18/02/2021
UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI/SEHEMU ZA SIRI( VAGINAL CANDIDIASIS ).
UKE ni KIUNGO cha UZAZI cha MWANAMKE ,ambamo ndani yake kuna Lactobackujitibucteria na fangasi wazuri ambao wako katika kiwango kinacholingana .
BAKTERIA hawa na FANGASI hizi husaidia sana kuulinda UKE na MARADHI mbalimbali endapo UWIANO wake hautabughuziwa .
Lactobacillus bakteria hutoa acid ambazo huzuia fangasi kukuwa au kuwa wengi .
UGONJWA wa FANGASI za UKENI ni ugonjwa anaoupata MWANAMKE endapo fangasi watakuwa wengi zaidi ya bacteria wazuri waliopo UKENI au k**a pH ya UKENI imezidi kiwango cha kawaida kinachopaswa ( pH 3.5 - 4.5 ndio kiwango kizuri kiafya ).
FANGASI za UKENI hujulikana k**a Candida .Lakini zile zinazosababisha UGONJWA UKENI zinajulikana k**a CANDIDA ALBICANS .Fangasi hawa husababisha muwasho mkali , Uvimbe kwenye kuta za Ukeni na pia Mtekenyo .
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA FANGASI UKENI .
Sababu zipo nyingi sana lakini baadhi ya sababu hizo ni hizi zifuatazo :-
1. MATATIZO YA HOMONI.
Homoni za kubadilika /kuwa nyingi sana au kushuka sana . Tatizo ili linaweza kusababishwa na Ukomo wa hedhi ,Ujauzito , Kuwa katika siku za mwezi ( MP ), matumizi ya dawa za kuongeza kiwango cha homoni za k**e .
2. MATUMIZI YA ANTIBIOTICS.
Hii usababisha kuua Bacteria wazuri na kubadili pH ya Uke .
3. KUFANYA MAPENZI NA MGONJWA.
Hii inasababishwa na kufanya mapenzi na Mtu aliye na Ugonjwa wa fangasi za sehemu za siri bila kinga .
4. KUSHUKA KWA KINGA YA MWILI .
Hii inaweza kusababishwa na Magonjwa mbalimbali k**a Ukimwi ,Kisukari , Upungufu wa Madini , Vitamini na Virutubisho mbalimbali vya Mwili .
5. ULAJI MBAYA .
Hii linatokana na kutozingatia utaratibu mzuri wa Ulaji. Kupendelea Vyakula vyenye Sukari kwa wingi ( Sukari ni chakula kwa fangasi ivyo uongezeka ) .Pia punguza vyakula vinavyokuongezea asidi nyingi tumia zaidi vinavyokuongezea alikaline mwilini ili kuweka sawa uwiano katika mwili .
6. USINGIZI.
Kukosa usingizi na Msongo wa mawazo .
call/wasup 0746022763