28/05/2026
Je, upo tayari kuongeza ujuzi wako katika kuhudumia wagonjwa wa Parkinson’s Disease? Saifee Hospital Tanzania, kwa kushirikiana na APTA na TOTA, inakuletea mafunzo maalum ya: "Moving Beyond Medication: Multidisciplinary Care for Parkinson’s Disease."
Hii siyo tu lecture ya kawaida; it is a practical workshop designed to give you hands-on skills ambazo unaweza kuzitumia moja kwa moja kwa wagonjwa wako.
Why you should attend?
1. Gain insights kutoka kwa "Distinguished Minds" katika fani ya Neurology na Rehabilitation.
2. Interactive breakout sessions maalum kwa PT, OT, na Speech Therapists.
3. Networking na wataalamu wenzako (CME points available!).
🗓 Lini: 18th July, 2026
📍 Wapi: Saifee Hospital Tanzania
👥 Target: Physiotherapists, OTs, Speech Therapists, Rehabilitation Nurses & Nutritionists.
Don’t miss out! Scan the QR code kwenye poster kujiandikisha au wasiliana nasi kupitia:
📞 +255 748 772 930 au WhatsApp: +255 747 53 53 53