Jb herbal Clinic

Jb herbal Clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jb herbal Clinic, Medical Center, Jaluo Road, Arusha.

Tunatibu magonjwa mbalimbali kwa dawa asili unapona Kabisa,unatupata sehemu mbalimbali Nchi nzima unaweza Kuwasiliana nasi Sasa Kwa Ushauri Zaidi,na Jinsi Ya Kupata Huduma,Karibuni

FAHAMU ATHARI YA TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION) NA JINSI YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU habari, natumai mnaendelea vi...
28/05/2026

FAHAMU ATHARI YA TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION) NA JINSI YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU
habari, natumai mnaendelea vizuri rafiki nilikua busy na mambo yalinibana sana hivyo nikawatenga kwa Muda naomba tusameheane na kuvumiliana katika shida na raha, Nimepokea sms nyingi kuhusu tatizo la kutopata choo hvyo nimeona ni heri kuzungumzia hapa ili wote mfahamu
~watu wengi wamekuwa wakilalamika juu ya tatizo la kutopata choo na pia kupata choo kigumu hili ni tatizo sugu sana miongoni mwa watu wengi Bila kujua ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka hata hivyo wengi huwa wanapuuzia na kuona ni tatizo la kawaida LAHASHA!! napenda kukuambia ukosefu wa choo kwa Muda mrefu ndio chanzo cha magonjwa mengine tena ya hatari zaidi kwasababu mtu unapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa uchafu unaotakiwa kutoka huwa unajikusanya tumboni na unapokosa sehem ya kutokea unahamia kwenye damu na kuingia katika mfumo wa damu na kuwa sumu na chanzo cha magonjwa mengine ambayo hujitokeza baadaye na kukuathiri zaidi,
~kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku na mara Tatu kwa wiki hivyo unapokosa choo kwa siku Tatu ilhali unakula elewa moja kwa moja una matatizo katika mfumo wa mmeng'enyo

CHANZO CHA TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION)
Tatizo hili husababishwa zaidi na ulaji mbovu wa vyakula na kutokujizoesha kujisaidia mara kwa mara pia kula vyakula vilivyokobolewa na matumizi mabaya ya dawa na magonjwa mengine pia na mabadiliko ya homoni mwilini ndio chanzo cha tatizo

DALILI ZA TATIZO HILI LA KUTOPATA CHOO
Dalili za tatizo hili ni k**a ifuatavyo ÷
👉kupata Homa kali
👉kutapika na kupata vidonda nnje ya haja kubwa
👉kutumia nguvu na Muda mwingi kupata choo
👉ulimi kuwa na utando mweupe na hutoa harufu mbaya
👉kukosa hamu ya kula na tumbo kujaa gesi
👉kutetemeka kwa kuhisi baridii

KINGA NA MATIBABU YA TATIZO LA KUTOPATA CHOO
matibabu ya tatizo la kutopata choo ni magumu na marahisi pia kutokana na ukubwa wa tatizo ila kwa ufupi kila mtu anaweza kujikinga na kupunguza uwezekano wa kupata tatizo hili kwa kufuata kanuni za ulaji bora wa chakula kwasababu tatizo la kutopata choo husababishwa na namna unavyokula au kuishi hivyo ukifuata kanuni bora za ulaji chakula bora tatizo hili halitakupata hivyo njia sahihi ya kujikinga na tatizo la kutopata choo ni kula nafaka zisizokobolewa, matunda, mbogamboga, na kunywa maji mengi
~matibabu yake huhusisha ukubwa wa tatizo ambapo Kuna Tiba mbili ya kupewa dawa au kufanyiwa upasuaji kwa ajili ya kuondoa kinyesi kilichoganda na kuendelea na matibabu ya kuweza kukufanya kupata choo kwa urahisi

MADHARA YA KUKOSA CHOO
Kuna madhara makubwa iwapo hutaamua kupata tiba kwa kupuuzia na kuona ni tatizo la kawaida, madhara hayo ni ÷
👉KUPATA SARATANI YA UTUMBO
👉FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI VIZURI
👉KUPATA PRESHA NA KUPATA UGONJWA WA INI
👉KUPATA MAGONJWA YA MOYO NK
KUMBUKA :zingatia kula milo mitatu kila siku, kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi (high fibre diet), kunywa maji mengi na fanya mazoezi mara kwa mara pia usizoee kutumia dawa za kemikali ovyo ovyo
NOTED : NDUGU RAFIKI K**A UNA TATIZO HILI AU NDUGU YAKO ANA TATIZO LA KUTOPATA CHOO WASILIANA NAMI KUPATA USHAURI ZAIDI
asante kwa kuwa nami kupata elimu hii rafiki k**a una maswali/maoni au mapendekezo yoyote niandikie kupitia WhatsApp/text namba yangu hapo chini

Makala imendaliwa na Jb Herbal Clinic
Instagram

WhatsApp 0745 689 573
Calls//text 0623 183 293

Address

Jaluo Road
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jb herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Jb herbal Clinic:

Shortcuts

Share

Category