Makiriaafyacare

Makiriaafyacare Tunatoa tiba
•Afya ya Mwanamke
•Afya ya Mwanaume

kwa kutumia tiba zisizo na madhara Kwa mwili

30/07/2026

Mwanaume Ili kumfanya mwanamke apate mimba ni Lazima mbegu zako ziwe na sifa hizi

1.Mbegu iwe na Kichwa
2.Mbegu iwe na kiwiliwili
3.Mbegu iwe na Mkia
4.Mbegu iwe na uwezo wa kuogelea Kwa haraka

Tunakutakia wewe na Famili yako sikukuku Njema.
05/04/2026

Tunakutakia wewe na Famili yako sikukuku Njema.



Tunza afya Yako kuliko kitu chochote kile maana afya inakupa Kila kitu unachotaka maishani mwako.Kula vizuri sio anasa n...
28/03/2026

Tunza afya Yako kuliko kitu chochote kile maana afya inakupa Kila kitu unachotaka maishani mwako.

Kula vizuri sio anasa ni Uwekezaji wa mwili wako.



𝐉𝐞 𝐔𝐦𝐞𝐜𝐡𝐨𝐤𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐭𝐞𝐬𝐞𝐤𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐲𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐫𝐮𝐟𝐮 𝐦𝐛𝐚𝐲𝐚 𝐮𝐤𝐞𝐧𝐢, 𝐌𝐢𝐰𝐚𝐬𝐡𝐨 𝐚𝐮 𝐅𝐚𝐧𝐠𝐚𝐬𝐢?Je wewe ni mmoja wa wanawake wanaopoteza kuj...
26/03/2026

𝐉𝐞 𝐔𝐦𝐞𝐜𝐡𝐨𝐤𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐭𝐞𝐬𝐞𝐤𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐲𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐫𝐮𝐟𝐮 𝐦𝐛𝐚𝐲𝐚 𝐮𝐤𝐞𝐧𝐢, 𝐌𝐢𝐰𝐚𝐬𝐡𝐨 𝐚𝐮 𝐅𝐚𝐧𝐠𝐚𝐬𝐢?

Je wewe ni mmoja wa wanawake wanaopoteza kujiamini ukiwa kwenye mkusanyiko wa watu au hata karibu na mwenza wako Kwa sababu ya harufu mbaya ukeni?

Wengine hata Wanashindwa kufurahia siku zao za mwezi kwa Amani....

𝐖𝐚𝐧𝐚𝐰𝐚𝐤𝐞 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐩𝐢𝐭𝐢𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐦𝐨𝐭𝐨 𝐡𝐢𝐳𝐢 𝐊𝐢𝐥𝐚 𝐬𝐢𝐤𝐮

•𝐏.𝐈.𝐃 𝐒𝐮𝐠𝐮
•𝐌𝐢𝐰𝐚𝐬𝐡𝐨 𝐮𝐤𝐞𝐧𝐢
•𝐔.𝐓.𝐈 𝐈𝐧𝐚𝐲𝐨𝐣𝐢𝐫𝐮𝐝𝐢𝐚
•𝐅𝐚𝐧𝐠𝐚𝐬𝐢 𝐳𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐚 𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐚

Habari Njema ni kwamba ... Tumewasaidia wanawake zaidi ya 500+ Kurejesha afya yao ya uke, kuondoa harufu mbaya na kurudisha kujiamini kwao

Usiendelee kuteseka kimya kimya

𝐓𝐮𝐦𝐚 𝐍𝐞𝐧𝐨 "𝐀𝐅𝐘𝐀" 𝐊𝐮𝐩𝐢𝐭𝐢𝐚 𝐖𝐡𝐚𝐭𝐬𝐚𝐩𝐩 𝐊𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐛𝐨𝐧𝐲𝐞𝐳𝐚 𝐥𝐢𝐧𝐤 𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐜𝐡𝐢𝐧𝐢 𝐥𝐞𝐨.

https://wa.me/255692624471

26/03/2026
Tunakutakia Eid Al Fitri Njema wewe na Familia yako, kumbuka kutunza afya Yako.
21/03/2026

Tunakutakia Eid Al Fitri Njema wewe na Familia yako, kumbuka kutunza afya Yako.

Tunakutakia Sikukuu njema pamoja na familia yako kumbuka kutunza Afya yako.
26/12/2025

Tunakutakia Sikukuu njema pamoja na familia yako kumbuka kutunza Afya yako.




Address

Mbezi Kimara
Dar Es Salaam

Telephone

+255692624471

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Makiriaafyacare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share