drkihindo

drkihindo DrKihindo Ni mtaalamu wa Antioxidants anahudumu DrKihindo Clinic iliyoko Jijini Dar es Salaam. TUNAT

IJUE CHANGAMOTO YA SHAMBULIO LA KWENYE KIZAZI (P.I.D)Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke (PID)Tiba na ushaurikw...
28/09/2021

IJUE CHANGAMOTO YA SHAMBULIO LA KWENYE KIZAZI (P.I.D)

Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke (PID)

Tiba na ushauri

kwa mawasiliano zaidi;

Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya uzazi (cervix) hali ambayo hujulikana k**a cervicitis, nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium) ambayo kitaalamu huitwa endometritis, na mirija ya uzazi (fallopian tubes) hali ijulikanayo kitabibu k**a salpingitis.

PID husababishwa na nini?

Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID, vimelea vya jamii ya Neisseria Gonorrhoeae pamoja na Chlamydia trachomatis ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama.

Je mwanamke huambukizwaje PID?

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na

Kufanya ngono isiyo salama Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period) Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage) Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango, na Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID.

Dalili za PID ni zipi?

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni

- Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu - Kupata maumivu ya mgongo - Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya. - Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa - Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa - Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi - Kupata homa - Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na Pia kutapika

Vipimo vya PID

Ili kuweza kutambua k**a mwanamke ameambukizwa ugonjwa huu, tabibu anaweza kufanya vipimo kadhaa vikiwemo

Kuchunguza mkojo ili kufahamu k**a mgonjwa ana mimba. Kipimo hiki ni muhimu hasa kwa mwanamke aliye katika umri wa kuzaa au mwenye uwezo wa kubeba mimba

Uchunguzi wa mkojo kwenye darubini ili kutambua aina za vimelea vinavyomletea mgonjwa uambukizi. Aidha mkojo huweza kuoteshwa katika maabara kwa

P.I.D NI HATARI (CHANZO CHA UGUMBA/UTASA NA SARATANI YA KIZAZI).. Ukipona P.I.D Unakua Umepona Matatizo zaidi ya 5 (FIBR...
27/09/2021

P.I.D NI HATARI (CHANZO CHA UGUMBA/UTASA NA SARATANI YA KIZAZI)..
Ukipona P.I.D Unakua Umepona Matatizo zaidi ya 5 (FIBROIDS, Ovariancyst, Hormone Imbalance, UTI Sugu, Ugumba/UTASA, Mimba Kuharibika nk..) ..
KUBWA Zaidi Unakua Umejikinga Na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI....
DrKihindo Clinic tunayotiba Tiba ya UHAKIKA YA ANTIOXIDANTS ZITAKUPONYA MOJA KWA MOJA..
Wasiliana Nasi Sasa
Simu: 0629980862 (WhatsApp)
Email: [email protected]

FURAHA YAKO KIAFYA NI JUKUMU LETU..

UKIPONA P.I.D Unakua Umepona Matatizo zaidi ya 5 (H.Imbalance, Uvimbe Kwenye Kizazi, U.T.I SUGU, Ugumba na Mimba Kuharib...
25/09/2021

UKIPONA P.I.D Unakua Umepona Matatizo zaidi ya 5 (H.Imbalance, Uvimbe Kwenye Kizazi, U.T.I SUGU, Ugumba na Mimba Kuharibika) na KUBWA Zaidi UNAJIKINGA NA SARATANI YA KIZAZI..
Wasiliana Nasi Sasa Kwa Dose ya Uhakika
Simu: 0629989862 (WhatsApp)
Email: [email protected]

FURAHA YAKO KIAFYA NI JUKUMU LETU..

Address

Kijitonyama
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when drkihindo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category