NSK Hospitals

NSK Hospitals Healthcare Facility in Arusha, Tanzania offering a wide range of services:

- Specialist Clinics (D

This World Environment Day, NSK Hospital reaffirms that a healthy planet and healthy people go hand in hand. From reduci...
05/06/2026

This World Environment Day, NSK Hospital reaffirms that a healthy planet and healthy people go hand in hand.

From reducing medical waste to promoting green practices in healthcare, we are committed to protecting our environment because every life depends on it. 🌍💚

Kisukari ni moja ya magonjwa sugu yanayoathiri watu wengi duniani, na mara nyingi baadhi ya watu huishi nacho bila kujua...
03/06/2026

Kisukari ni moja ya magonjwa sugu yanayoathiri watu wengi duniani, na mara nyingi baadhi ya watu huishi nacho bila kujua.

Kutambua dalili mapema na kuchukua hatua za kuzuia au kudhibiti kisukari kunaweza kusaidia kulinda moyo, figo, macho na afya yako kwa ujumla.

Dalili za kawaida ni:
🔹 Kukojoa mara kwa mara
🔹 Kiu kupita kiasi
🔹 Kupungua uzito bila sababu
🔹 Kuchoka sana
🔹 Kuona ukungu

Telezesha picha kujifunza zaidi kuhusu kisukari, watu walio katika hatari, na jinsi ya kupunguza uwezekano wa kupata ugonjwa huu.

📍 NSK Hospitals
Huduma Kamili za Kisukari Zinapatikana

Diabetes is one of the most common chronic diseases worldwide, yet many people live with it without knowing.Recognizing ...
03/06/2026

Diabetes is one of the most common chronic diseases worldwide, yet many people live with it without knowing.

Recognizing the early signs and taking steps to prevent or manage diabetes can help protect your heart, kidneys, eyes, and overall health.

Common signs include:
🔹 Frequent urination
🔹 Excessive thirst
🔹 Unexplained weight loss
🔹 Constant tiredness
🔹 Blurred vision

Swipe through to learn more about diabetes, its risk factors, and how you can reduce your risk.

📍 NSK Hospitals
Comprehensive Diabetes Care Available

👧🩺 International Children’s Day Health Week 👦🩺A healthy future starts with a healthy child. 🌟This Children’s Day, give y...
31/05/2026

👧🩺 International Children’s Day Health Week 👦🩺

A healthy future starts with a healthy child. 🌟

This Children’s Day, give your child the gift of preventive healthcare with our special health screening package designed to monitor growth, detect common health concerns early, and provide expert guidance for their wellbeing.

✅ Pediatric Consultation
✅ CBC
✅ Blood Sugar Test
✅ Urine Analysis
✅ Growth Monitoring
✅ Nutrition Counselling

💰 Only TZS 40,000
📅 1st June – 7th June 2026

Early detection, proper nutrition, and regular check-ups can make a lifetime of difference. Bring your child in for a comprehensive health assessment and ensure they are growing healthy and strong.

📍 NSK Hospitals, Arusha
📞 0626 221 331

🌙 Eid Al-Adha Mubarak from NSK Hospital 🤍Wishing you and your family peace, joy, good health, and countless blessings on...
27/05/2026

🌙 Eid Al-Adha Mubarak from NSK Hospital 🤍

Wishing you and your family peace, joy, good health, and countless blessings on this blessed occasion.
Thank you for trusting us with your care — today and always. ✨

❤️ Presha ya damu ni “muuaji wa kimya kimya” kwa sababu watu wengi hawana dalili mpaka madhara yanapotokea.Katika Siku y...
17/05/2026

❤️ Presha ya damu ni “muuaji wa kimya kimya” kwa sababu watu wengi hawana dalili mpaka madhara yanapotokea.

Katika Siku ya Shinikizo la Damu Duniani: ✔ Pima presha mara kwa mara
✔ Kula vizuri
✔ Fanya mazoezi
✔ Linda afya ya moyo wako

🩺 Kugundua mapema huokoa maisha.

📍Tembelea NSK Hospitals kwa huduma za upimaji wa presha na ushauri wa kitaalamu.

WorldHypertensionDay PimaPresha AfyaYaMoyo NSKHospitals Arusha

English Caption❤️ Hypertension is known as the “silent killer” because many people have no symptoms until serious compli...
17/05/2026

English Caption

❤️ Hypertension is known as the “silent killer” because many people have no symptoms until serious complications occur.

This World Hypertension Day, take charge of your health: ✔ Check your blood pressure regularly
✔ Eat healthy
✔ Stay active
✔ Protect your heart

🩺 Early detection saves lives.

📍Visit NSK Hospitals for blood pressure screening and expert care.

Afya ya mwanamke ni muhimu 🌸Hedhi isiyo ya kawaida inaweza kuwa ishara ya tatizo la kiafya ambalo halipaswi kupuuzwa. Ku...
15/05/2026

Afya ya mwanamke ni muhimu 🌸

Hedhi isiyo ya kawaida inaweza kuwa ishara ya tatizo la kiafya ambalo halipaswi kupuuzwa. Kupata uchunguzi mapema husaidia kulinda afya yako na kuzuia matatizo makubwa baadaye.

Ikiwa unapata:
✔ Hedhi kuchelewa au kukosa
✔ Maumivu makali wakati wa hedhi
✔ Kutokwa damu nyingi sana
✔ Mabadiliko ya ghafla ya mzunguko

Ni muhimu kumuona daktari mapema. 💖

📞 0626 221 331
📍 NSK Hospitals Arusha

Your menstrual health matters 🌸Irregular periods should never be ignored. Changes in your menstrual cycle can sometimes ...
15/05/2026

Your menstrual health matters 🌸

Irregular periods should never be ignored. Changes in your menstrual cycle can sometimes be a sign of an underlying health condition that needs medical attention.

If you experience:
✔ Missed or delayed periods
✔ Severe menstrual pain
✔ Very heavy bleeding
✔ Sudden changes in your cycle

It’s important to seek medical advice early. 💖 Early diagnosis can help protect your reproductive health and overall wellbeing.

📞 0626 221 331
📍 NSK Hospitals Arusha

To the heroes in scrubs at NSK Hospitals thank you for your unwavering dedication, courage, and kindness.You make qualit...
12/05/2026

To the heroes in scrubs at NSK Hospitals thank you for your unwavering dedication, courage, and kindness.

You make quality healthcare a reality. 💐

Address

Esso Road, Unga Ltd Area
Arusha
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NSK Hospitals posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category