Afya suluhu splmt clinic

Afya suluhu splmt clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya suluhu splmt clinic, Medical and health, Arusha.

Leo msijali hii pesa tunafuturu wote
25/02/2026

Leo msijali hii pesa tunafuturu wote

*Je, Nini Kinamfanya Mwanamke Kuchelewa Kupata Ujauzito/Mimba?*Mwanamke huchelewesha kupata ujauzito kwa sababu ya matat...
05/02/2026

*Je, Nini Kinamfanya Mwanamke Kuchelewa Kupata Ujauzito/Mimba?*

Mwanamke huchelewesha kupata ujauzito kwa sababu ya matatizo ya kupevusha yai (k**a vile matatizo ya tezi ya thyroid, msongo wa mawazo), masuala ya kuziba kwa mirija ya uzazi, uvimbe wa fibroid kwenye mfuko wa uzazi, endometriosis au vivimbe maji kwenye vifuko vya mayai), kupungua kwa ubora wa yai linalohusiana na umri, matatizo ya kimaisha, (unene uliokithiri, uzito mdogo, uvutaji sigara, ulevi wa pombe kupita kiasi, mfadhaiko, mazoezi ya kupita kiasi), au hali ya kimatibabu, au kutolewa kwa mayai hayo, kuathiri uwezo wa kutunga mimba.

*Upevushaji Wa Yai Na Vichocheo(Hormone)*

⭕ *Vivimbe Maji Kwenye Vifuko Vya Mayai(Ovarian Cysts):* Husababisha upevushaji wa yai usio wa kawaida/wenye kupishanapishana au kutokupevusha kabisa yai kwasababu ya mvurugiko wa homoni (hormonal imbalance)

⭕ *Matatizo Ya Tezi Ya Thyroid:* Tezi ya thyroid inapokosa nguvu au inapokuwa na nguvu kupita kiasi inaweza kuharibu upevushaji wa mayai.

⭕ *Homoni Ya Prolactin Inapokuwa Juu Sana:* Homoni nyingi ya Prolactini(homoni inayozalisha maziwa) inaweza kuathiri upevushaji wa yai.

⭕ *Yai kushindwa Kupevuka:* Kifuko cha yai (o***y) huacha kufanya kazi kabla ya miaka 40.

⭕ *Msongo Wa Mawazo Au Uzito/Unene:* Msongo wa mawazo mkubwa, uzito mdogo sana, au unene mkubwa unaweza kuharibu uwiano wa homoni, na kuathiri upevushaji wa yai.

*Matatizo Katika Mfuko Wa Uzazi (Uterus)*

🟣. *Kuziba Kwa Mirija Ya Uzazi:* Mara nyingi hali hii hutokana na maambukizi (k**a vile PID), magonjwa ya zinaa (pangusa), au endometriosis, kuzuia mbegu za mwanaume zisikutane na yai la mwanamke.

🟣 *Suala La Tumbo La Uzazi:* Fibroids, kuvimba kwa mlango wa kizazi, au hali isiyo ya kawaida katika umbo la mfuko wa uzazi, inaweza kuziba mirija au kuzuia yai lisiweze kujipachika kwenye kizazi.

🟣 *Endometriosis:* Tishu zinazofanana na ukuta wa tumbo la uzazi, huota nje na kusababisha uvimbe na makovu.

*Mtindo wa Maisha na Mambo ya Mazingira*

✅ *Umri:* Ubora na wingi wa mayai hupungua sana kulingana na umri, haswa baada ya 35.
✅ *Uzito:* Unene na kuwa na uzito pungufu huathiri upevushaji wa mayai.
✅ *Ulevi Wa Pombe:* Hali hii inaweza kuathiri vibaya

31/01/2026

*LEO NJOO TUJIFUNZE SAYANSI YA VIDOLE VYA MKONO NA NA ISHARA ZAKE KWENYE UTAMBUZI WA OGANI ZILIZOPO NDANI YA MWILI*

KILA KIDOLE UNACHO KIONA KINA FAIDA YAKE KATIKA MWILI NA KAZI YAKE ILA SISI TUTAWEKA KWENYE UTAMBUZI WA KISAYANSI JE UKIMONA DAKTARI ANASHIKA KIDOLE HICHO ANATA TAKA KUJUA NINI

TUWNZE VIDOLE VYA MKONO VIPO VITANO NA KILA KIDOLE KINA JINA LAKE KUTOKA NA SIFA HUSIKA

1️⃣🤙 KIDOLE CHA MWISHO $$PINK FINGER //UTAMBUZI WA MAPIGO YA MOYO
2️⃣KIDOLE CHA PETE $$ UTAMBUZI WA UNYONGOVU AU DIPRESSION
3️⃣KIDOLE CHA KATI $$ UTAMBUZI WA MZUNGUKO WA DAMU
4️⃣☝🏼KIDOLE CHA SHAHADA AU INDEX FINGER $$UTAMBUZI WA MMENG’ENYO WA CHAKULA
5️⃣👎DOLE GUMBA $$ UTAMBUZI WA CHANGAMOTO ZA MAPAFU

HII NDIO UWEPO NASABABU MUHIMU ZA KUWA NA VIDOLE VITANO NA KAZI ZAKE K**A UMEJIFUNZA KWA HII CLIP NAOMBA COMMENT NENO NIMEJIFUNZA

KWA MSAADA KUHUSU AFYA WASILIANA NASI KWA NAMBA 0652-067-797//078-388-502

KUPIGA CHAFYA.Kawaida mwili wako unafanya kazi ya kukulinda na matatizo mengi pasipo wewe kujua.Hali ya kupiga chafya ( ...
13/01/2026

KUPIGA CHAFYA.
Kawaida mwili wako unafanya kazi ya kukulinda na matatizo mengi pasipo wewe kujua.

