Naimulika Afya

Call Directions

Naimulika Afya Aina ya Vitu Unavyo kula mara kwa mara + Mtindo wako wa Maisha Ndio Matokeo ya Afya yako Leo /Kesho.

Njia 4 za kuzuia na kupunguza maumivu makali ya hedhi soma zote ziko hapa👇 kwenye picha Naimulika Afya
13/04/2026

Njia 4 za kuzuia na kupunguza maumivu makali ya hedhi soma zote ziko hapa👇 kwenye picha
Naimulika Afya

31/03/2026

Amini nakuambia Baraka zako ziko njiani
Jiandae kuzipokea.

Mafanikio yako furaha yetu sote🎉Ijumaa ya week hii nimepokea habari nzuli sanaKupitia mazungumo ya chati nashare nanyi u...
08/03/2026

Mafanikio yako furaha yetu sote🎉Ijumaa ya week hii nimepokea habari nzuli sana

Kupitia mazungumo ya chati nashare nanyi ushuhuda wa Glory All the way from mwanza
kwakufanikiwa kushika ujauzito.

Glory alinitafuta kuitaji huduma zetu baada ya kupata ushuhuda kutoka kwa nduguye ambae nae pia alifanikiwa kushika ujauzito kupitia huduma zetu. wapendwa ukiwa na kitu kizuli unakijua wambie wenzio🗣️👂.

Nawatakia mafanikio mema nyote mnao endelea na program yetu na wote mnao tarajia kushika ujauzito kupata mtoto/watoto.

Neema na Baraka njema ziendelee kuwa nanyi nyote

Afya ipo kwa ajili yako kukukinga na kuondoa kero zote za changamoto na magonjwa yanayo kunyima aman tuna (Tibu & Tuna kinga)

Wasiliana nasi 0718 750 220 au share habari zetu na yoyote unae his anauwitaji.

Chanzo kinacho ongoza tatizo la wanawake wengi kushindwa kushika mimba ni tatizo la Kuvurugika kwa homoni. kuna sababu k...
05/03/2026

Chanzo kinacho ongoza tatizo la wanawake wengi kushindwa kushika mimba ni tatizo la Kuvurugika kwa homoni. kuna sababu kuu 3 zinazo ongoza kusababisha homoni Kuvurugika

1•Historia ya matumizi ya dawa za uzazi wa mpango na P2.

2•Ulaji na unywaji wa mara kwa mara wa kileo. kula na kunywa vyakula vyenye wingi wa viburudisho na sio virutubisho, kiuhalisia wanawake huongoza kula mapocho pocho sababu inayo wapelekea homoni zao kuvurugika na wengine maumbo kuaribika pia. hutokana na ulaji na unywaji wa mara kwa mara wa vyakula vyenye sukari nyingi na mafuta mengi. hata kwenye ugali wanawake wengi hupendelea kula ugali wa sembe yaani urio kobolewa na sio dona ambao haujakobolewa.

3•Stress na Kutofanya mazoezi. hutokana na tabia ya wengi kupenda kudeka hata sehem ya kutembea yeye atataka atumie usafiri Boda, Bajaji au gari + kulala mara kwa mara na kutojishugulisha vya kutosha.

✍🏾Zipo sababu zingine zinazo changia Kuvurugika kwa homoni.
👉Madhara ya Kuvurugika kwa homoni unayajua?
🎯Suluhisho la tatizo hili hutegemeana na chanzo cha tatizo ili kupata msaada wasiliana nasi 👉 what's app na kawaida 0718 750 220
🎉Angalia kwenye comment shuhuda za wanufaika wa huduma zetu.

