AFYA TIBA UZAZI

AFYA TIBA UZAZI PATA SULUHISHO LA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME, BAWASIRI, PRESHA, KISUKARI, VIDONDA VYA TUMBO n.k.

💊𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈 ,(𝐇𝐎𝐑𝐌𝐎𝐍𝐄 𝐈𝐌𝐁𝐀𝐋𝐀𝐍𝐂𝐄 🩺💊).🔘Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa ...
29/07/2023

💊𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈 ,(𝐇𝐎𝐑𝐌𝐎𝐍𝐄 𝐈𝐌𝐁𝐀𝐋𝐀𝐍𝐂𝐄 🩺💊).
🔘Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%

𝐕𝐘𝐀𝐍𝐙𝐎 𝐕𝐘𝐀 𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈
⏺️Uwepo wa sumu mwilini
⏺️Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha).
⏺️Umri ukienda sana Kukoma kwa hedhi
⏺️Uzito mkubwa.
⏺️Mabadiliko ya mazingira
⏺️Msongo wa mawazo
⏺️Upungufu wa lishe mwilini.
⏺️Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango.
⏺️Utoaji wa mimba
⏺️Ongezeko la homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti k**a mwanaume)

𝐃𝐀𝐋𝐈𝐋𝐈 𝐙𝐀 𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈
▶️Uke kuwa mkavu
▶️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
▶️Maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi.
▶️Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa.
▶️Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja).
▶️Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.

Call/Whatsapp 0713537181

PART 1JE KUNA MADHARA YA KUTOA MIMBA⁉️Kabla hujafiria kutoa mimba, ni muhimu kufahamu matokeo mabaya kiafya yanayoweza k...
22/03/2023

PART 1

JE KUNA MADHARA YA KUTOA MIMBA⁉️

Kabla hujafiria kutoa mimba, ni muhimu kufahamu matokeo mabaya kiafya yanayoweza kujitokeza siku za mbele baada ya kufanya kitendo hichi, hasa kwenye swala zima la uzazi.

NINI KINATOKEA BAADA YA KUTOA MIMBA?

Wanawake wengi hupata dalili hizi siku chache baada ya kutoa mimba, dalili ambazo zinaweza kuchukua mpaka siku 21 kuisha

1. ```kutokwa damu kwa week 2 mpaka 4
2.muumivu ya nyonga
3.mwili kukosa nguvu na kusinzia ovyo
4.kutapika na kizunguzungu```

MADHARA MAKUBWA YANAYOWEZA KUJITOKEZA BAADA YA KUTOA MIMBA NI PAMOJA NA:

🔆 ```majeraha kwenye mlango wa kizazi na kizazi
🔆kutokwa damu kupita kiasi mpaka kuishiwa damu
🔆mimba kushindwa kutoka yote(incomplete abortion) na hivo kuhitaji upasuaji mwingine
🔆maambukizi sugu kwenye via vya uzazi(PID)
🔆makovu kwenye tumbo la uzazi
🔆kufanyika kwa mashimo ndani ya kizazi
-mgonjwa kufariki```

MADHARA YA MUDA MREFU BAADA YA KUTOA MIMBA

🔆 ```kujifungua mtoto kabla ya muda wake kutimia(pre-term deliveries
🔆kutoa mimba husababisha kulegea kwa mlango wa kizazi na hivo kuongeza hatari ya mimba zijazo kutoka ama kujifungua kabla ya wakati yaani chini ya week 37.
endapo mtoto atazaliwa chini ya muda wa week 37 anaweza kupata madhara ya kiafya k**a matatizo ya ubongo.
🔆saratani ya matiti: Tafiti zinasema kwamba kutoa mimba kunaongeza hatari ya mwanamke kupata saratani ya matiti.
kuugua magonjwa sugu k**a chlamydia na PID

🔆kupata magonjwa ya akili:
tafiti zinasema kwamba waawake wengi hupata matatizo ya akili baada ya kutoa mimba na dalili k**a
kujutia kutoa mimba
sonona na msongo mkubwa wa mawazo
kupata wasiwasi k**a je watashika tena ujauzito mwingine
kuona aibu na kujihisi wakosaji
kupata mawazo ya kujiua
K**a ulitoa mimba na unaanza kupata dalili hizi hapa juu, chukua hatua mapema, onana na mtaalamu wa afya ya akili kupata ushauri wa kina.````

