eimmer__medics

Directions

eimmer__medics Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from eimmer__medics, Doctor, Dar es Salaam.

11/03/2026

Maumivu wakati wa hedhi part 2

10/03/2026

Maumivu wakati wa hedhi part 1

They cant use you if you’re useless
10/03/2026

They cant use you if you’re useless

Just incase ❤️❗️
09/03/2026

Just incase ❤️❗️

A confession of a mad man!Just incase❤️❗️
06/03/2026

A confession of a mad man!

Just incase❤️❗️

MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOAHaya ni maumivu ya uke ama nyonga ambayo huchochewa na tendo la ndoa. Wagonjwa wenye shid...
05/03/2026

MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA

Haya ni maumivu ya uke ama nyonga ambayo huchochewa na tendo la ndoa. Wagonjwa wenye shida hii hupata maumivu kabla, wakati au baada ya tendo la ndoa.

Maumivu hata yanaweza kugawanywa k**a ifuatavyo
1. Maumivu wakati wa kuanza tendo au maumivu ikiwa mwanaume ataingia ndani zaidi (deep dyspareunia)
2. Mwanamke amekuwa na maumivu haya tangu awali na hajawahi kufurahia tendo na aina nyingine ni mwanamke kuanza kusikia maumivu wakati awali hayakuwepo
3. Maumivu yasiyo na sababu na maumivu yenye sababu

SABABU ZINAZOWEZA KUPELEKEA MAUMIVU YA JUU/NJE/ MWANZO WAKATI WA TENDO LA NDOA NI
1. Kupungua kwa kiwango cha estrojeni kutokanako na
-uzazi wa mpangi mfano vidonge vya majira vinaweza kuambatana na kupungua kwa kiwango cha estrojeni, kupungua kwa homonu ya testosterone na kupungua kwa upana wa ukuta wa ndani wa uke
-kipindi baada ya kujifungua na wakati wa kunyonyesha
-ukomo wa hedhi
-kupungua kwa ufanyaji kazi wa tezi ya ovari kunakoweza kutokana na kushindwa kwa ovari kufanya kazi kabla ya miaka 40, mionzi au upasuaji wa kuondoa ovari
-dawa za kuzuia au kupunguza kiwango cha estrojeni ambazo huweza kupelekea kusinyaa kwa uke, kupungua kwa mnyumbiliko wa tishu za uke na kupungua kwa ute
-magonjwa ya ngozi ya sehemu ya nje ya uke
-Ukeketaji

2. Kupungua kwa ute
3. Kukaza kwa misuli ya uvungu wa nyonga
4. Mabadiliko ya kimaumbile
5. Maumivu yasiyo na sababu
6. Changamoto zugu sa hisia

SABABU ZINAZOWEZA PELEKEA MAUMIVU YA NDANI YA UKE WAKATI WA TENDO LA NDOA (deep dyspareunia)

1. Kujipandikiza kwa tishu za ukuta wa ndani wa mji wa minba katika maeneo mengine ya nyonga
2. Uvimbe katika ovari
3. Maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke (PID)
4. Uvimbe katika mji wa mimba
5. Kukaza kwa misuli ya uvungu wa nyonga
6. Saratani
7. Upasuaji wa kutoa kizazi nk

Kwa uchunguzi na matibabu fika katika kituo cha kutolea huduma za afya. Kwa maswali na ushauri wasiliana nasi.
Dr. Emmanuel Lwamayanga

04/03/2026

Vaginal dryness is common but that doesn’t mean you have to live with it. 👀

If intimacy feels uncomfortable, painful, or just “off,” your body is trying to tell you something. Let’s talk about it.

Honored to wear the white coat and serve with integrityJust incase❤️❗️
03/03/2026

Honored to wear the white coat and serve with integrity

Just incase❤️❗️

Even an expert was once a beginnerJust incase❤️❗️
02/03/2026

Even an expert was once a beginner

Just incase❤️❗️

28/02/2026

Semen Analysis

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when eimmer__medics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category