Mwaka huu utapata mtoto
03/03/2026

Mwaka huu utapata mtoto

Neema na Baraka njema ziendelee kuwa nawe 🙏🏾
23/02/2026

Neema na Baraka njema ziendelee kuwa nawe 🙏🏾

𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘Complete ni tibalishe yenye kutibu na kuondoa kabisa kero za magonjwa ya uzazi kwa kina mama hutibu na k...
13/02/2026

𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘

Complete ni tibalishe yenye kutibu na kuondoa kabisa kero za magonjwa ya uzazi kwa kina mama hutibu na kuondoa kero za magonjwa mbali mbali ikiwemo.

1•Tatizo la kutokwa na uchafu ukeni usio wa kawaida. 👉wenye harufu na usio na harufu, mzito na mwepesi na husaidia kupata ute mweupe wa uzazi.

2•Huondoa tatizo la ukavu kwa bibi.

3•Hutibu matatizo yote ya hedhi (kuvurugika kwa hedhi, kukoma kwa hedhi, kupata hedhi ya mdamlefu, mabonge/matope au vitone n.k

4•Hutibu maambukizi ya magonjwa sugu ya via vya uzazi (PID, UTI & FUNGUS).

5•Huzuia tatizo la kuharibika kwa mimba.

6•Hutibu tatizo la kushindwa kushika mimba.

7•Hutibu na kuondoa uvimbe kwenye kizazi (fibroids) bila upasuaji.

8•Huondoa tatizo la mvurugiko wa hormones (Hormones imbalance).

9•Hutibu tatizo kujaa maji kwenye mifuko ya mayai (ovarian cyst).

10•Husaidia kupevusha mayai na kuweza kushika mimba.

11•Huzibua milija ya uzazi na kuondoa tatizo la milija kujaa maji.

12•Huondoa madhara yatokanayo na utumiaji wa dawa za uzazi wa mpango zinazo changia kuvuruga homoni na kushindwa kushika mimba.

13•Huondoa sumu mwilini.

14•Hutibu cancer ya mlango wa kizazi na aina zingine.

15•Husaidia sana kuongeza damu mwilini.
anaweza tumia mjamzito na mama anae nyonyesha.

16•Huongeza hamu ya kushiriki tendo.

Hutibu na kuzuia magonjwa mengine mengi
Kupata ufaham zaid na matibabu 0718 750 220

𝘿𝙊𝙎𝙀 𝙂𝙃𝘼𝙍𝘼𝙈𝘼 𝙔𝘼𝙆𝙀.
Tsh165,000 kwa Tsh 85,000

𝗦𝗵𝘂𝗵𝘂𝗱𝗮 𝗹𝗶𝗻𝗸 𝗜𝗽𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗰𝗼𝗺𝗺𝗲𝗻𝘁. 👇

𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘Tibalishe zenye uwezo wa kutibu na kuondoa kabisa kero za magonjwa na matatizo mengi ya kiafya kwa wakin...
15/01/2026

𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘

Tibalishe zenye uwezo wa kutibu na kuondoa kabisa kero za magonjwa na matatizo mengi ya kiafya kwa wakina mama hutibu na kuondoa kero za magonjwa mbali mbali ikiwemo.

1•Hutibu tatizo la kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu na usio na harufu, mzito na mwepesi na husaidia kupata ute mweupe wa uzazi.

2•Huondoa tatizo la ukavu ukeni linalo sababisha kupata maumivu makali wakati wa kukutana kimwili.

3•Hutibu matatizo yote ya hedhi (kuvurugika kwa hedhi, kukoma kwa hedhi, kupata hedhi mdamlefu mabonge/matope au vitone nk.

4•Hutibu maambukizi ya magonjwa sugu ya via vya uzazi (PID, UTI & FUNGUS).

5•Huzuia tatizo la kuharibika kwa mimba mara kwa mara.

6•Hutibu tatizo kushindwa kushika mimba.

7•Hutibu na kuondoa uvimbe kwenye kizazi (fibroids) bila upasuaji.

8•Huondoa tatizo la mvurugiko wa hormones (Hormones imbalance).

9•Hutibu tatizo kujaa maji kwenye mifuko ya mayai (ovarian cyst).