☎️0713537181

DERMA REPAIR LOTION NI NINI🧴🧴🧴Ni lotion ambayo imetengenezwa takriban na mimea asili 7 isiyo na kemikali na ni chakula K...
21/03/2023

DERMA REPAIR LOTION NI NINI🧴🧴🧴
Ni lotion ambayo imetengenezwa takriban na mimea asili 7 isiyo na kemikali na ni chakula Kwa ngozi💯

Mimea hiyo inaifanya DERM EVER kuwa mafuta Bora ya mwili na uso na kukupa faida zifuatazo👇🏾👇🏾👇🏽👇🏽

🧴🍒Inaongezwa unyevu kwenye ngozi, Kwa asilimia 53%

🧴🍒Inarudisha uwezo wa ngozi kutanuka na Kusinyaa Hivyo huondoa makunyanzi kwenye ngozi.

🧴🍒inaleta mng'ao wa ngozi Inamfanya mtumiaji kuwa na ngozi yenye rangi Moja mwili mzima.

🧴🍒inasaidia kuondoa uchakavu wa ngozi kwa watu wote.

🧴🍒inasaidia ngozi kujilinda na kujitibu na magonjwa ya ngozi, k**a vile mabalango.

🧴🍒huondoa cell zilizokufa kwenye ngozi na kuchochea uzalishaji wa cell mpya kwenye ngozi.

🧴🍒inarekebisha ngozi iloyo ungua na cream zenye kemikali..

We care you're Skin Health

📲0713537181

KIBOKO YA NGOZI WALIO ATHIRIKA NA CREAM MUWASHO,MAKOVU SUGU🙍🏽🙍🏽🙍🏽MATATIZO YA NGOZI KWA WANAWAKE👩🏽‍🦰👩🏽‍🦰👩🏽‍🦰 Wanawake wen...
11/03/2023

KIBOKO YA NGOZI WALIO ATHIRIKA NA CREAM MUWASHO,MAKOVU SUGU
🙍🏽🙍🏽🙍🏽MATATIZO YA NGOZI KWA WANAWAKE👩🏽‍🦰👩🏽‍🦰👩🏽‍🦰 Wanawake wengi wamekua wakihangaika na matatizo mbalimbali ya ngozi,k**a vile; .
➡Chunusi sugu usoni na mgongoni.
➡Mabaka,makovu upele na harara
➡ngozi kuwa kavu na inayotoa jasho sana.
➡ngozi iliyoungua kutokana na matumizi ya vipodozi .
➡Kukosa unyevu katika ngozi .
➡Madoa meusi yasiyoisha(black heads)
➡Makunyanzi na ngozi iliyozeeka

Kwa kawaida ngozi ya mwanamke tofauti na mwanaume,inatakiwa kuwa laini, nyororo na isiyo na madoa wala ukavu...hii ni kutokana na uwepo wa hormone ya oestrogen inayozalisha vichocheo kwa ajili ya ngozi nzuri

Tatizo la ngozi hutokea pale tunapokutana na changamoto za kawaida katika maisha ya kila siku k**a vile vyakula,matumizi ya vipodozi na mtindo wa maisha kwa ujumla...tatizo huwa haliishi kwa sababu hutibiwa nje tuu sehemu inayoonekana,na sio chanzo cha tatizo yaani ndani, .
🍇🍇SULUHISHO NI FEMINERGY🍇🍇 FEMINERGY ni bidhaa maalum iliyotengenezwa kwa mimea asilia ya zabibu kwa ajili ya mwanamke yoyote na huanza kutibu tatizo kuanzia ndani mpaka nje,feminergy; .
➡Hutibu tatizo la chunusi usoni kuanzia ndani mpaka nje .
➡Huondoa madhara yatokanayo na uzee(anti aging) .
➡Huondoa madoa meusi na mabaka usoni
➡Hulainisha ngozi iliyokosa moisture na kurudisha hali ya kawaida .
➡Hutibu ngozi iliyoathirika na matumizi ya vipodozi .
➡Huondoa harara na upele na harufu mbaya.
➡ni nzuri kwa wanawake wenye tatizo la kukosa hisia za mapenzi

Pendeza kiasilia pasipo madhara kwa ngozi yako!

☎️0713537181

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA TIBA UZAZI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share