐ง๐ฌ๐ก๐š'๐€๐ฅ๐ฅ๐š๐ก๐Ÿ™

https://youtube.com/shorts/EsgTFxYZseo?feature=share
10/09/2026

https://youtube.com/shorts/EsgTFxYZseo?feature=share

๐—œ๐˜€๐—ผ๐—บ๐—ฒ ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐—ž๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ...

10/09/2026

๐Ÿ™
๐—ง๐—ช๐—”๐—œ๐—• ๐—›๐—˜๐—ฅ๐—•๐—”๐—Ÿ ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข๐——๐—จ๐—–๐—ง๐—ฆ

09/09/2026

.

Tusaidie kusambaza hii na Mungu atakubariki.Usiache kufollow uwe karibu na sisi ๐—ง๐—ช๐—”๐—œ๐—• ๐—›๐—˜๐—ฅ๐—•๐—”๐—Ÿ ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข๐——๐—จ๐—–๐—ง๐—ฆ

++255636607724

 * ๐ŸŒผChamomile ni mojawapo ya mitishamba maarufu sana. Inatumika k**a chai na pia kwenye vidonge/syrup.      0636 607 724...
08/09/2026

* ๐ŸŒผ

Chamomile ni mojawapo ya mitishamba maarufu sana. Inatumika k**a chai na pia kwenye vidonge/syrup.
0636 607 724
*1. KULALA NA KUPUMZIKA*
- Inatuliza akili na mfumo wa neva
- Inasaidia watu wenye usingizi mgumu / wasiwasi
- Ni "chai ya usingizi" maarufu

*2. TUMBO NA MMENG'ENYO*
- Inapunguza gesi, bloating na tumbo kuuma
- Inatuliza vidonda vya tumbo na kiungulia
- Inasaidia mmeng'enyo kufanya kazi vizuri

*3. KINGA YA MWILI*
- Ina antioxidants zinazopigana na magonjwa
- Inasaidia kupunguza mafua na homa
- Ina anti-bacterial na anti-inflammatory

*4. NGOZI NA NYWELE*
- Inatuliza ngozi iliyowashwa, chunusi na mabaka
- Inasaidia kupunguza macho kuvimba
- Inaweza kutumika kuosha nywele ili kung'ara

*5. MAUMIVU NA MSHTUKO WA HEDHI*
- Inatuliza maumivu ya hedhi kwa wanawake
- Inapunguza misuli kukak**aa

*JINSI YA KUITUMIA:*
Kijiko 1 cha maua makavu kwenye maji ya moto.Acha dakika 5-10. Kunywa kabla ya kulala.

โœฆANGALIZO:Wanawake wajawazito wapate ushauri kabla kutumia.
. ๐—ง๐—ช๐—”๐—œ๐—• ๐—›๐—˜๐—ฅ๐—•๐—”๐—Ÿ ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข๐——๐—จ๐—–๐—ง๐—ฆ

08/09/2026

Alhamdulillah ๐Ÿ™
Twaib Herbal tumerejea na nguvu mpya!
Hii hapa namba yetu mpya ya
Tuko pamoja k**a kawaida โค๏ธ
+255663607724

07/09/2026

Hongereni Wanamsimbazi๐Ÿ”ด๐Ÿ‘Š

. Twaib Herbal Products

UNGA WA MAJANI YA MLIMAO.Mlimao ni moja ya mmea(mti) wenye utajiri wa vitamini C,K,Magnesiamu,zink na chuma(iron).Faida ...
07/09/2026

UNGA WA MAJANI YA MLIMAO.
Mlimao ni moja ya mmea(mti) wenye utajiri wa vitamini C,K,Magnesiamu,zink na chuma(iron).
Faida za unga wa majani ya mlimao:
1.Hupunguza kiungulia
2.Kichochezi cha kupata usingizi mzuri na utulivu wa mwili.
3.Hurekebisha kolesterol na shinikizo la damu
4.Hutibu kipanda uso na maumivu ya kichwa
5.Huimarisha kinga mwilini
6.Hulinda afya ya mmeng'enyo wa chakula
7.Hutoa sumu mwilini na ogani k**a ini,figo na kibofu.
โœฆ :Tumia kijiko 1 cha chai katika maji moto(ujazo robo lita) kabla ya mlo,kutwa mara 2 au 3.
โœฆ :Pia haipendekezwi kuitumia wakati wa hedhi au ujauzito.Watoto chini ya miaka 2 haiwafai.