10•Husaidia kupevusha mayai.

11•Huzibua milija ya uzazi na kuondoa tatizo la milija kujaa maji.

12•Huondoa madhara yatokanayo na utumiaji wa dawa za uzazi wa mpango zinazo changia kuvuruga homoni na kushindwa kushika mimba.

13•Huondoa sumu mwilini.

14•Hutibu cancer ya mlango wa kizazi na aina zingine.

15•Husaidia sana kuongeza damu mwilini.
nzuli sana kwa mjamzito kutumia wakati wa ujauzito(CPE).

16•Huongeza hamu ya kushiriki tendo.

Tiba lishe hizi zinatibu na kuzuia magonjwa mengine pia ili Kufaham zaidi piga namba hizi ☎️0718 750 220

𝘿𝙊𝙎𝙀 𝙂𝙃𝘼𝙍𝘼𝙈𝘼 𝙔𝘼𝙆𝙀.
165,000 or ½D 85,000

𝗦𝗵𝘂𝗵𝘂𝗱𝗮 𝗹𝗶𝗻𝗸 𝗜𝗽𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗰𝗼𝗺𝗺𝗲𝗻𝘁. 👇

𝗩𝗶𝘀𝗮𝗯𝗮𝗯𝗶𝘀𝗵𝗶 𝘃𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘃𝘂𝗿𝘂𝗴𝗶𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗵𝗼𝗿𝗺𝗼𝗻𝗲𝘀 𝘇𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗻𝗮𝗺𝗸𝗲Homoni ni nini? ni kemikali zinazo zalishwa mwilini ili husafirisha i...
30/12/2025

𝗩𝗶𝘀𝗮𝗯𝗮𝗯𝗶𝘀𝗵𝗶 𝘃𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘃𝘂𝗿𝘂𝗴𝗶𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗵𝗼𝗿𝗺𝗼𝗻𝗲𝘀 𝘇𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗻𝗮𝗺𝗸𝗲

Homoni ni nini? ni kemikali zinazo zalishwa mwilini ili husafirisha ishara za taarifa kupitia damu ili kudhibiti na kuratibu kazi mbalimbali za mwili.

kimsingi homoni hubeba maagizo kwa sehemu tofauti za mwili kuwaambia mwili nini cha kufanya na wakati gani wa kufanya.

Linapo tokea tatizo la hormones kutowiana ndipo linapo kuja tatizo la kuvurugika kwa hormone (Hormones imbalance) kwa wanawake kuna visababishi mbali mbali vya tatizo hili kwao ikiwemo

✍️Unywaji & ulaji wa mara kwa mara wa vyakula vya viwandani.
✍️Kupendelea sana kula vyakula vya kukaangiza.
✍️Matumizi ya dawa za kuzuia mimba P2 na (dawa za mpango).
✍️Ugonjwa wa tezi.
✍️Kukaa mazingila yenye sumu/chemicali mdamlefu
✍️Lishe duni
✍️Matumiz ya pombe
✍️Uvutaji sigara au uvutaji wa moshi wa sigara kutoka kwa mvuta sigara
✍️Matumizi ya mara kwa mara ya madawa (antibiotics & antpain) n.k

𝗔𝘁𝗵𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘃𝘂𝗿𝘂𝗴𝗶𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗵𝗼𝗿𝗺𝗼𝗻𝗲𝘀 𝗸𝘄𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗻𝗮𝗺𝗸𝗲
✅Kukosa hamu ya tendo
✅Kuwa mkavu ukeni
✅Hedhi ya mdamrefu/hedhi nying sana/kiduchu/mabonge/hedhi ya matope
✅Ukomo wa hedhi kabla ya wakati.
✅kushindwa kushika mimba/kuharibika.
✅Kuwashwa/kutoka mapele usoni/kuharibika kwa ngozi.
✅Maumivu makali ya kichwa/kipanda uso/kukosa usingizi
✅Uchovu wa mdamlefu/kupungua au kukosa ukamini
✅Kuongezeka uzito kupitiliza
✅Mwanamke kuota nywele za kidevuni/kifuani

