Koudijs Animal Nutrition - Tanzania

Koudijs Animal Nutrition - Tanzania Koudijs is an organization with a leading position in the Animal nutrition industry, focused on the

TUPO NANENANEKaribu kwenye mabanda yetu msimu huu wa NaneNane ujifunze siri za ufugaji wa kibiashara wenye faida.Utajifu...
02/08/2026

TUPO NANENANE

Karibu kwenye mabanda yetu msimu huu wa NaneNane ujifunze siri za ufugaji wa kibiashara wenye faida.

Utajifunza, jinsi ya kuongeza tija katika ufugaji wako, kupunguza gharama za ulishaji, na mengine mengi.

Tunakusubiri!

15/07/2026

K**a unataka kuku wako watage kwa kiwango cha juu, usisubiri waanze kutaga ndipo uanze kuwajali. Mafanikio ya utagaji hujengwa tangu hatua za mwanzo za ukuaji.

Koudijs tupo nawe, kuhakikisha unapata tija katika mradi wako.

NDAGA FIJO MBEYA🙏🏽Tunapenda kuwashukuru wafugaji wote mliohudhuria Semina ya Ufugaji wa Kuku na Nguruwe kibiashara leo T...
04/07/2026

NDAGA FIJO MBEYA🙏🏽

Tunapenda kuwashukuru wafugaji wote mliohudhuria Semina ya Ufugaji wa Kuku na Nguruwe kibiashara leo Tarehe 4/7/2026, katika ukumbi wa TUGHIMBE, Mbeya

Endelea kutumia bidhaa kutoka Koudijs kwa matokeo yenye tija katika ufugaji wako🔥

Ahsanteni sana.

21/06/2026

Joto lisilo sahihi linaweza kuathiri afya na ukuaji wa nguruwe. Tumia kipimajoto (thermometer) kufuatilia hali ya banda na kuchukua hatua sahihi mapema.

Koudijs tupo na wewe bega kwa bega, ili kuhakikisha unapata matokeo yenye tija katika ufugaji wako.

Endelea kutumia bidhaa kutoka Koudijs, kwa matokeo yenye tija katika Ufugaji wako.

Kwa msaada zaidi, tafadhali wasiliana nasi
0742 905 350

Wafugaji wa Mbeya, hii ni zamu yenu.Koudijs Animal Nutrition inakualika kwenye Semina ya Ufugaji wa Nguruwe na Kuku Kibi...
06/06/2026

Wafugaji wa Mbeya, hii ni zamu yenu.

Koudijs Animal Nutrition inakualika kwenye Semina ya Ufugaji wa Nguruwe na Kuku Kibiashara itakayofanyika Tarehe 4/7/2026 katika Ukumbi wa Tughimbe, kuanzia Saa 2:30 Asubuhi.

Kwenye Semina hii, utajifunza namna ya Kutengeneza chakula cha mifugo chenye ubora kwa gharama nafuu, uchaguzi wa mbegu bora na kinga dhidi ya magonjwa.

Jiandikishe mapema kupitia namba:
0717 999 377 au 0654 300 863
au Tembelea duka la Wakala wa Koudijs lililo-karibu yako.

Chagua Ubora, Chagua Koudijs.

Asanteni sana wafugaji wa Kanda ya Ziwa kwa kutembelea banda la Koudijs katika Maonesho ya Mifugo yaliyofanyika Usanda, ...
31/05/2026

Asanteni sana wafugaji wa Kanda ya Ziwa kwa kutembelea banda la Koudijs katika Maonesho ya Mifugo yaliyofanyika Usanda, Shinyanga.
Furaha yetu ni kuona mnaendelea kuchukua hatua za kuboresha ufugaji wenu kupitia lishe bora na ushauri wa kitaalamu. Ushiriki wenu umetupa hamasa ya kuendelea kuwaletea suluhisho bora za kuongeza uzalishaji na faida katika biashara ya mifugo.

Wakazi wa Kanda ya Ziwa, tunapenda kuwakaribisha katika banda letu, kwenye maonesho ya Lakezone Livestock Expo, yanayofa...
30/05/2026

Wakazi wa Kanda ya Ziwa, tunapenda kuwakaribisha katika banda letu, kwenye maonesho ya Lakezone Livestock Expo, yanayofanyika Busanda, Shinyanga.

25/05/2026

Wafugaji wengi wamekuwa wakipata changamoto ya Watoto wa Nguruwe, kuharisha sana.
Fuatilia makala hii, kuweza kufahamu chanzo na namna ya kuzuia changamoto hiyo.

Koudijs tupo na wewe bega kwa bega, ili kuhakikisha unapata matokeo yenye tija katika ufugaji wako.

Endelea kutumia bidhaa kutoka Koudijs, kwa matokeo yenye tija katika Ufugaji wako.



Kwa msaada zaidi, tafadhali wasiliana nasi
0742 905 350

Wakazi wa Mbeya, tunapenda kuwakaribisha katika banda letu, kwenye maonesho ya Mbeya City Expo, yanayofanyika Market Squ...
22/05/2026

Wakazi wa Mbeya, tunapenda kuwakaribisha katika banda letu, kwenye maonesho ya Mbeya City Expo, yanayofanyika Market Square, Uhindini.

Address

Vingungguti Vawandani, Ilala Municipal Council
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Koudijs Animal Nutrition - Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share