Afya Masaka

Afya Masaka TUNAWASAIDIA WATU KUTATUA CHANGAMOTO ZA AFYA YA UZAZI, VIDONDA VYA TUMBO, BAWASIRI PAMOJA NA UZITO MKUBWA.

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. 1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke...
05/09/2022

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kimwaga mbegu za Kiume.

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.

4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa.

5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.

Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap +255716374464 au piga simu usaidiwe haraka

Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume haraka1. *Ndizi* Wakati unafikiria uwezo wa kufanya vema tendo la ndoa unatakiwa kuw...
24/08/2022

Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume haraka

1. *Ndizi*
Wakati unafikiria uwezo wa kufanya vema tendo la ndoa unatakiwa kuwaza juu ya uimara wa misuli ya mwili ambayo inatajwa kuwa ni sehemu kuu na yenye muhimu katika kujamiiana. Kwa msingi huo ulaji wa ndizi mbivu unatajwa kusaidia kujenga misuli mwilini na kumfanya mtu aweze kuwa hodari katika tendo la ndoa.
Kuwa na stamina ni muhimu katika ufanyaji mapenzi. Ndizi ni chanzo kikubwa cha vitamin B ambayo husaidia sana katika kuongeza stamina na nguvu mwilini hasa wakati wa kufanya kazi nzito.
Ndizi ina kimeng’enyo cha Bromelain ambacho huongeza nguvu za kiume, ashki ya mapenzi ( libido).

2. *Tikiti maji*

Matikiti maji ni tunda muhimu sana kwa kulinda ndoa inatakiwa walau kwa siku upate vipande viwili au vitatu na sasa yapo kwa wingi ushindwe wewe na ni muhimu ukala na mbegu zake.

Tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga,Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A,B6,C. Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi.

Tunda linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika kwa misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kuondoa katika hatari ya kupata shinikizo la juu la damu .

Faida nyingine 12 za tikiti maji kiafya ukiacha hii ya nguvu za kiume
• Asilimia 92 yake ni maji
• Vitamini A ndani yake huboresha afya ya macho
• Vitamini C ndani yake huimarisha kinga ya mwili,
• Huponya majeraha,
• Hukinga uharibifu wa seli
• Huboresha afya ya meno na fizi
• Vitamini B6 husaidia ubongo kufanya kazi vema
• Hubadilisha protin kuwa nishati
• Chanzo cha madini ya potasiamu
• Husaidia kushusha na kuponya shinikizo la damu
• Hurahisisha mtiririko wa damu mwilini
• Huondoa sumu mwilini
Kula tikiti maji kila siku huku ukitafuna na zile mbegu zake, fanya mara hivi mara kwa mara.

3. *Unga wa Mbegu za maboga*

Maajabu mengine ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajuwi bado.
Utaniuliza kivipi zinaondoa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? Kwanza k

hii ndio sababu kwanini mwanaume mwenye kitambi/ uzito mkubwa uume wake hunywea na kuwa dhaifu pia kukosa hamu na ufanis...
18/08/2022

hii ndio sababu kwanini mwanaume mwenye kitambi/ uzito mkubwa uume wake hunywea na kuwa dhaifu pia kukosa hamu na ufanisi katika kushiriki tendo La ndoa 👇👇

DALILI ZA CHANGAMOTO YA TEZI DUMEUonapo dalili zifuatazo unaweza kuanza kuhisi una saratani ya tezi dume:1. Kukojoa mara...
15/08/2022

DALILI ZA CHANGAMOTO YA TEZI DUME
Uonapo dalili zifuatazo unaweza kuanza kuhisi una saratani ya tezi dume:
1. Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku
2. Kushindwa kuzuia mkojo, yaani ukichelewa kidogo unaweza kukutoka bila breki
3.Kuwahi kufika kileleni mara kwa mara
4. Maumivu wakati unakojoa
5. Kuishiwa nguvu za kiume
6. Kupungua kwa uwingi wa mbegu (low s***m count)
7. Maumivu wakati unafika kileleni
8. Damu kutokea kwenye mkojo au kwenye mbegu za kiume
9. Maumivu nyuma ya mgongo au hata nyonga

K**a umeona mojawapo ya dalili hizo chukua tahadhali mapema kwa kutumia virutubisho asilia, formula ya matunda matatu na mazoezi matatu muhimu. kwani kinga ni bora kuliko tiba. Usisubiri uharibikiwe zaidi ya hapo.

Suluhisho; Tuma ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda WhatsApp +255716374464 au piga simu usaidiwe mapema.

15/08/2022

HAUPONI TATIZO LA NGUVU ZA KIUME KWA SABABU UNAFANYA HAYA MAKOSA KILA SIKU.+255716374464
Ninaposikia mtu anasema siamini dawa za mitandaoni au hawa ni waongo huwa sishangai kabisa maana naelewa wazi kwa asilimia 70% huyu mtu anafanya haya makosa ndio maana hapati matokeo. Inawezekana na wewe unaesoma ujumbe huu haya makosa unayafanya au ushayafanya au bado unaendelea kuyafanya..
Je Ni Makosa Gani Hayo Yanayofanywa?

Kosa1.. Unakurupuka kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume bila kujiuliza k**a hiyo dawa inahusiana vipi na tatizo ulilonalo.. haiwezekani dawa moja ikatibu kila mtu..
Kosa 2.. Hutatui chanzo au vyanzo vya tatizo lako... na inawezekana mpaka sasa ukawa bado hujui chanzo cha tatizo lako ni nini? Tatizo la nguvu za kiume haliji kwa bahati mbaya lina chanzo na lazima kuondoe chanzo cha tatizo kwanza.. kutokuwa na uwelewa juu ya tatizo lako ndio maana kila siku unatumia dawa na hupati matokeo yeyote.
Kosa 3. Ulaji wako bado mbovu, unakula vyakula vile vile kila siku. Unakula kushiba sio kuujenga mwili. Hupati matokeo sababu unaulisha mwili vyakula ambavyo sio sahihi. Kwenye kuimarisha nguvu zako za kiume chakula ni 70% sasa wewe unapuuzia hili hizo nguvu zitatokea wapi.?
Kosa 4. Unapuuza mazoezi. Huna ratiba ya mazoezi alafu unataka uwe imara kitandani. Umeona wapi Ronaldo kuwa Mfungaji Bora wa bao Bila ya kufanya mazoezi? Unataka uwende nusu saa mazoezi hufanyi iyo pumzi utaitolea wapi..
Je Umejua ulipokuwa unakosea.?..
K**a umeguswa na hili na leo upo tayari kubadilika ili urudishe nguvu zako za kiume.

Nipigie kwenda namba +255716374464 au Tuma ujumbe neno ELIMU kwenye Nitakuelekeza nini ufanye kutatua tatizo hili ili usiendele kupoteza pesa nyingi kwa kurudia haya makosa kila siku.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Masaka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Masaka:

Shortcuts

Share