Jiepusha na tatizo hili kwa kuepuka visababishi ikiwa tayali unalo tatizo hili wasilina nasi 0718 750 220 Naimulika Afya tunakupenda sana🫶 Neema na Baraka njema ziendelee kuwa nawe🙏

HABARI KUBWA YA LEO NI KUHUSU C24/7C24/7 ni nini? hii ni tibalishe/kirutubisho lishe kipya - chenye uundwaji wa kipekee ...
22/12/2025

HABARI KUBWA YA LEO NI KUHUSU C24/7

C24/7 ni nini? hii ni tibalishe/kirutubisho lishe kipya - chenye uundwaji wa kipekee ulio bora zaidi kuliko bidhaa zingine za asili sokoni za virutubisho lishe/tibalishe. NATURE's WAY imetumia michakato yake ya utengenezaji inayoruhusu viungo vyote kutoa kiwango cha juu cha antioxidants na phytonutrients.

C24/7 ina kiwango cha juu zaidi cha antioxidants na takriban 22,000 Phytonutrients katika Kila kidoge kimoja.

FAIDA UNAZO PATA UKITUMIA C24/7

✅Huchangia kuishi mdamlefu.
✅Husaidia kuondoa mafuta mabaya mwilini (bad cholesterol.
✅Hukukinga na magonjwa ya moyo na Athari zake.
✅Inasaidia kuzuia saratani ya asili yoyote.
✅Hudhibiti shinikizo la juu la damu.
✅Hudhibiti sukari ya damu

✅Huimarisha na kuwekwa usawa wa metabolism.
✅Huongeza uzalishwaji wa glutathione ya asili mwilini.
✅Hurudisha muonekano asili wa ngozi.
✅Huzalisha seli mpya za ini.
✅Hupromote mzunguko mzuli wa damu wenye afya.
✅Huondoa sumu mwilini. ✅Huondoa uchovu, Msongo wa mawazo na wasiwasi.
✅Huongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa

INAMUNGANIKO WA VIRUTUBISHO MUHUMIM VYA KILA SIKU

29Vitamins/Minerals/Trace minerals.
18Amino Acids.
14Vyakula vya kujani/juice ya spirulina.
12Juice za matunda tofauti yalio sagwa pamoja.
12Juice za mboga mboga zilizo sagwa pamoja.
12Aina za uyoga
12Aina vimeng'enya chakula
12Mimea & irutubisho Maalum
10Essential fatty acids
5Kuzuia uzee/Kiboreshaji cha Antioxidant
4longevity polyphenols/mega Resveratrol blend

C24/7 imetengenezwa na kampuni ya NATURE's WAY kampuni Bora iliobobea kwa utengenezaji wa Bidhaa za asili za mitishamba kutokea marekan.

C24/7
C INAWAKILISHA

✍️Cellular protection (kulinda seli)
✍️Cellular immunity (kinga seli)
✍️Cellular Energizer (Huzipa seli nishati/nguvu)
✍️cellular Enhancement (Huimarisha seli)
✍️Cellular longevity (Huzinya seli kuishi mdamlefu)
✍️Cellular Nourishment (lishe ya seli)
✍️Cardio protection (ulizi wa moyo)
✍️Cancer protection (kinga ya saratani)

Utumiapo C24/7 unaupatia mwilini wako virutubisho lishe vyote muhim ndani ya masaa 24 kwa siku saba ya week. C24/7 ni kinga na tiba ya magonjwa 100 kuipata C24/7 wasilina nasi
0718 750 220
Bei yake ni kwanzia Tsh 30,000 - 85,000

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 21:00
Tuesday 09:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 21:00
Thursday 09:00 - 21:00
Friday 09:00 - 21:00
Saturday 09:00 - 21:00

Telephone

+255718750220

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Naimulika Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share