Hali ya kupiga chafya ( Sneezing) ni pale pua zetu zinapokua zimejaa BAKTERIA wa magonjwa ambao hawahitajiki katika mwili wako.
Vumbi pamoja na takataja mbali mbali zilizoingia kupitia PUANI.

Hali hiyo inaulinda mwili wako uwe salama kutok**ana na bakteria ambao wataudhuru mwili wako.

Tujue kua kupiga chafya ni janbo muhimu kwako kwa kua ni sehem muhimu sana ya mfumo wa kinga.
Imekuq ikisaidia kulinda zaidi afya zetu.

Wataalam mbali mbali wanathibitisha hilo.
Kua chafya inaondoa Bakteria na Virusi.

Mara nyingi sababu za kutoa chafya ni Mzio.
-Kuwashwa kwa pua.

Kwa hivyo ikijitokeza kuna bakteria ndani ya pua yako utaanza kunyea..kuwashwa...hapo ujumbe utaenda moja kwa moja kwenye ubongo sehemu maalumu ambayo ni kituo chake cha hiyo chafya.

Kwa hivyo tukivuta vumbi,uchafu,n.k
Haraka taarifa itapelekwa huko kwenye ubongo na haraka utapiga chafya ili bakteria watoke .

Kwa msaada wa huduma za virutubisho vyenye kutibu matatizo mbali mbali.

Huduma zetu ni maelezo yako mgonjwa na kifuatacho ni mahojiano na mtaalamu wetu.

Kisha utaanza kutumia huduma zetu.

Bila kusahau ushauri wetu kwako kuhusu ulaji sahihi.

Mawasiliano yetu
0652-067-797. Whatsapp pekee.

Kupiga ni 0652-067-797
Whatsapp pia.

Tupo Arusha

Tembelea ukumbi facebook/instagram umeandikwa Afya suluhu herbal clinic

Tiba kwa wote.
Karibuni Nyote.

*JINSI MWANAMKE ANAVYOWEZA KUEPUKA TATIZO LA UTI*UTI ni moja ya matatizo ya kiafya yanayowasumbua wanawake wengi — husab...
08/01/2026

*JINSI MWANAMKE ANAVYOWEZA KUEPUKA TATIZO LA UTI*

UTI ni moja ya matatizo ya kiafya yanayowasumbua wanawake wengi — husababisha maumivu makali wakati wa kukojoa, harufu mbaya, muwasho, na wakati mwingine homa.
Lakini habari njema ni kwamba unaweza kujikinga kabisa kwa kufuata kanuni sahihi za usafi na lishe.

*🔍 Sababu kuu za kupata UTI kwa wanawake:*

1. Kutokujikausha vizuri baada ya kukojoa (hasa kufuta kutoka nyuma kwenda mbele).

2. Kutokunywa maji ya kutosha.

3. Kuvaa nguo za ndani zenye joto au zinazobana sana.

4. Kushiriki tendo la ndoa bila usafi wa kutosha.

5. Kukaa na mkojo kwa muda mrefu bila kukojoa.

6. Kutumia sabuni kali sehemu za siri.

✅ Njia bora za kuzuia UTI:

1. 💧 Kunywa maji mengi kila siku – angalau glasi 8 hadi 10. Maji husafisha njia ya mkojo na kuondoa bakteria.

2. 🚽 Kukojoa mara kwa mara – usikae na mkojo kwa muda mrefu, kukojoa husaidia kuondoa vijidudu.

3. 🧼 Kudumisha usafi wa sehemu za siri – tumia maji safi na sabuni laini isiyo na kemikali.

4. 👗 Vaa nguo za ndani za pamba – zinaruhusu hewa na hupunguza unyevunyevu ambao bakteria hupenda.

5. 🚫 Epuka kutumia sabuni zenye manukato au dawa kali sehemu za siri.

6. 💑 Baada ya tendo la ndoa, ni vyema kukojoa mara moja kusaidia kuosha bakteria walioweza kuingia.

7. 🍋 Tumia vyakula vya asili vinavyosaidia kupambana na UTI k**a juisi ya parachichi, matunda yenye vitamin C (k**a chungwa na embe), na asali.

8. 🌿 Tumia tiba asilia zenye uwezo wa kuua bakteria na kusafisha njia ya mkojo — mfano mchaichai, tangawizi, na majani ya mlonge.

💡 Kumbuka:

UTI ikipuuzwa kwa muda mrefu inaweza kusababisha maambukizi kwenye figo na kuathiri afya ya uzazi.
👉 Kwa hiyo, mwanamke anatakiwa kujitunza mapema, kufanya usafi sahihi na kunywa maji kila siku.

WASILIANA NAMI KWA namba hii kuweza kupata uponyaji kwa haraka zaid
UPEWE DOZI U

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya suluhu splmt clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share