Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu

Call Directions

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, Hospital, NYAUMATA, Bariadi.

Mganga Mfawidhi Dkt Athanas Ngambakubi ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiy...
14/02/2026

Mganga Mfawidhi Dkt Athanas Ngambakubi ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu pamoja na Katibu wa Baraza Bw. Ibrahim Wilubulambu, wameongoza kikao cha Baraza la wafanyakazi kilichofanyika tarehe 13.02.2026 kwa lengo la kujadili masuala ya ustawi wa wafanyakazi na kuboresha utoaji wa huduma hospitalini. Miongoni mwa ajenda zilizojadiliwa ni hali ya mazingira ya kazi, upatikanaji wa vifaa, ratiba za kazi, na mawasiliano kati ya uongozi na wafanyakazi.
Wajumbe walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali, ikiwemo kuimarisha ushirikiano kazini, kuboresha motisha kwa wafanyakazi, na kuhakikisha rasilimali muhimu zinapatikana kwa wakati. Uongozi uliahidi kufanyia kazi hoja zilizowasilishwa kwa lengo la kuongeza ufanisi na ubora wa huduma.

Meneja wa Benki ya NMB Mkoa wa Simiyu, Andrew Kenedy Msonga akikabidhi kompyuta za mezani sita (6) kwa Mganga Mfawidhi w...
30/12/2025

Meneja wa Benki ya NMB Mkoa wa Simiyu, Andrew Kenedy Msonga akikabidhi kompyuta za mezani sita (6) kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Dkt. Athanas Ngambakubi tarehe 30.12.2025

04/09/2025
Kambi ya madaktari bingwa itakuwepo hospitali ya rufaa ya mkoa Simiyu kuanzia tarehe 18-21 Juni 2024.. wote mnakaribishw...
10/06/2024

Kambi ya madaktari bingwa itakuwepo hospitali ya rufaa ya mkoa Simiyu kuanzia tarehe 18-21 Juni 2024.. wote mnakaribishwa.

Huduma za Viungo Bandia na Viungo saidizi ni Miongoni mwa huduma zinazotolewa Katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiy...
18/05/2024

Huduma za Viungo Bandia na Viungo saidizi ni Miongoni mwa huduma zinazotolewa Katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
Kufahamu haya na Mengine Mengi Ungana nasi katika Kipindi Cha Afya ni Mtaji Cha Bariadi Fm kuanzia saa 6 kamili Hadi saa 7 Kamili Mchana Leo 18/05/2024

Ili kupata Huduma huduma mbalimbali katika hospital ya Rufaa Mkoa Simiyu unaweza kuwasiliana nasi Kwa namba 0753321860

Nyote Mnakaribishwa

karibuni woote
10/09/2022

karibuni woote

Address

NYAUMATA
Bariadi
391

Telephone

0677988171

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category