+255636607724
+255767607724

05/09/2026

Hongereni Wananchi๐Ÿ”ฐ๐Ÿ‘Š

. ๐—ง๐—ช๐—”๐—œ๐—• ๐—›๐—˜๐—ฅ๐—•๐—”๐—Ÿ ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข๐——๐—จ๐—–๐—ง๐—ฆ

๐’๐‹๐ˆ๐Œ๐Œ๐ˆ๐๐†  ๐‰๐”๐ˆ๐‚๐„   (๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ณ๐š ๐ฎ๐ณ๐ข๐ญ๐จ/๐ฎ๐ง๐ž๐ง๐ž ๐›๐ข๐ฅ๐š ๐ค๐ฎ๐ž๐ง๐๐ž๐ฌ๐ก๐š/๐ค๐ฎ๐ก๐š๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐š) 0636 607 724        Juisi ya kupunguza uzito na unene  ...
05/09/2026

๐’๐‹๐ˆ๐Œ๐Œ๐ˆ๐๐† ๐‰๐”๐ˆ๐‚๐„
(๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ณ๐š ๐ฎ๐ณ๐ข๐ญ๐จ/๐ฎ๐ง๐ž๐ง๐ž ๐›๐ข๐ฅ๐š ๐ค๐ฎ๐ž๐ง๐๐ž๐ฌ๐ก๐š/๐ค๐ฎ๐ก๐š๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐š)
0636 607 724
Juisi ya kupunguza uzito na unene
Ni kirutubisho asili aina ya juisi tiba yenye wingi wa vitamini A na C maalum kwa:
1.Kuyeyusha mafuta na sumu sumu(Cholesterol) mwilini
2.Kupunguza uzito mkubwa wa mwili
3.Kuondosha unene uliopindukia au tumbo.
4.Huondoa tatizo la kukosa haja kubwa.

๐…๐š๐ข๐๐š ๐ฒ๐š ๐ณ๐ข๐š๐๐š.
Dawa hii hufanya kazi kwa kuyeyusha na sio kuendesha(kuharisha),pia inaweza kutumiwa na wagonjwa wa presha na kisukari.

๐Œ๐€๐“๐”๐Œ๐ˆ๐™๐ˆ:
Mkubwa:Kunywa ujazo wa kikombe cha kawaha kutwa mara mbili(1x2).
Mtoto:Kunywa vijiko 2 vya chakula kutwa mara mbili.
๐‚๐š๐ฅ๐ฅ ๐ฎ๐ฌ/๐ฐ๐ก๐š๐ญ๐ฌ๐€๐ฉ
+255636607724
+255660717724
+255767607724

. ๐—ง๐—ช๐—”๐—œ๐—• ๐—›๐—˜๐—ฅ๐—•๐—”๐—Ÿ ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข๐——๐—จ๐—–๐—ง๐—ฆ

04/09/2026

๐Ÿ™
๐—–๐—ฎ๐—ป ๐˜†๐—ผ๐˜‚ ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐˜๐—ต๐—ถ๐˜€?
๐—”๐—น๐—น๐—ฎ๐—ต ๐˜„๐—ถ๐—น๐—น ๐—ฏ๐—น๐—ฒ๐˜€๐˜€ & ๐—ฝ๐—ฟ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐—ฐ๐˜ ๐˜†๐—ผ๐˜‚ ๐—ณ๐—ผ๐—ฟ ๐—ฒ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜†๐˜๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ด๐Ÿ™
๐—ง๐—ช๐—”๐—œ๐—• ๐—›๐—˜๐—ฅ๐—•๐—”๐—Ÿ ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข๐——๐—จ๐—–๐—ง๐—ฆ

Address

Https://maps. App. Goo. Gl/ZKQWWn4jDZtaHRKZ 6
Arusha
23122

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Twaib Herbal Products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Twaib Herbal Products:

Shortcuts

Share